Happy New Year...2016Hahahahaaa! Ni kopo la chooni tu ndo linaweza kukosa haya kiasi hiki cha kuja hapa mbele za watu kuongea mashudu matupu. ILA MAKOPO YA CHOONI TUNAWASEMEHE BURE ILE KAZI YENU IMEWAKOMAZA, KUCHUNGULIA TUPU ZA WABABU, WABIBI, WATU WA MAKAMO, VIJANA, WATU WAZIMA, VITOTO, IT IS OKAY YOUR JUDGEMENT CAN BE UNREASONABLE! We understand.
Happy New Year...2016
Ndo Hawa kuolewa kisa kafika 30. Usiku hata kumuangalia huyo mwanaume hutaki. Halafu wanataka kuaminisha sisi huku nje kuwa tunakosa mengi kweli humo ndoani. Mara tunakosa heshima. EBO . Au wametukomalia kwasababu wanataka na sisi tu join their misery. HATUDANGANYIKI. Angalau kama mkewe analala chumba cha ukweli. Hapo chumba full makorokoro na vumbi, hata uhuru wa kutoa gesi Huna. Aku. Tuachege tukae hata 40 peke yetu hizo shida hatuzitaki.Hapo sijapanic,nikipanic huwa sijibu mtu incase hujajua hilo lielewe kuanzia sasa...
Its good umeadmit,sasa shughulikia matatizo yako usishushie stress zako jf
Actually kukesha kujibishana na single ladies sa saba usiku huyo mke dudu anapata sangapi teh teh,nitangulize pole,nyiee wanandoa mnatufundisha nini Hahahaa nicheke mie nisije sema yasiyohusika
Njia ya kusolve matatizo sio kuja kurukia watu huku,yasolve huko huko...
Let me spare some words,naomba officially niunsubscribe huu uzi since umeadmit you are a stressed married man can't add more stress to you...lunch njema
Mwaka huu wengine tushakubali kuwa wapole tu.Save this for later! YAANI HAPA NAPIKA SUMUUUUUUU, BABU KUBWAAA Y KUFUNGULIA MWAKA. Vidume mtaisoma namba mwaka huu. Bado mwaka sijafungua
Kwa hiyo wewe unajua?bora kuwa na kipara maana unaweza kukisitiri kwa kofia kuliko kuwa na mapunye harafu unajiita mjuaji... Heri ya Mwaka Mpya mkuu
Just to make me happy sexually,not in my mind to exchange the vow banaNo further question your honor. Sasa kelele za nini kama even if you are 50 you can stand a chance kwenye watu wenye mioyo ya kutu kama wako?
AGE IS JUST A NUMBER.
Hahahaa mke bikra nyolooo,ye mwenyewe kaoa screpa habari ndio hio... Hivi unadhani wanaocoment hapa maisha yao yapo perfect kama waelezeavyo...Yani kumbe bikra na chuchu saa sita za mkeo hazijasaidia kutengeneza ndoa zenye furaha. Mume full stress kucha kutukana wanawake online hadi saa saba usiku kumbe ana msema mkewe.
Ndoa sio bikra na nyonyo jamani. Jifunzeni.
Mxiuuuuuuuuuuu! WANAUME WENYEGUBU KAMA MTOA MADA NDO WANAKUFUJA MPAKA UNAKIONA CHA MTEMA KUNI. Hapo hajakuoa nyodo ndo zipo level hiooo! Hahahaaaaaaaa! Ndo ile mume wa kuchoraa, mume mume jina hakujui kwa sabuni wala kanga. Hahahaaa! Kwenda KFC sahau. Ndo maana nawaambia Wanawake TUFANYE KAZI USIJIBWETEKEEE. Ukipata jibaba kama hili utavaa lonya na wanao mpaka ukomeee. Kariakoo itakukoma, sare za jiji ndo zako, ofisini kama mfagizi. Nguo ya ghali kumiliki 30,000. Hahahaaa! Ngachokaaa! Nguo za kina TK Fashions kijitonyama za 150,000 cheappest kwa 300,000 utaziona dukani tu Hahahaaa! Jibaba hili likupe 200,000 ununue gauni thubutuuuuu!
Ila kuna WANAUME WANA ROHOOOOOO! We acha tu! Mpaka unashukuru Mungu! Anakupa matunzo unadhibitisha bila shaka yoyote ni uzao wa Abel! Anakuoa na mitoto yako na kuilea kabisaaa. NDO KUSEMA HUMUONI ZARI AU? Na mitoto yake 3 na bado katupiga vikumbo wali tusioijua lebaaa.
Sasa you are stressed and am not,siwezi mshenga take your time and heal your wounds ila siwezi kukusaidia kingineKumbe ile ilikuwa ni kuadmitt, sasa kama ndoa ina shida si ndio nakesha jf kupunguza stress. Hiyo dudu natoaje wakati wifi yako ameninunia asee..!! Do not unsubscribe untill we put this to bed, do not spare me..tema kila kitu hadharani..
Housegirl, hakuna anayemtukana mwanamke, at least sio mimi na kumsema mke mtandaoni ni ujinga wa hali ya juu, bahati mbaya sijui mnapanic au ni vipi. Huwa naongelea lifestyle zenu katika umri fulani tu. Kuwa online saa saa saba kunaletwa na sababu nyingi, wengine hawana usingizi late wanaamka na kuchezea simu zao, wengine wana errands zao mida hiyo.
Bunch of loosers kabisaaa.My dear,huyo ukiona comment zake we mpite tu,hio ni milembe case anachanganyikiwa tu...maisha yanawapiga watu hatarii tupo tunabishana nao hapa kumbe wana mizigo yao hatariii.... No one is worth arguing hapa,just a buch of loosers maisha yamewapiga wanajifariji humu
HAHAHAAAAAAAAAAAAAA! What ia VOW? JUEST MERE WORDS! So you really think if i say i will be yours and your only THAT IS IT? Regrdless of my History as a SERIAL CHEATER, FILTHY LAIR, GREED AND OVER AMBITIOUS. Just because i say some FEW REQUIRED WORDS everything will change? Really!Just to make me happy sexually,not in my mind to exchange the vow bana
Hahaa dokita Acha hizo. Nini kumuambia mgonjwa dawa zipo lakini kumbe ziko kwenye pharmacy Binafsi. HahahahSasa you are stressed and am not,siwezi mshenga take your time and heal your wounds ila siwezi kukusaidia kingine
you seem to have gathered enough info to hit me with...damn it!Hahahaa mke bikra nyolooo,ye mwenyewe kaoa screpa habari ndio hio... Hivi unadhani wanaocoment hapa maisha yao yapo perfect kama waelezeavyo...
Sasa you are stressed and am not,siwezi mshenga take your time and heal your wounds ila siwezi kukusaidia kingine
Hahahaa mke bikra nyolooo,ye mwenyewe kaoa screpa habari ndio hio... Hivi unadhani wanaocoment hapa maisha yao yapo perfect kama waelezeavyo...
Hahahaa mke bikra nyolooo,ye mwenyewe kaoa screpa habari ndio hio... Hivi unadhani wanaocoment hapa maisha yao yapo perfect kama waelezeavyo...
Mhhmhhh sijawahi kukuona kwenye hali hii.....My dear,huyo ukiona comment zake we mpite tu,hio ni milembe case anachanganyikiwa tu...maisha yanawapiga watu hatarii tupo tunabishana nao hapa kumbe wana mizigo yao hatariii.... No one is worth arguing hapa,just a buch of loosers maisha yamewapiga wanajifariji humu
muuliza swali huwa ndio mwenye jibu unaonaje ukajibu hilo swali mpendwaKwa hiyo wewe unajua?
lara one samahani lakini, hii tabia ya kuthamini wanaume wenye hela umerithi kwa nani?
Na ka ni kwa bi mkubwa, basi kwenu mpo mambo safi, na sioni sababu ya we kutamani tena mali, sidhani ka mzee ataacha kukupa zawadi ya range rover na jumba masaki la kuanzia maisha siku ya harusi yako.
Kumbe brenda ni dokta, kweli huyu dokta anaijua saikolojia yangu...teeeh!! hawa ndio madokta wetu...Weeeeeeh!!!! Hutukani wanawake wewe. Jinsi unavyoongeleaga Wanawake tunakushangaa. Wala sio kuongelea lifestyle. Maneno ya kejeli, dharau. . Very provocative. Bora dokita kakuAsses, it reflects your anger towards your wife. Polee wee. Mngekuwa mmefikishana mngelala hahaaa
ha ha ha ha ha! Licha ya maisha kutupiga lakini kwa vibiashara vyangu nina uwezo wa kukulipa mshahara wako mara mbili na huo unaopokea kwa sasa.. Naona kukongoloka kumewaua hata viwango vya uelewa wenu....Hahaa dokita Acha hizo. Nini kumuambia mgonjwa dawa zipo lakini kumbe ziko kwenye pharmacy Binafsi. Hahahah
Yani kumbe all this time wanaita mama za watu skrepa kumbe wanaongelea wake zao? Hahahaha karibuni kiepe kuku na juice ya ukwaju. Naona nayosoma humu makali kuliko hii JuiceHahahaa mke bikra nyolooo,ye mwenyewe kaoa screpa habari ndio hio... Hivi unadhani wanaocoment hapa maisha yao yapo perfect kama waelezeavyo...