Marire
JF-Expert Member
- May 1, 2012
- 12,326
- 5,266
Ni muda sasa hapa jamvini kumekuwa na mada kadhaa kuhusu hii kadhia ya mgao wa umeme ,hapa niko maeneo ya mwanza mjini ni fuul mgao,kwakuwa mwenyekiti wa ccm taifa ameagiza kila litakalosemwa kusuhu serekali au chama kabla jua kuzama liwe limepatiwa ufafanuzi au kanusho.kupitia uzu huu namuomba Kinana amwagize waziri husika atupe ufafanuzi kuhusu mgao huu unaodidimiza uchumi wa nchi,
mods pls msiondoe hii mada
mods pls msiondoe hii mada