Kwa taarifa yako, kijana aliyemuibia anaitwa peter daud, na anashikiliwa na polisi kituo cha mabatini leo ni siku ya sita hajafunguliwa kesi wala kupelekwa mahakani.yaani anabanwa pu.bu tu ili atoe pesa mambo yaishe kimya kimya.sasa uzushi uko wapi?
Wamrudishie dola zake 60 vinginevyo usalama wa tembo utakuwa hatarini
huyo shirima anakaa wapi na tutajie namba ya hiyo nyumba aliyouza. halafu tutajie na jina la mnunuzi kama wewe wasema kweli. otherwise jiandae kukatwa midomo na vidole siku ya hukumu kwa mikasi ya moto kwa kusema na kuandika uongo
Angefanya kumuua pia cuz hez worthles! 2mbavu zake jambazi huyo
halafu kuna kitu nimebaini katika thread hii. siiamini mpaka mleta uzi atakapoleta ufafanuzi wa haya yafuatayo
kama hatutapata ufafanuzi juu ya mambo hayo mawili basi hakuna haja ya uzi huu kuendelea kuwepo maana malengo yake ni kupotosha.
- huyu kinana ni yupi, maana akina kinana ni wengi
- wachangiaji wengi wametoa michango yao kwa kumlenga abdulrahmani kinana, katibu mkuu wa ccm, je mleta uzi, kuna connection yoyote kati ya kinana aliyeibiwa na huyu tumjuaye, katibu mkuu wa ccm?
pia kwa jinsi wengi wanavyochangia uzi huu inajidhihirisha ni jinsi gani uwezo wao wa kufikiri ulivyo mdogo. si ma great thinkers tena bali ni vilaza wa kutupa. mtu anayechangia kwa kufikiri huwezi kukurupuka tu ukaanza kuchangia kitu ambacho hukijui
Kwann unataka kutajiwa jina la muuzaji na namba ya nyumba?au ndo unataka kwenda kuchukua huo mshiko wa Shirima?majangili sio watu wa kuaminika.
na hiyo mikasi ya moto umeiona wapi?
kwani we unawashwa nini sisi kuchangia au kinana ni babako?
kwani ni siri kwamba Kinana ni jangili wa pembe za ndovu???
huu ni uzandiki mkubwa sana. hizi ni hujuma zinazofanywa kwa makusudi na wana chadema. sasa naanza kukubaliana na zile makala za kibanda juu ya tishio la kinana kwa uhai wa chadema. najua haya yanafanyika kwa makusudi ili kuchafua taswira yake katika jamii. lakini hawataweza
thread za uzushi na uwongo uliokithiri wenye kulenga kumchafua mtu na kuishusha hadhi yake zinaihribia JF na kuonekana na moja miongoni mwa medias zinazotumiwa kimkakati katika kuchafua viongozi wa Chama na serikali. Jambo hili ni baya na linaloleta tafsir mbaya mbele ya jamii, ni vibaya mno media kutumika kwa maslahi ya mtu au kikundi. Mods thread hizi za namna hii kwanini zipewe nafasi hapa JF..?
Inaonekana as if unajua kinachoendelea.
Kwa nini mtuhumiwa yuko ndani siku sita bila kupelekwa mahakamani?
Unaposema kuwa anabanwa pu*bu, una maana kweli wanam-torture sehemu nyeti?
thread za uzushi na uwongo uliokithiri wenye kulenga kumchafua mtu na kuishusha hadhi yake zinaihribia JF na kuonekana na moja miongoni mwa medias zinazotumiwa kimkakati katika kuchafua viongozi wa Chama na serikali. Jambo hili ni baya na linaloleta tafsir mbaya mbele ya jamii, ni vibaya mno media kutumika kwa maslahi ya mtu au kikundi. Mods thread hizi za namna hii kwanini zipewe nafasi hapa JF..?