Hivi wewe AWALI kwako ina maana gani?.
Mabandiko yako yanaonyesha tokea Kinana awe Katibu Mkuu wa CCM umeendelea kumponda mpaka dakika hii tunaposoma bandiko lako.
Hii kazi huiwezi, waachie wengine ambao ni magwiji wa propaganda waendelee nayo kwa sababu bandiko lako linadhihirisha jinsi ulivyo mweupe na kichanga katika ulingo wa siasa.
Wewe kwa akili zako hizi za chekechea unaweza kutoa ushauri kwa Kinana?. You must be joking.
Hata hicho kitengo cha mitandaoni cha CHADEMA hukitendei haki.
Kwa ushauri nasaha, Kazi unayofanya hapa ni zaidi ya uwezo wako!!
Thread mufilisi.
Sent from my hp Elitebook 8460p using JamiiForums
Ha ha ha ha ha ha! Mpaka
umeamua kuniQuote utakuwa unanitangazia njaa. Ngoja nikuPM nikuelekeze
nilipo ili nikutom**.
Sent from my hp EliteBook 8460p using JamiiForums
Ha ha ha ha ha ha! Mpaka umeamua kuniQuote utakuwa unanitangazia njaa. Ngoja nikuPM nikuelekeze nilipo ili nikutom**.
Sent from my hp EliteBook 8460p using JamiiForums
JF raha sana. Unakurupuka muda wowote unatunga story unaiweka Jukwaani.
Sent from my hp EliteBook 8460p using JamiiForums
Hivi unajisikiaje pale unapoongoza/kutawala wananchi ambao wanakuchukia, hawakutaki tena uwatawale na hawakupendi... Hapa tulipofikia sasa inabidi tuanze kuwapopoa na mawe kabisa ili wajue hatuwataki...
... Du! sijui atafika Mahenge kwenye ile mbuga ya Selous? Ee Mungu wa watanzania tuepushie balaa hili.Thread mufilisi.
Sent from my hp EliteBook 8460p using JamiiForums
JF raha sana. Unakurupuka muda wowote unatunga story unaiweka Jukwaani.
Sent from my hp EliteBook 8460p using JamiiForums
Thread mufilisi.
Sent from my hp EliteBook 8460p using JamiiForums
mkuu dr slaa aliwahi sema kweny mkutano pale ruaha ccm wakitaka kununua kadi zenu muwauzie tena kwa bei kubwa lakin kura chadema nadhan wana ifakara walikuwa wanatimiza hayo ccm wenyew walidhani wamepata hahaha
R.I.P ccm
Bora kukutana na Tembo mbugani kuliko Kinana maake hapo atakuuwa ili usijepeleka ushahidi kuwa Kinana na wenzake walikuwa wakiwinda Tembo shme on you Somali man.