A Father
JF-Expert Member
- Nov 11, 2012
- 1,385
- 602
Extraordinary, maswali haya hapa na
majibu yawekwe hapa.
majibu yawekwe hapa.
Hivi nyie [wahusika]haiwezekani kuonekana warembo pasipo kuweka hayo madubwasha yenu? Kila unaemwona nywele za bandia, kucha za bandia, kope za bandia, make up ndo kabisaa mpaka ndugu zenu wanawasahau. Kuongea Mzungu si Mzungu, Mswahili si Mswahili... yaani kila kitu ni artificial, hivi hamjishtukii? Au ndo tuseme mmekwishapoteza mwelekeo??? ...
Last edited by a moderator: