Kinana aitesa CHADEMA, avuna Katibu wao Chunya na wanachama zaidi ya 86

1453548_557544197654624_1444721052_n.jpg
1424353_557544317654612_1050647297_n.jpg

Ridhiwani Kikwete


OPERATION VUA GWANDA VAA UZALENDO......IMEANZA UPYA

Katibu wa ile Ngo inayoitwa CHADOMO wilaya ya chunya brayson mwansimba akirudisha kadi kijiji cha lupa na Kujiunga rasmi na CCM leo.

Wewe mzalendo unasubiri nini? Njoo kwenye Chama kinachokujali,kinachokutumikia na kinachoangalia mustakabali ya Uhuru wetu na Mshikamano kwa mapana..." kuna tofauti kubwa kati ya kutenda na kupiga kelele."
1471190_557544064321304_1356727376_n.jpg

Katibu huyo hajaenda pekee yake CHADEMA,Kinana amepokeza wanachama zaidi ya 80 kutoka CHADEMA na wachache wakiwa wa CUF hii leo.Kitendo hiki ni wazi kuwa CHADEMA imefika ukomo kwenye maisha yake ya kisiasa,Huku wengine wakijiuzul,MWENYEKITI Taifa akipambana kulinda kiti chake,wengine wakitoa matamko,CCM chini ya Kinana kazi yake ni kuvuna tu wanachama wanao tambua kuwa ndani ya tanzania chama ni kimoja tu chenye mtazamo wa kitaifa,chenye misingi imara bila ubaguzi wa dini au kabila.

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ekuwa-katibu-wa-wilaya-ya-chunya-chadema.html
 
Back
Top Bottom