Kinana amburuza mh.msigwa kortini

Nimeisikia hiyo magazetini.
Kuna wadau hapa majamvini walimwahidi msigwa kwamba wana ushahidi wa ziada dhidi ya Kinana, ambapo waliahidi kumpa Msigwa endapo Kinana angethubutu kwenda mahakamani.
Haya sasa, ni wakti muafaka kumpa huo ushahidi msigwa.

Mimi ni mmojawao'kuna watu walitumiwa na kinana na wasomali wenzake wakati akiwa waziri na mbunge kusafirisha meno ya tembo kupeleka wanakojua wenyewe'kwa ujumla kinana amekosea sana kufungua kesi hiyo inaonyesha ni jinsi gani anavyopotoshwa na washauri wake'hii kesi kama Msigwa na wapenda mabadiliko wakiamua kukomaa italeta pigo kubwa sana kwa ccm
 
Ingekuwa kwenye mahakama zetu za Gacaca, mshikwa na ngozi ndiye mwizi wa ng'ombe. Mbona wale askari wa K'njaro waliotumia gari la polisi kusafirisha bangi za wakubwa, walifukuzwa kazi? Hivyo Kinana asikwepe, meli, kampuni na meno ni mali yake.
 
Hapo ndipo ninapoichukia ccm na mihimili yao feki,hili jangili limeshapiga hesabu na kujua shoka lipo shingoni na kukimbilia mahakamani ili hii isiendelee kuzungumzwa ki kisingizio kesi ipo mahakamani na kuchukua miaka 5.ya manji na mengi iko wapi?
 
Tarangire simba dume wamebaki wawili tu..!!!
huyu kinana anatakiwa anyongwe kabisa ,hawa viongozi wa sisiemu ni majanga jamani.

Kumbe jamiiforum ni vichaa kama hivi?...acheni ujinga nyinyi,kinana hata km kaiba lakini ushahidi mnao au nyinyi ndo mnafuata mkumbo 2...
 
Kumbe jamiiforum ni vichaa kama hivi?...acheni ujinga nyinyi,kinana hata km kaiba lakini ushahidi mnao au nyinyi ndo mnafuata mkumbo 2...

Futa kauli yako we mbulula JF sio vichaa.

Ushahidi gani sasa unataka wakati kila kitu kiko wazi "MSHIKWA NA NGOZI HUYO NDIO MWIZI "
 
Futa kauli yako we mbulula JF sio vichaa.

Ushahidi gani sasa unataka wakati kila kitu kiko wazi "MSHIKWA NA NGOZI HUYO NDIO MWIZI "

Kumbe we ndo jinga la mwisho kak,hv kungekua na ushahidi wa kutosha kinana angeenda mahakaman?...fikiri kabla ya kuropoka huo utumbo wako kak
 
Rudi Mirembe ukamalizie tiba, hujui usemacho!

Kak nyan we akil zako bado ni zakinyanyan coz unaingiza uchama kwenye hali halisi,kila m2 anachama kak so usishabikie kesi 2 kwa maana sheria haiangalii chama bali huangalia shutuma husika pamoja na ushahid sasa jiulize ushahidi upo wap...

Nyan usiwefatamkumbo 2 kak
 
Back
Top Bottom