The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,950
- 12,549
Well done kinana,
Hizi sifa za "kitoto" za hawa wabunge wetu lazima ziwatokee puani.
Kinana ni mtu makini sana na kwa muda aliotafakari na wanasheria wake lazima MCHUNGAJI wa chadema atajuta.
Katika hati ya madai amenukuu baadhi ya kauli za Msigwa, ikiwemo "Kinana (naomba waandishi wa habari mnisikie na nyie Usalama wa Taifa mkapeleke habari) hana sifa za kupita barabarani na kuwaambia Watanzania waiamini CCM. Kinana mikono yake si misafi."
"Hata kwenye Nassaco, Shirika la Meli Tanzania kuna harufu ya ufisadi ndani yake; ajibu hoja...Kinana meli zake ndizo zinazohusika kubeba pembe za ndovu nchini. hajajibu hoja hizo! Kwa siku nchi hii tembo 67 wanauawa. Hao ndio wanaokifadhili Chama Cha Mapinduzi, halafu wanakuja eti kuwashawishi Watanzania muwasikilize na kwamba Chama Cha Mapinduzi eti ni kizuri."
".Haya mambo ninayoongea ni hatari kwa sababu haya yote ni majangili ni organized Crime. Ni mtandao wa Kimafia, uko duniani kote, unaweza ukatuua lakini wabunge tumesimama tunawatetea..."Anadai kuwa kabla ya tuhuma hizo alikuwa katika hatua za mwisho za mchakato wa mazungumzo ya mradi wa ubia wa kilimo cha mboga na mwekezaji kutoka kampuni ya nje, lakini tuhuma hizo zimesababisha kampuni hiyo kuvunja majadiliano hayo.
Peleka mahakamani huyu mchungaji kanjanja.
mbunge anapotoa kauri bungeni,kauri hiyo kisheria haihojiwi mahakamani,labda tu kama ameshitakiwa kwa kusema nje ya bunge
mzee kinana hapa utakua umepotea njia kabisaa nenda tena kakae chini na hao waliokushauri kufanya hayo uliyokusudia kufanya kwasababu mwisho wa siku mambo yatakapo kuendea kombo wao watakua wanakula bata kama kawaida mzee wangu
makubwa kazi ipo pia tuna mawakili waliobobea chadema watasimamia
Naamini mahakama itatenda haki.
kinana ni jangili
"kinana nionee huruma unatumaliza" ni kama alikuwa akiomba msamaha huyo tembo kwa kupiga magoti.....hakika damu za tembo hawa hazitamuacha jangili kinana na masisiem yake!!!Time will tell.....Mi nildhani ungeanza na kuishauri serikali yako DHAIFU kumchunguza Kinana....
View attachment 97518
Kinana Strikes Again