Kinana Atia Aibu CCM

Kinana Atia Aibu CCM

Hivi wewe AWALI kwako ina maana gani?.

Mabandiko yako yanaonyesha tokea Kinana awe Katibu Mkuu wa CCM umeendelea kumponda mpaka dakika hii tunaposoma bandiko lako.

Hii kazi huiwezi, waachie wengine ambao ni magwiji wa propaganda waendelee nayo kwa sababu bandiko lako linadhihirisha jinsi ulivyo mweupe na kichanga katika ulingo wa siasa.

Wewe kwa akili zako hizi za chekechea unaweza kutoa ushauri kwa Kinana?. You must be joking.

Hata hicho kitengo cha mitandaoni cha CHADEMA hukitendei haki.

Kwa ushauri nasaha, Kazi unayofanya hapa ni zaidi ya uwezo wako!!

sio kwamba wewe ni dume zima linaloishi mjini apa kwa kutegemea wallet ya nnape?
 
Kula pesa hizo jamani msiziache hata kidogo.na mwsiho muwe wakali kupiga kura na klinda kura za chadema.Hu ndio mwedo mdundo wa sasa hivi.Ukipewa pesa tafuna ni zako ,tena wamekupuja sana.hizo mbinu zao za mwaka 47 zimepitwa na wakati sasa hivi.
 
Hii HP Elitebook 8460 ndo zile mlizopewa kuhakikisha mna-attack kila mada hata ikiletwa usiku wa manane. Njaa mbaya.

umeona eee. wamegawiwa elitebook ili wainusuru ccm na janga la kugeuzwa chama cha upinzani sasa uyu jangili hata watoto wa primary school wanamjua kwa ujangili mtamnasuaje?? na wananchi washamjua anazomewa kila kona. duh njaa kweli mbaya maana lazima umtetee mwizi ah kazi kweli kweli. ah ah washindwe kwa jina la bwana
 
Sasa Kama alizomewa sisi tufanyaje? Kinana ni jembe pilipili usioila yakuwashia nini? Pelekeni utoto wako FB
 
akiwa katika ziara ya kichama mkoani morogoro, kanali mtaafu kinana alikubana na dhoruba la kuzomewa maeneo ya ruaha, mpakani mwa wilaya ya kilosa na kilombero akielekea ifakara na mahenge.

Wananchi bila ya kuogopa chochote walipokea msafara wa ccm kwa zomea zomea ya mafisadi hao hatuwataki. Ndipo kinana aliamua kuongea na wananchi wale, bila ajizi aliulizwa na mmoja wa wanainchi, katibu wetu mkuu mbona kuna tuhuma wewe unahusika na uwindaji haramu na biashara ya meno ya tembo?

Kinana kabla hajajibu alijadiliana kitu na nnape kisha akajibu, "ndugu yangu najua wewe umetumwa, kama madai hayo yana ukweli basi nenda mahakamani" alijibu kwa jazba. Baadaye yule kijana alifuatwa na polisi kutakiwa akatoe maelezo kituo cha polisi kidatu. Alipofika polisi aliambiwa nnape alitaka awekwe ndani sasa sisi hatuoni kosa la kukufungulia chaji wewe ondoka zako ila usiulize mambo ya kukera wakubwa.

Kama haitoshi walipofika mji mdogo wa ifakara hawakupata mapokezi yeyote badala yake viongozi wa ccm walihangaika kununua wananchi kati ya shs 70,000 na 120,000 ili wakabidhiwe kadi na kuombwa wafungue matawi na kupandisha bendera za ccm, hivi sasa wananchi wale wameshusha na kuvunja mawe ya msingi. Wanadai pesa za ccm ni kuzila na kura ni cdm. Mikakati ya uchaguzi wa diwani kata ya ifakara mjini imeanza kwa 100 % hawa ccm wataangukia pua.

Awali sikujua kama kinana na yeye ni msanii, alijua kabisa wale wanainchi wamenunuliwa sasa kiko wapi bendera zimeshushwa? Huyu katibu mkuu atumie muda wake kusafisha chama zidi ya magamba yalomshinda mukama

wozoza - mulongo poteka

kwa viongozi wa ccm aibu ni marashi,
 
Hivi wewe AWALI kwako ina maana gani?.

Mabandiko yako yanaonyesha tokea Kinana awe Katibu Mkuu wa CCM umeendelea kumponda mpaka dakika hii tunaposoma bandiko lako.

Hii kazi huiwezi, waachie wengine ambao ni magwiji wa propaganda waendelee nayo kwa sababu bandiko lako linadhihirisha jinsi ulivyo mweupe na kichanga katika ulingo wa siasa.

Wewe kwa akili zako hizi za chekechea unaweza kutoa ushauri kwa Kinana?. You must be joking. Hata hicho kitengo cha mitandaoni cha CHADEMA hukitendei haki. Kwa ushauri nasaha, Kazi unayofanya hapa ni zaidi ya uwezo wako!!
Baadala ya kumsakama mtu, hebu changia hoja iliyowekwa mbele yetu! Povu la nini!!!
 
Mkuu nngu007, na wewe unaridhia uwepo wa threads za kufikirika kama hii kwa kigezo cha nilikuwa kwenye msafara?

Sent from my hp EliteBook 8460p using JamiiForums

One Sided News Blogs all Pro CCM

[h=2]KINANA AICHAMBUA CHADEMA[/h]

*Asema viongozi wake wamekubuhu wa ubinafsi
*Wanajali maslahi binafsi ya Chama chao badala ya Watanzania
*Awatakja Watanzania kuwapuuza
[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Kinana akihutubia mjini Morogoro leo.Picha: Bashir Nkoromo[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
NA BASHIR NKOROMO, MOROGORO
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana ameisasambua Chadema na kusema ni chama ambacho daima kimekuwa kikiweka mbele maslahi yake binafsi kuliko ya Watanzania.

Amesema viongozi wa chama hicho wamekubuhu kwa udikteta kiasi cha kujiona wao ndio wanajua kila jambo kuliko watu wengine hata mwenzao wa chama cha upinzani ikitokea ana mawazo au msimamo wasioutaka au ameipongeza serikali kwao huonekana ni msaliti na kibaraka wa CCM.

Akihutubia leo mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika jana mjini hapa,Kinana, alisema kuwa Chadema ni balaa kwa nchi naa watu kwani viongozi wake wamekuwa ni watu wa kuhubiri machafuko badala ya mshikamano uliozoeleka Tanzania.

Alisema kutokana na umangimeza wao sasa Chadema kimeanza kuigawa nchi kwa kutumia sera ya ukanda licha ya kwamba sera hiyoi ni kinyume cha katiba ya nchi na watu wake.

"Ninapenda leo niwaelezeni ndugu Watanzania Chadema ilivyojawa na ubinafsi, wamekuwa wakiwakukusanya Watanzania na kuwagawa kwa sera yao ya majimbo. hili si mara ya kwanza maana katika kipindi cha siku za hivi karubuni walitangaza wazi kuigawa nchi kwa kutaka
kujitenga kanda ya Kaskazini eti ili iwe chini ya utawala wao", alisema Kinana.

Kinana alisema CCM kama chama kilichoingia mkataba na Watanzania haiwezi katu kukaa kimya na kuona hali hii ikitokea, kila mara tumekuwa tukihubiri amani na mshakamano lakini Chadema hili limewashinda jambo ambalo alisema ni dalili kwamba viongozi wa Chadema wameingia katika siasa kwa malengo yao binafsi.

"CCM itaendelea kusema ukweli kwa kila jambo na wala haitaficha hata likiwa siyo la kufurahisha wanachama wake ili mradi ni la kweli, tofauti na hawa Chadema, lazima Watanzania muwe makini nao kutokana na aina ya siasa na matendo yao wanayojinasibvu nayo" alisema Kinana.

Vurugu za Chadema
Kinana alisema kuwa Chadema wamekuwa ni watu wa maajabu na vurugu kubwa nchini, na katika hilo alitoa mfano ya mambo ambayo wanayafanya bungeni.

"Chadema kazi yao ni vurugu tu, utadhani wao ndio wamekuwa kambi ya upinzani wa kwanza bungeni katika nchi hii. Walikuwepo wapinzani kabla yao lakini kama CUF na Kina Mrema (Augustine Mrema) enzi za NCCR Mageuzi lakini hamkupara kushuhudia vituko kama

hawa Chadema ambao wanajiona wao ndio kila kitu. Wanatoa vitisho kila siku kwa Serikali hata kumtukana mkuu wa Nchi bila kujali kwamba ni kiongozi ambaye amefika pele kwa kuchaguliwa na idadi kubwa ya Watanzania", alisema.

"Wanabeza wapinzani wengine , wakiona mpinzani anapongeza kazi iliyofanywa na CCM wanaanza kumshambulia.Hakuna anayejua zadi ya Chadema .Wanamtukana Rais, wanaushambulia usalama wa Taifa, wanashambulia vyombo vya usalama,"alisema Kinana

"Hawa jamaa ni watu wa ajabu sana, kila kitu wanajua wao wengine hawajui.Wakigombana katika chama chao utasikia kuna mkono wa CCM. Sijui ni watu wa aina gani , wanafanya mambo ya ajabu sana kiasi cha kushangaza,"alisema.

Kinana alitoa ushauri kwa Chadema kuwa na uwezo wa kutafuta ufumbuzi wa matatizo yao kuliko kutumia muda wao mwingi kila jambo ambalo linakwenda kombo kunyoosha vidole kwa CCM.

"CCM tuna changamoto zetu nyingi, lakini tunatatua matatizo yetu wenyewe hatupotayari.Tuna makundi ndani ya chama lakini hayo ndio mambo ya siasa,"alisisitiza.

Mchakato wa Katiba mpya
Kinana alisema pamoja na kazi nzuri ambayo imefanywa katika mchakato wa Katiba mpya, kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni ametoa hotuba yake ambayo inaonesha wazi hakuna ambacho kimefanyika katika mchakato huo.

Alisema kuwa kiongozi wa kambi ya upinzani Freeman Mbowe akiwa bunge ametumia muda wake mwingi kuzungumzia mchakato wa katiba mpya na kubwa katika hotuba yake kuwa haufai.

"Simsingizii kiongozi wa Kambi ya upinzani bungeni, ndani ya hotuba yake ameeleza wazi kuwa waliopewa dhamana ya kukusanya maoni ya Katiba mpya hawana ujuzi.Hii si kweli, waliopewa dhamana hiyo ni watu ambao wanaifanya kazi hiyo kwa uadilifu,"alisema.

Alisema Chadema ni watu binafsi ambao wao wametawaliwa na uroho mkubwa na wao kazi ni kuangalia maslahi zaidi na ni si maslahi ya nchi.

Ziara yake Morogoro
Kinana alisema kuwa ziara yake amejifunza mamb mengi lakini kubwa na msingi ambalo lipo kwa chama hicho kitahakikisha kinatafuta ufumbuzi wa matatizo ya wananchi na hasa migogoro ya ardhi, mipaka na huduma za jamii ambazo nazo ni changamoto kubwa kwa maeneo mbalimbali.

"Ziara yangu na viongozi wengine wa chama chetu ambayo tuimefanya katika wilaya zote za Morogoro tumeona changamoto nyingi.Tumetafuta ufumbuzi wa matatizo lakini mengine yanapatiwa ufumbuzi baada ya kukaa na viongozi wa ngazi mbalimbali wa chama na kisha kutoa maagizo kwa Serikali kutekeleza,"alisema.

Agizo kwa wabunge CCM
Katibu Mkuu huyo wa CCM, alitumia nafasi hiyo kwa kuwataka wabunge wa CCM kutembea kifua mbele kwani chama chao kinafanya kazi kubwa lakini aliwataka wawe makini na Chadema na kuwataka kutowasikiliza kwani sasa imetosha.

Alisema Chadema wamekuwa wakisikiliza muda mrefu ndani ya Bunge na kuna wakati wabunge wa CCM walichukia baada ya Rais Jakaya Kikwete kukubali kukutana nao kujadili mchakato wa Katiba Mpya.

POSTED BY BASHIR NKOROMO
 
Kweli kikulacho ki nguoni mwako, kujificha kote huko kumbe ameonekana katika kichaka cha majambazi ccm Kinana ana kazi ya kufanya kurudisha tembo wetu alioua na kuhakikisha ktk ziara zake hafiki maeneo yenye mbuga wananyama....
 
Akiwa katika ziara ya kichama mkoani Morogoro, Kanali Mtaafu Kinana alikubana na dhoruba la kuzomewa maeneo ya Ruaha, mpakani mwa wilaya ya Kilosa na Kilombero akielekea Ifakara na Mahenge.

Wananchi bila ya kuogopa chochote walipokea msafara wa CCM kwa zomea zomea ya mafisadi hao hatuwataki. Ndipo Kinana aliamua kuongea na wananchi wale, bila ajizi aliulizwa na mmoja wa wanainchi, Katibu wetu mkuu mbona kuna tuhuma wewe unahusika na uwindaji haramu na biashara ya meno ya Tembo?

Kinana kabla hajajibu alijadiliana kitu na Nnape kisha akajibu, "ndugu yangu najua wewe umetumwa, kama madai hayo yana ukweli basi nenda mahakamani" alijibu kwa jazba. Baadaye yule kijana alifuatwa na polisi kutakiwa akatoe maelezo kituo cha polisi kidatu. Alipofika polisi aliambiwa Nnape alitaka awekwe ndani sasa sisi hatuoni kosa la kukufungulia chaji wewe ondoka zako ila usiulize mambo ya kukera wakubwa.

Kama haitoshi walipofika mji mdogo wa Ifakara hawakupata mapokezi yeyote badala yake viongozi wa CCM walihangaika kununua wananchi kati ya shs 70,000 na 120,000 ili wakabidhiwe kadi na kuombwa wafungue matawi na kupandisha bendera za CCM, hivi sasa wananchi wale wameshusha na kuvunja mawe ya msingi. Wanadai pesa za CCM ni kuzila na Kura ni CDM. Mikakati ya uchaguzi wa Diwani kata ya Ifakara mjini imeanza kwa 100 % hawa CCM wataangukia pua.

Awali sikujua kama Kinana na yeye ni msanii, alijua kabisa wale wanainchi wamenunuliwa sasa kiko wapi bendera zimeshushwa? Huyu Katibu mkuu atumie muda wake kusafisha chama zidi ya Magamba yalomshinda Mukama

Wozoza - Mulongo Poteka

Hivi JF bado inaruhusu mataputapu kama haya, Mods get this rubbish removed.
 
Hivi wewe AWALI kwako ina maana gani?.

Mabandiko yako yanaonyesha tokea Kinana awe Katibu Mkuu wa CCM umeendelea kumponda mpaka dakika hii tunaposoma bandiko lako.

Hii kazi huiwezi, waachie wengine ambao ni magwiji wa propaganda waendelee nayo kwa sababu bandiko lako linadhihirisha jinsi ulivyo mweupe na kichanga katika ulingo wa siasa.

Wewe kwa akili zako hizi za chekechea unaweza kutoa ushauri kwa Kinana?. You must be joking.

Hata hicho kitengo cha mitandaoni cha CHADEMA hukitendei haki.

Kwa ushauri nasaha, Kazi unayofanya hapa ni zaidi ya uwezo wako!!
Vipi Kinana ni baba ako nini?
 
Ndani ya CCM kuna tatizo kubwa kuliko tunavyofikiria.

Kwa watu wenye akili, utakubali vipi mtu kama Kinana mwenye tuhuma zisizo na shaka kuwa ni MSHIRIKA KWENYE BIASHARA HARAMU YA PEMBE ZA NDOVU, halafu ndiyo anakuwa mtendaji wenu mkuu wa Chama? CCM itawagharimu sana kuendelea kumkumbatia huyu Msomali kuwa ndiye kiongozi wao mkuu. Kinana amekwishachafuka, na yeyote mwenye kujihusisha naye ni lazima apatwe na uchafu alio nao.

Kinana ama ni jangili au ana uhusiano na majangili wanaouwa tembo na kuiba nyara za Jamhuri. Amekiri yeye mwenyewe kuwa kampuni yake imekuwa ikisafirisha biashara haramu. Nani atakayemsikiliza mtu wa namna hiyo? Huyu atampa hoja kila mpinzani wa CCM, hata yule ambaye hakuwa na hoja. Ni wazi sasa CCM inaongozwa AU na JANGILI AU MSHIRIKA WA UJANGILI.

Thread mufilisi.

Sent from my hp EliteBook 8460p using JamiiForums
 
JF raha sana. Unakurupuka muda wowote unatunga story unaiweka Jukwaani.

Sumu,kama wewe unavyokurupuka kujibu kila thread kwasababu ya kutanguliza tumbo katika kila kitu na sio ubongo...umeshapewa allowance pale lumumba??
 
Last edited by a moderator:
Kinana yeye ndio anatesa wana loliondo, huyu ndio mcheza rackets za waarabu kuiba mali zetu,
huyu ni jangili mkuu, hata interpol police wanamfahamu daima tena ni mdini kupindukia, wao waendelee na cinema yao ya ugaidi cc tuendeleze kuhubiri uzalendo na amani.
kijana anayeshabikia ccm ni sawa na maiti inayotembea hao ni wadhalimu wa uchumi wetu
"vijana tuhakikishe huu uchaguzi wa kata 26 majambazi hawa ambulii chochote wao waendelee na matusi yao"
 
JF raha sana. Unakurupuka muda wowote unatunga story unaiweka Jukwaani.

Sent from my hp EliteBook 8460p using JamiiForums

Sumu,kama wewe unavyokurupuka kujibu kila thread kwasababu ya kutanguliza tumbo katika kila kitu na sio ubongo...umeshapewa allowance pale lumumba??
 
Last edited by a moderator:
kaka CCM hawana jipya la kuteeleza watanzania tangu 1961 mpaka leo,wanatuibia tu sasa angalia wanawachukua watoto wa shule ya msingi kwenye mikutano yao mtu mwenyeakili za upeo mkubwa kufikira hawezi kwenda ndio maana kwenye mikutano yao wanajaa watoto wa shule za msingi na wazee

One Sided News Blogs all Pro CCM

[h=2]KINANA AICHAMBUA CHADEMA[/h]

*Asema viongozi wake wamekubuhu wa ubinafsi
*Wanajali maslahi binafsi ya Chama chao badala ya Watanzania
*Awatakja Watanzania kuwapuuza
[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Kinana akihutubia mjini Morogoro leo.Picha: Bashir Nkoromo[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
NA BASHIR NKOROMO, MOROGORO
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana ameisasambua Chadema na kusema ni chama ambacho daima kimekuwa kikiweka mbele maslahi yake binafsi kuliko ya Watanzania.

Amesema viongozi wa chama hicho wamekubuhu kwa udikteta kiasi cha kujiona wao ndio wanajua kila jambo kuliko watu wengine hata mwenzao wa chama cha upinzani ikitokea ana mawazo au msimamo wasioutaka au ameipongeza serikali kwao huonekana ni msaliti na kibaraka wa CCM.

Akihutubia leo mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika jana mjini hapa,Kinana, alisema kuwa Chadema ni balaa kwa nchi naa watu kwani viongozi wake wamekuwa ni watu wa kuhubiri machafuko badala ya mshikamano uliozoeleka Tanzania.

Alisema kutokana na umangimeza wao sasa Chadema kimeanza kuigawa nchi kwa kutumia sera ya ukanda licha ya kwamba sera hiyoi ni kinyume cha katiba ya nchi na watu wake.

"Ninapenda leo niwaelezeni ndugu Watanzania Chadema ilivyojawa na ubinafsi, wamekuwa wakiwakukusanya Watanzania na kuwagawa kwa sera yao ya majimbo. hili si mara ya kwanza maana katika kipindi cha siku za hivi karubuni walitangaza wazi kuigawa nchi kwa kutaka
kujitenga kanda ya Kaskazini eti ili iwe chini ya utawala wao", alisema Kinana.

Kinana alisema CCM kama chama kilichoingia mkataba na Watanzania haiwezi katu kukaa kimya na kuona hali hii ikitokea, kila mara tumekuwa tukihubiri amani na mshakamano lakini Chadema hili limewashinda jambo ambalo alisema ni dalili kwamba viongozi wa Chadema wameingia katika siasa kwa malengo yao binafsi.

"CCM itaendelea kusema ukweli kwa kila jambo na wala haitaficha hata likiwa siyo la kufurahisha wanachama wake ili mradi ni la kweli, tofauti na hawa Chadema, lazima Watanzania muwe makini nao kutokana na aina ya siasa na matendo yao wanayojinasibvu nayo" alisema Kinana.

Vurugu za Chadema
Kinana alisema kuwa Chadema wamekuwa ni watu wa maajabu na vurugu kubwa nchini, na katika hilo alitoa mfano ya mambo ambayo wanayafanya bungeni.

"Chadema kazi yao ni vurugu tu, utadhani wao ndio wamekuwa kambi ya upinzani wa kwanza bungeni katika nchi hii. Walikuwepo wapinzani kabla yao lakini kama CUF na Kina Mrema (Augustine Mrema) enzi za NCCR Mageuzi lakini hamkupara kushuhudia vituko kama

hawa Chadema ambao wanajiona wao ndio kila kitu. Wanatoa vitisho kila siku kwa Serikali hata kumtukana mkuu wa Nchi bila kujali kwamba ni kiongozi ambaye amefika pele kwa kuchaguliwa na idadi kubwa ya Watanzania", alisema.

"Wanabeza wapinzani wengine , wakiona mpinzani anapongeza kazi iliyofanywa na CCM wanaanza kumshambulia.Hakuna anayejua zadi ya Chadema .Wanamtukana Rais, wanaushambulia usalama wa Taifa, wanashambulia vyombo vya usalama,"alisema Kinana

"Hawa jamaa ni watu wa ajabu sana, kila kitu wanajua wao wengine hawajui.Wakigombana katika chama chao utasikia kuna mkono wa CCM. Sijui ni watu wa aina gani , wanafanya mambo ya ajabu sana kiasi cha kushangaza,"alisema.

Kinana alitoa ushauri kwa Chadema kuwa na uwezo wa kutafuta ufumbuzi wa matatizo yao kuliko kutumia muda wao mwingi kila jambo ambalo linakwenda kombo kunyoosha vidole kwa CCM.

"CCM tuna changamoto zetu nyingi, lakini tunatatua matatizo yetu wenyewe hatupotayari.Tuna makundi ndani ya chama lakini hayo ndio mambo ya siasa,"alisisitiza.

Mchakato wa Katiba mpya
Kinana alisema pamoja na kazi nzuri ambayo imefanywa katika mchakato wa Katiba mpya, kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni ametoa hotuba yake ambayo inaonesha wazi hakuna ambacho kimefanyika katika mchakato huo.

Alisema kuwa kiongozi wa kambi ya upinzani Freeman Mbowe akiwa bunge ametumia muda wake mwingi kuzungumzia mchakato wa katiba mpya na kubwa katika hotuba yake kuwa haufai.

"Simsingizii kiongozi wa Kambi ya upinzani bungeni, ndani ya hotuba yake ameeleza wazi kuwa waliopewa dhamana ya kukusanya maoni ya Katiba mpya hawana ujuzi.Hii si kweli, waliopewa dhamana hiyo ni watu ambao wanaifanya kazi hiyo kwa uadilifu,"alisema.

Alisema Chadema ni watu binafsi ambao wao wametawaliwa na uroho mkubwa na wao kazi ni kuangalia maslahi zaidi na ni si maslahi ya nchi.

Ziara yake Morogoro
Kinana alisema kuwa ziara yake amejifunza mamb mengi lakini kubwa na msingi ambalo lipo kwa chama hicho kitahakikisha kinatafuta ufumbuzi wa matatizo ya wananchi na hasa migogoro ya ardhi, mipaka na huduma za jamii ambazo nazo ni changamoto kubwa kwa maeneo mbalimbali.

"Ziara yangu na viongozi wengine wa chama chetu ambayo tuimefanya katika wilaya zote za Morogoro tumeona changamoto nyingi.Tumetafuta ufumbuzi wa matatizo lakini mengine yanapatiwa ufumbuzi baada ya kukaa na viongozi wa ngazi mbalimbali wa chama na kisha kutoa maagizo kwa Serikali kutekeleza,"alisema.

Agizo kwa wabunge CCM
Katibu Mkuu huyo wa CCM, alitumia nafasi hiyo kwa kuwataka wabunge wa CCM kutembea kifua mbele kwani chama chao kinafanya kazi kubwa lakini aliwataka wawe makini na Chadema na kuwataka kutowasikiliza kwani sasa imetosha.

Alisema Chadema wamekuwa wakisikiliza muda mrefu ndani ya Bunge na kuna wakati wabunge wa CCM walichukia baada ya Rais Jakaya Kikwete kukubali kukutana nao kujadili mchakato wa Katiba Mpya.

POSTED BY BASHIR NKOROMO
 
kaka CCM hawana jipya la kuteeleza watanzania tangu 1961 mpaka leo,wanatuibia tu sasa angalia wanawachukua watoto wa shule ya msingi kwenye mikutano yao mtu mwenyeakili za upeo mkubwa kufikira hawezi kwenda ndio maana kwenye mikutano yao wanajaa watoto wa shule za msingi na wazee

Hawa jamaa wasome vizuri alama, matokeo ya uchaguzi ngazi ya viongozi wa vijiji waangalie Kilosa wamepigwa ile mbaya...poor CCM
 
Mbunge wa Morogoro Mjini, Aboud bila aibu alidanganya wananchi mbele ya Kinana amechimba visima 23, ajabu hivyo visima ni changa la macho. Akiomba avionyeshe itakuwa aibu

Kachimba visima viwili tu,kadanganya umma
 
Back
Top Bottom