DALLAI LAMA
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 8,652
- 2,642
Hivi wewe AWALI kwako ina maana gani?.
Mabandiko yako yanaonyesha tokea Kinana awe Katibu Mkuu wa CCM umeendelea kumponda mpaka dakika hii tunaposoma bandiko lako.
Hii kazi huiwezi, waachie wengine ambao ni magwiji wa propaganda waendelee nayo kwa sababu bandiko lako linadhihirisha jinsi ulivyo mweupe na kichanga katika ulingo wa siasa.
Wewe kwa akili zako hizi za chekechea unaweza kutoa ushauri kwa Kinana?. You must be joking.
Hata hicho kitengo cha mitandaoni cha CHADEMA hukitendei haki.
Kwa ushauri nasaha, Kazi unayofanya hapa ni zaidi ya uwezo wako!!
kwani Kinana ni Mungu,kinana ni mtu mdogo sana nchi hii,NYIE NDO WALE HAMTHAMINI MTU MNATAZAMA CHEO 'Izo ndo sera chafu za Magamba' Kachukue elfu saba yako Lumumba.