Hapo sijapanic,nikipanic huwa sijibu mtu incase hujajua hilo lielewe kuanzia sasa...It's possible, you may be right Brenda...my marital life is in shambles asee..teh!!!
.your comment sums it all mshenga!! relax then tujadiliane, acha kupanic!!
Excellent. Your God is punishing you for all your sins.It's possible, you may be right Brenda...my marital life is in shambles asee!!
Jehovah has posted. Have you seen? (refer to ibra87's post)Yani huo mstari ndio wanaume wameushika...
Mistari mingine hawaioni kama wanaikosea..alafu tafsiri zao sasa mimi ndio nachoka kabisa..
teh teh...my God is really doing me now, huh!Excellent. Your God is punishing you for all your sins.
It's time you pay for your sins. Doesn't matter ulitubu sijui unaenda kanisani these are the consequences of your actions.teh teh...my God is really doing me now, huh!
Usinicheke buana, ni ups n downs tu hizo...
Kumbe ile ilikuwa ni kuadmitt, sasa kama ndoa ina shida si ndio nakesha jf kupunguza stress. Hiyo dudu natoaje wakati wifi yako ameninunia asee..!! Do not unsubscribe untill we put this to bed, do not spare me..tema kila kitu hadharani..Hapo sijapanic,nikipanic huwa sijibu mtu incase hujajua hilo lielewe kuanzia sasa...
Its good umeadmit,sasa shughulikia matatizo yako usishushie stress zako jf
Actually kukesha kujibishana na single ladies sa saba usiku huyo mke dudu anapata sangapi teh teh,nitangulize pole,nyiee wanandoa mnatufundisha nini Hahahaa nicheke mie nisije sema yasiyohusika
Njia ya kusolve matatizo sio kuja kurukia watu huku,yasolve huko huko...
Let me spare some words,naomba officially niunsubscribe huu uzi since umeadmit you are a stressed married man can't add more stress to you...lunch njema
ukweli haungalii huyu ni nani... Daima ukweli humuumiza yule unayemgusa ..... Ukiumia mezea kwa kuwa hakuna ulazima wakutafuta kokoto wakati hata jino la kutafunia karanga hauna...Jehovah has posted. Have you seen? (refer to ibra87's post)
Wanowaharibu pia unawaambiaje?Maana isije kuwa unaharibu mwenyewe,halafu unalaumu mwenyewe!Kila mmoja wetu ana wajibu!Mnapokuwa bado warembo na chuchu zimesimama kama kifuu cha nazi mnakuwa na dharau sana tena sana, wanaume wanapokuja kuwachumbia mnawachambua kama karanga, mwisho wa siku mnaangukia pabaya na kujikuta mmezalishwa na kutelekezwa na au kuambukizwa HIV na kisha mnapoteza kabisa dira.
Mkishakuwa skrepa chuchu zimekuwa kama ndala na wengine mnameza vidonge vya ARV ndo mnajifanya wastaarabu na eti mmeokoka, sikatai mtu kumrudia muumba wake pindi amelikoroga maana Yesu alikuja kwa ajili ya wenye dhambi, hapo si vibaya.
Mnachokera ni ile tabia yenu ya kutafuta kuolewa wakati mnalea watoto wa wanaume wengine na wengine mnabwia ARV, usichana wako umeula pekee yako tena kwa kiburi bila ya kusikia la mtu, umekuwa bonge la skrepa eti Unataka uolewe sasa, nani aanze maisha na skrepa? mbaya zaidi mnashinda makanisani eti mnamwomba Mungu ili awape waume, mlikuwa wapi wakati mmechanua? Baada ya kunyauka ndo mnaanza kumsumbua Mungu, huo ni usumbufu kwa Mungu usio na kichwa wala miguu.
Mungu alikuumba ukiwa bora kabisa ukajichakaza kwa upuuzi wako halafu yeye akusaidieje? Endeleeni kumwabudu muumba wenu hiyo ni haki yenu lakini tabia yenu ya kujidanganya eti mtaolewa hapo imekula kwenu, mtazeeka mkiwa wasimbe, No way! hakuna kijana wa leo aliye tayari kulea mtoto wa mwanaume mwenzake labda wazee hapo sawa.
Na kwa wale walio safi bado endeleeni kujitunza hadi siku ya ndoa na msikubali kuonjwa.
Huu ni ujumbe wangu kwenu kwa huu mwaka mpya.
ukweli haungalii huyu ni nani... Daima ukweli humuumiza yule unayemgusa ..... Ukiumia mezea kwa kuwa hakuna ulazima wakutafuta kokoto wakati hata jino la kutafunia karanga hauna...
Ni kweli usemacho, haijalishi umetubu au vipi...kama uliharibu lazima utapatilizwa tu. Hata uende kwa westerners, utapatilizwa tu...!!It's time you pay for your sins. Doesn't matter ulitubu sijui unaenda kanisani these are the consequences of your actions.
Uwe fundisho kwa wanaume wachafu wote ambao baadae ndoa zikibuma wanakuwa wanyenyekevu na kujifanya kumrudia mungu.
bora kuwa na kipara maana unaweza kukisitiri kwa kofia kuliko kuwa na mapunye harafu unajiita mjuaji... Heri ya Mwaka Mpya mkuuAkili ni nywele, wengine wana vipara
Yani kumbe bikra na chuchu saa sita za mkeo hazijasaidia kutengeneza ndoa zenye furaha. Mume full stress kucha kutukana wanawake online hadi saa saba usiku kumbe ana msema mkewe.Ni kweli usemacho, haijalishi umetubu au vipi...kama uliharibu lazima utapatilizwa tu. Hata uende kwa westerners, utapatilizwa tu...!!
Lala1 hawezi nipenda mm mrondo!Huyo anawapenda kama nyie bana wenye kazi nzuri
Rita kikongwe yule haiingii hata ktk MP zake ndiyo mm nawapenda kweli kweli kama wale sababu nina guarantee ya kupiga eheheheHahahaaa! Unajuaje SIKO 30? UKUTE NIKO 50 BADO JEURIIII! Madam Rita ana miaka MINGAPI? Ana mitoto mingapi? Juzi tu hapa si Kiba alikuwa kafikaaa, hasikii wala haoni.
RULES OF THE GAME HAVE CHANGED SO SHOULD THE PLAYERS.
Kisicho na haya kila siku kuchungulia nini??!! Ha ha ha ha ha we kiboko!
Housegirl, hakuna anayemtukana mwanamke, at least sio mimi na kumsema mke mtandaoni ni ujinga wa hali ya juu, bahati mbaya sijui mnapanic au ni vipi. Huwa naongelea lifestyle zenu katika umri fulani tu. Kuwa online saa saa saba kunaletwa na sababu nyingi, wengine hawana usingizi late wanaamka na kuchezea simu zao, wengine wana errands zao mida hiyo.Yani kumbe bikra na chuchu saa sita za mkeo hazijasaidia kutengeneza ndoa zenye furaha. Mume full stress kucha kutukana wanawake online hadi saa saba usiku kumbe ana msema mkewe.
Ndoa sio bikra na nyonyo jamani. Jifunzeni.
My dear,huyo ukiona comment zake we mpite tu,hio ni milembe case anachanganyikiwa tu...maisha yanawapiga watu hatarii tupo tunabishana nao hapa kumbe wana mizigo yao hatariii.... No one is worth arguing hapa,just a buch of loosers maisha yamewapiga wanajifariji humuYes Jehovah, tell us more.
#POPOMA
No further question your honor. Sasa kelele za nini kama even if you are 50 you can stand a chance kwenye watu wenye mioyo ya kutu kama wako?Rita kikongwe yule haiingii hata ktk MP zake ndiyo mm nawapenda kweli kweli kama wale sababu nina guarantee ya kupiga ehehehe