Kinana Anamuuguza Ndugu yake Jamani...

Kinana Anamuuguza Ndugu yake Jamani...

Atakuwa anamuuguza ndugu yake Nape Nauye kwa kufukuzwa kazi.[emoji111]


Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hapana kwa kweli, Kinana yupo Arusha amezira kwa madai chama kinapelekwa kama kiberenge kibovu.

Daudi;
Haya majina yenu ya Daudi naona mna ujasiri sana sijui. Hivi ukiulizwa umepatapi hiyo taarifa ya kuzira utasemaje? Ndo maana magazeti flan yalifungiwa siku 90 bila hata kuuza wala kusomwa na hizo siku zikiisha watakuwa weshanyooka. Weye sijui utafungiwa plaster na ushungi macho yasione na mdomo usiseme!
Ndugu, bado tunakuhitaja hata humu jf.
 
Kinana jana nimemuona Arusha anaweka mafuta kwenye sheli ya manjis.


Inshort Kinana amezira vikao vya Nduli.
baada ya kutumwa India kutibiwa sasa anauguza. Pole yake maskini Mwenyezi Mungu ajaalie shifaa kwa mgonjwa wake.
Huenda majibu mengine yakapatikana punde
 
Ndio, kwa kuwa tayari imetolewa marufuku suala la kwenda haliwezi. Ku swi, so ni kuwa anamuuguza ndugu yake wa karibu.
 
Kukosekana kwa Kinana kumeacha pengo kubwa sana.Huyu baba alifanya siasa safi sana 2010-2015.
 
Back
Top Bottom