St Lunatics
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 6,641
- 11,201
Atakuwa anamuuguza ndugu yake Nape Nauye kwa kufukuzwa kazi.[emoji111]
Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Tena Halima Mdee alisema Slaa yupo fungate na maiwaifu.Ha ha ha ha ha! nakumbuka Dk. Slaa alipozingua, tuliambiwa yupo likizo....ha ha ha ha ha ha...siasa bhana....sometimes inafurahisha na kuudhi sana.
Mjumbe hauwawi.
Kwamba, kutokuonekana kwa Abdulrahman Kinana ambaye ni Katibu Mkuu wa CCM taifa kwenye vikao vya kamati kuu na halmashauri kuu, inatokana na Kinana kumuuguza ndugu yake wa karibu.
Ni hayo tu.
Mambo ya siasa hujibiwa kisiasa.Ha ha ha ha ha! nakumbuka Dk. Slaa alipozingua, tuliambiwa yupo likizo....ha ha ha ha ha ha...siasa bhana....sometimes inafurahisha na kuudhi sana.
SubscribeWakuu, nauliza ivi, kupata vichekesho kama ivi nifanyeje?
Nitumie link kiongoziSubscribe
Hapana kwa kweli, Kinana yupo Arusha amezira kwa madai chama kinapelekwa kama kiberenge kibovu.
Tuma neno CeeCeeeeM Oyee kwenda namba 991, vigezo na masharti kuzingatiwa.Mambo ya siasa hujibiwa kisiasa.
Ha ha ha ha! Mjumbe hauwawi.Itoshe kuuguza ibakie kama taarifa!
Coz kinana anao watu wa karibu wengi sana kwa hiyo kati yao mmoja anauguzwa[emoji86]
[emoji125] [emoji125] hujambo lkn?Sio katumwa India kufata dawa?
baada ya kutumwa India kutibiwa sasa anauguza. Pole yake maskini Mwenyezi Mungu ajaalie shifaa kwa mgonjwa wake.Kinana jana nimemuona Arusha anaweka mafuta kwenye sheli ya manjis.
Inshort Kinana amezira vikao vya Nduli.
Hahahaaaaaaaa sawa mkuu uuuFYATU.....hata mimi sijui.....mimi nimeripoti kama ilivyoripotiwa na aliyeripoti. Labda aliyeripoti arudie tena kuripoti na mimi nitaripoti kama ambavyo itakuwa imeripotiwa.