Kinana aitesa CHADEMA, avuna Katibu wao Chunya na wanachama zaidi ya 86

Taswira

JF-Expert Member
Sep 23, 2012
1,198
447
1453548_557544197654624_1444721052_n.jpg
1424353_557544317654612_1050647297_n.jpg

Ridhiwani Kikwete


OPERATION VUA GWANDA VAA UZALENDO......IMEANZA UPYA

Katibu wa ile Ngo inayoitwa CHADOMO wilaya ya chunya brayson mwansimba akirudisha kadi kijiji cha lupa na Kujiunga rasmi na CCM leo.

Wewe mzalendo unasubiri nini? Njoo kwenye Chama kinachokujali,kinachokutumikia na kinachoangalia mustakabali ya Uhuru wetu na Mshikamano kwa mapana..." kuna tofauti kubwa kati ya kutenda na kupiga kelele."
1471190_557544064321304_1356727376_n.jpg

Katibu huyo hajaenda pekee yake CHADEMA,Kinana amepokeza wanachama zaidi ya 80 kutoka CHADEMA na wachache wakiwa wa CUF hii leo.Kitendo hiki ni wazi kuwa CHADEMA imefika ukomo kwenye maisha yake ya kisiasa,Huku wengine wakijiuzul,MWENYEKITI Taifa akipambana kulinda kiti chake,wengine wakitoa matamko,CCM chini ya Kinana kazi yake ni kuvuna tu wanachama wanao tambua kuwa ndani ya tanzania chama ni kimoja tu chenye mtazamo wa kitaifa,chenye misingi imara bila ubaguzi wa dini au kabila.
 
Nawaonea huruma siku watu wana anza kazi .Jamaa ataluwa kesha chukua chake mapema .Mbona hajawapa na magwanda ? CCM ni mafundi wa kuwanunua wananchi mie sina shaka .Wacha baada ya wiki ijayo tutajua ukweli .Mtu anacukua kadi a CCM na gwanda ? Haya wacha tuone .
 
mbona hajarudisha kadi ya cdm.
ina maana hapo palikuwa na wana cdm 80 tu?
 
kwa jisni Mbeya ilivyopauka ni wazi kuwa wanaharakati na wanaHARAKATWA ni wengi vilevile.CCM walipaswa jua jinsi wameharibu nchi.
 
brayson mwansimba alishafukuzwa kwy chama siku nyingi kwa matumizi mabaya ya fedha kama kawaida ccm imekuwa ni chama cha kukumbatia wabadhirifu bwana mmoja humu humu ametoa taarifa kuhusu huyu Bwana anakusanya michango hatoi hesabu alipoitwa akakimbia kwenda chama ulicho belong chama cha mafisadi
 
watu 80 ni weng mbona hatuwaoni ?? hao watu wote ukiwahesabu hawafiki 80 hao 80 wa cdm pekee yao wako wapi??
 
Kakiuzulu kipindi sana huyo cdm hatufugi wezi mwache aende kwa maccm akaungane na wezi wenzake
 
Wakuuu itizameni hii picha kwa umakiniii sanaa.... Mnaona nini?!!! Haya nayo maajabu huyu kamanda (gamba) kavaa gwanda juu ya Tshirt ya Chama sikivuu (CCM)!! Ukistaajab ya Musa utayaona ya firaunii..

Huyu karudi alikotokaa c
 
Ndugu wana jamvi kuna taarifa tajwa hapo juu ambazo ningependa kutoa ufafanuzi hapa.ndg Bryson Masinga aliwahi kuwa katibu wetu hadi tarehe 15.09.2013 alipoondolewa na Baraza la Mashauriano Mkoa wa Mbeya kwa makosa mbali mbali.tuhuma nyingi jana nilizitoa kwenye ukurasa wa facebook na kwa mantiki hiyo huyu si kiongozi wa chadema na alikuwa mwananchi wa kawaida tu.ushauri wa bure ni kwamba watu wawe wakweli kwa mambo ambayo mwisho wa siku yatafahamika.
 
Huyu ni mhemuko tu ngoja operation sangara ikianza atajuta kama akina shonza
Hahaaaa mkuu utakua unaota ndoto za mchana wewe,sijawahi juta na wala sitojuta kwa uamuzi wangu wakurudi nyumbani ccm.
Mtajuta Nyie mnaokimbiwa na watu makini Kila iitwapo Leo,chadema inakufa kifo cha mende miguu juu.
Usicheze na shoka na nyundo.Huo mziki wa comrade kinana ni Amsha Amsha popooo(chadomo)mpaka 2015 .
 
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ekuwa-katibu-wa-wilaya-ya-chunya-chadema.html

Hizi kelele zote kutoka ccm dhidi ya CHADEMA ni dhahiri kuwa ccm wameshikwa na uoga mkubwa wa kupoteza madaraka. Hata hivyo ieleweke kuwa wananchi wanapenda kuona mbadiliko halisi kaika maisha yao, na si nani karudisha kadi na kachukua ipi. Kama kweli ccm wanataka kuiteka mioyo ya wananchi waache kufanya michezo ya kuigiza na wawatendee Watanzania haki yao.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom