Kinadada acheni kumsumbua Mungu

Waambie wasikie! Tumechoka aisei afu hawa single mother hawasumbui ata kidogo..
 
Hahaha sawa Muislam safi ,nenda basi kamsaidie mfalme mswati ku recruit wake zake ,uende kabisa na proposal yako kwamba ni wanawake over age ndio watakao mfaa uone kama ujala shaba hadharani

Mswati is savage babarian who worships African idols. Huwezi kumfananisha na Sheikh Naseeb yakheee! Naseeb mtu wa kumtii mtume na sharia zake. Ikitokea kakosea basi atafanya toba, ila ni mtu anaejitambua yupo upande gani.
 
Mkuu @lara 1, umeelewa kilichoandikwa na mleta hoja?! Maana naona povu linakutoka kwelikweli.

Chungu ila ndo dawa. Vumilia kwasababu hamna namna.
Nlisema watakuja single dada streesed na maisha wataanza kutukanaaa....

Teh teh... wote hao ni 30+ jua lishazamaaa....kaz matusi
 
Then hapo ameshachujuka tiale, anajidai ameokoka ole wako umtokee hapo ndo utajuta kuzaliwa , kumbe ungejua behind the scene ,, cha msingi makubaliano ya kutongozana na kukubaliana sio lazma uchujuke kwanza jamani ,,,, au dini ndo inataka makombo ???
 
Mkuu @lara 1, umeelewa kilichoandikwa na mleta hoja?! Maana naona povu linakutoka kwelikweli.

Chungu ila ndo dawa. Vumilia kwasababu hamna namna.

Hahaaaaa! Chungu cha kupikia toka lini kikawa dawa? Au sumu ishakuingia akilini? Nilichoelewa mimi kina kuhusu nini? Toa hoja zako sio kunifata makalioni kwenye hoja zangu bila sababu. Huna haya kama kopo la chooni kutwa kuchaaa kuchungulia nyuchi za rika zoteee. Hahaaaaaa! Kajambe mbele.
 
mbona yanakutoka hivyo jiwe limejupata utosini...??? Utakuwa uko hatua za lala salama hakusomeki..
 
Hahaha huu mfano nimeupenda, ana mtoto kaachika mara 3 na bado anaolewa ya nne, kuna ambao wamejitunza na hawajui hata wataolewa lini?hata wa kuwaambia "dada hujambo" hamna, kwenye maisha kila mtu kapangiwa fungu lake, let people be
 
Anayo ? Hiyo kitu kidogo? Khe heeee kheeee... mkuu hi vita na 30+ single dada ni vita ya nne ya dunia

Hahaaaaa! HAO MLIO WAOA MNAWAFUJAAA KUWAVISHA LUNYAAAA NA KUWALISHA MICHICHA KAMA MBUZI MBONA HAMSEMI HAPA? Wagawa nyuchi kwa kasi humu maofisini njaa kali, ndo ashajipatia kikopo cha chooni, hakina hela wala kismati cha dili. Hahahahaaaa! Msitake niwavue nguo wima wima hapa.

FYI wanambwatogi na hawa hawa viwanaume kama Dai, viserengeti kwa vitu vidogo kama safari. Hahaaaaa! Hii inaitwa EITHER WAY LIFE FU.CKS US ALL. Mnalooooooo hili leo.

SINA COZ I SAY NO TO VIKOPO VYA CHOONI! Paka mwenyewe simfugi itakuwa bwana! Thubutuuuuuuu! Rihanna mwenyewe mume hana, sio kakosa kakataa VIKOPO VYA CHOONI kina Drake. Hahahaaaaa.!

Japo kopo la chooni la mwenzio kwako linaweza kuwa Lulu. Kama mimi Klyn angenipa kikopo chake kimoja tu cha chooni naolewa in 5 minutes. Hahahaaaa
 
Last edited:
Hahaha haya bana kaka mtumishi. Afu unaweza kukuta hao wanaowajibu hawajafika hata 30.
C.c @atoto
Ahaa haaa.....yes. but kuna wale hawajafika thirty but wapo stressed na disperate....

Ila mtoa mada anataka hawa wadada waende wamlilie nan? Jamn...

Wakat maandiko yanasema tumpelekee mizigo nayeye atawapumzisha...?

Dada mtumishi
 
Nlisema watakuja single dada streesed na maisha wataanza kutukanaaa....

Teh teh... wote hao ni 30+ jua lishazamaaa....kaz matusi

Na hili ndo kubwa lao humu.

Ilikuwa ni lazima ajitokeze. Hili jiwe lililorushwa lilikuwa kali sana.
 
Mswati is savage babarian who worships African idols. Huwezi kumfananisha na Sheikh Naseeb yakheee! Naseeb mtu wa kumtii mtume na sharia zake. Ikitokea kakosea basi atafanya toba, ila ni mtu anaejitambua yupo upande gani.
Oh ila ni kwenye mafundisho ya kiislamu waumini wana amini ni bora asidhini hapa duniani ili akakutane na virgin 70 akhera ,wondeful narudia tena Virgin ,sio vitu vilivyotumika vibaya kwenye ujana wao , kazi kulia na Mungu ,bora hata Ghadafi walau alitimiza hayo akiwa hai kuwachagua wanawake bikira kuwa kwenye buble ya walinzi wake
Au Ghadafi hakua muislamu safi ?
 
Teh Teh akanana @lara 1 happy New year..
 
Mswati is savage babarian who worships African idols. Huwezi kumfananisha na Sheikh Naseeb yakheee! Naseeb mtu wa kumtii mtume na sharia zake. Ikitokea kakosea basi atafanya toba, ila ni mtu anaejitambua yupo upande gani.
hahahah anamtii mtume kwa kufunua watoto za watu na kuwaacha, mwenzake alikuwa anaoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…