Kinana, anza na mgao wa Umeme!

Marire

JF-Expert Member
May 1, 2012
12,326
5,264
Ni muda sasa hapa jamvini kumekuwa na mada kadhaa kuhusu hii kadhia ya mgao wa umeme ,hapa niko maeneo ya mwanza mjini ni fuul mgao,kwakuwa mwenyekiti wa ccm taifa ameagiza kila litakalosemwa kusuhu serekali au chama kabla jua kuzama liwe limepatiwa ufafanuzi au kanusho.kupitia uzu huu namuomba Kinana amwagize waziri husika atupe ufafanuzi kuhusu mgao huu unaodidimiza uchumi wa nchi,
mods pls msiondoe hii mada
 
Mkuu Marire umekosea jukwaa, huku ni mapicha zaidi
 
Last edited by a moderator:
Ni muda sasa hapa jamvini kumekuwa na mada kadhaa kuhusu hii kadhia ya mgao wa umeme ,hapa niko maeneo ya mwanza mjini ni fuul mgao,kwakuwa mwenyekiti wa ccm taifa ameagiza kila litakalosemwa kusuhu serekali au chama kabla jua kuzama liwe limepatiwa ufafanuzi au kanusho.kupitia uzu huu namuomba Kinana amwagize waziri husika atupe ufafanuzi kuhusu mgao huu unaodidimiza uchumi wa nchi,
mods pls msiondoe hii mada
Weka picha tuone.
 
Hii post kumbe iko huko? niliitafuta sana kule jukwaa la siasa,hadi nikawalaumu mods kwa kudhani waliifuta,dah basi tena
 
ashughulikieje umeme wakati meno ya tembo yanatolewa gizani??? biashara yake na hitaji lako, ni sawa na kufananisha lipuli na man u!!
 
alisema atasimamia mawaziri na serekali sasa kama swala la mgao si awaambie tujue yeye ni kidume si kwa kuiba nyara tu?
 
Back
Top Bottom