Kinana amburuza Msigwa kortini

Kei anataka kupoteza muda wa majaji ushahidi upo kabisa Kinana ni jangiri
 
[SIZE=4

Kinana anadai kuwa kutokana na tuhuma hizo ameharibiwa tabia yake"
[/SIZE]

HabariLeo
kinana inabidi awe muwazi atueleze kinagaubaga TABIA MBAYA aliyoambukizwa au kufundishwa na msigwa.
 
Baada ya kuikosa kosa kuichoma moto Mijizi dawa yao ni kuiumbua mahakani tuu
 
Yaleyale kina Mahanga vs Msemakweli,,na kina Nimrod Mkono mpaka leo mwendelezo wa kesi sijui unaendaje?
 
wewe toka tu huku hapakufai twende cc
 
Kweli haya usemayo tena uluyoyaacha ndio mengi mno! Maccm ni zaidi ya ukoo, ni KABILA lote la maccm ndivyo walivyo! Kichefuchefu
 
Kwa Nini USIIPELEKE HIYO KESI SOMALIA unakuja kuifungulia kwetu??? Au kwa vile tembo ni wa kwetu??
Naomba majibu KINENA.
Wote tungekuwa machachari kama watu wa Ntwara asingesubutu kutufungulia kesi wenyewe tena!
 
Unataka kuniambia huyu "jino tembo"ana mradi wa kilimo rahisi cha mbogamboga ambacho kinge mwingizia hela zote hizo ,inamaana ameshindwa yeye na serikali yake kuwaelekeza mradi kama huo wananchi hasa jimboni kwake wawe na mradi kama hu ili kujinasua na umaskini?siamini ninachokiona wajameni yaani wanathubutu kuwanyima fursa wananchi hivi hivi?eemameh!
 
Hapa naona mchemsho aliposema alikuwa anaingia ubia wawekezaji wa kiliomo cha mboga mboga na wawekezaji kutoka nje. nje wapi?????..Duh Katibu wetu mkuu mbona unataka kutufanya punguwani??????? kweli kabisa unataka kutuambia umewekeza kwenye kilimo kwanza??? Jamani watanzania zama za uongo zimeshapitwa na wakati na utandawazi uko juu siku hizi.

Hatudanganyiki!!!!!!!!!!!!.
 
Hahahaaahahaaaaeeeeeeeee! Mbavu zangu! We mtu huna huruma na mbavu zangu Lo! Hahaaaahhaaaahhaaahhhaaaaaaaaeeeeeee!!
Paka huwa hatucheki lakini leo yamenishinda!
 
Sijui wanasheria wa kinana wamemshauri vizuri... hakuna contradiction kati ya Bunge, Mahakama na Serikali. Kauli za bungeni zinashughulikiwa na kanuni za bunge siyo mahakamani au serikalini.

Mzee kinana, mimi ningekuwa wewe, kwa kweli nisingekubali wadhifa huo ulioupokea. kama kula umekula ya kutosha nasasa ungebaki na heshma yako unayosema umeijenga kwa miaka mingi. Hii damu ya Vijana iko kasi sana na nyakati zenu za Babu yetu Mzee Ml. Nyerere, THUBUTU HII YA VIJANA KWENDA KASI HAIKUWEPO. HUNA NGUVU TENA YA KUPAMBANA NA DAMU HII. Ungewaachia vijana akina Nape, Mwiguru na wezao.... Jiuzuru mzee.. Aibu si kitu chema kabisa..

Napita tu jamani..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…