CHA The GREAT
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 651
- 855
Mjumbe hauwawi.
Kwamba, kutokuonekana kwa Abdulrahman Kinana ambaye ni Katibu Mkuu wa CCM taifa kwenye vikao vya kamati kuu na halmashauri kuu, inatokana na Kinana kumuuguza ndugu yake wa karibu.
Habari Inayohusiana Na Hii....
Mwaka 2015, kuelekea uchaguzi mkuu wa Rais na wabunge, baada ya katibu mkuu wa CHADEMA Dk. Wilbroad Slaa kuzingua, iliarifiwa kwamba, Dk. Wilbroad Slaa alikuwa kapewa likizo, ila eventually ilikuja kujulikana kuwa Dk. Slaa alikuwa amesusia siasa na kujiengua na CHADEMA.
Ni hayo tu.