Kinana aibiwa nyumbani kwake

Dollar aka $ 60,000 * 1,600 = 96,000,000 Tshs almost 100M aka 100Millions Tshs.
Dogo kama alishinda Bahati Nasibu.


 

Hii umeiandika umekaa au umesimama?
 
Huyo dogo hana akili hiyo hela ilikuwa ya kuchimbia sehemu sio kununua vitu haraka hata ingekuwaje pesa haina ushahidi kama hayo mavifaa
 

za cku bw. NAPE,Kinana ni jangili,mwenye biashara haramu huwa haweki Naira bank
 
Natumaini huna maana hii si habari au tukio kama mengine ndani ya jamii. Pia nadhani Kinana ni tatizo kubwa kichama, kiserikali na kijamii chukueni hatua. Unajua dola zinapofutikwa chumbani kwa mtu zinasababisha dhamani ya shilingi kuyumba? Huyo kijana kajitahidi kuziosambaza tu; ila njia aliyotumia ya wizi si nzuri, angalau angetumia ambayo ingemstiri zaidi.
 
husika na kichwa hapo juu

na hz nfedha zlzoibwa nyumbani kwa KINANA
source MABATINI POLISH
 

Mkuu kama unaujua Ukweli ni bora kutueleza kuliko kusema ni ya kumchafua mtu, halafu hausemi ukweli halisi au usafi halisi ndio upi...

Je ameibiwa au hajaibiwa? Kama kaibiwa ni dola elfu 60 au pungufu ya hapo? Na je Kinana anakaa na hela zote hizo nyumbani kwa maslahi gani?

Pia kumbuka jamaa wakishuka na RB namba hapa utajikuta unaaibika wewe mwenyewe, labda mkafute kesi kimya kimya
 
ina maana zilichukuliwa muda mrefu Kinana halikuwa hana habari,mpaka huyo kijana akafikia kununua gari,pikipiki,nyumba,inaonyesha kwamba hivyo vijidola vilikuwa vimewekwa kama vijisenti tu, ndani
 
Mkuu hili tukio limetokea, na kijana aliyeuza nyumba, amelipwa pesa nusu, milioni 35, anadai ml 30. na yeye anasema hawezi kurudisha pesa ila wakitaka wammalizie pesa wachukue nyumba. wakishindwa basi imekula kwao
 
una internet access.....tafuta kiwango cha dola 1 kwa tsh halafu zidisha mara 60,000 utapata jibu....huna sababu ya kufungua thread kujua ni tsh....kwa kukadiria kwangu bila calculator wala nini its around tsh 96,000,000
 
ndio maana shilingi yetu inashuka thamani kila siku,viongozi wa ccm wanathamini dola kuliko shilingi hata adam malima sii aliibiwa dola 4000 na changu morogoro!dola 60,000 nyumbani za nini kama sio za kulipia ma deal ya chap chap?mwaka 1983 dola 1 ilikuwa sawa na shilingi 12.leo ni shilingi 1625
 
ni hela ndefu,ila kiufupi nitosha kujaza kontena la futi 20 pembe za ndovu.
 

Tusker alizo torosha kwenda nje ya nchi ndo zimeanza kumgeuka.Mwosha ......
 
huu ni uzandiki mkubwa sana. hizi ni hujuma zinazofanywa kwa makusudi na wana chadema. sasa naanza kukubaliana na zile makala za kibanda juu ya tishio la kinana kwa uhai wa chadema. najua haya yanafanyika kwa makusudi ili kuchafua taswira yake katika jamii. lakini hawataweza
 

najua umetumwa. kumbuka dhambi ya uongo haina toba. nakushauri uende kwa kinana ukamwombe radhi personal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…