Buldoza
JF-Expert Member
- May 2, 2013
- 2,306
- 980
Ndugu wana jamvi kuna taarifa tajwa hapo juu ambazo ningependa kutoa ufafanuzi hapa.ndg Bryson Masinga aliwahi kuwa katibu wetu hadi tarehe 15.09.2013 alipoondolewa na Baraza la Mashauriano Mkoa wa Mbeya kwa makosa mbali mbali.tuhuma nyingi jana nilizitoa kwenye ukurasa wa facebook na kwa mantiki hiyo huyu si kiongozi wa chadema na alikuwa mwananchi wa kawaida tu.ushauri wa bure ni kwamba watu wawe wakweli kwa mambo ambayo mwisho wa siku yatafahamika.
Kaka CCM kuna hela ya wajinga, wajanja wanaichukua kirahisi mno. MaCCM hawafanyi hata uchunguzi, ukitaka kula hela yao kirahisi jifanye umetoka Chadema na ulikuwa kiongozi. Wajanja wengi kwasasa wamewafanya magamba mtaji.