cdm ife kwa ajili ya huyo masikini mmoja ? anza upya mkuu .Chadema imekufa mapema kuliko muda aliotabiri Wassira...
mjomba ccm imekataliwa kila mahali , huyo jamaa ameponzwa na umasikini wa kipato .mbona hajarudisha kadi ya cdm.
ina maana hapo palikuwa na wana cdm 80 tu?
Hahaaaa mkuu utakua unaota ndoto za mchana wewe,sijawahi juta na wala sitojuta kwa uamuzi wangu wakurudi nyumbani ccm.Huyu ni mhemuko tu ngoja operation sangara ikianza atajuta kama akina shonza
Kwahiyo tufanyeje sisi????