takashi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2009
- 905
- 188
Watu kama kina Takashi ndo knalpotsha wenzeu!
Munganohauna manufaa yeyote kwa bara, kwa kweli wabara hati endi Kuwa na nyinyi mnakimbia uungano maana miaka 48 si lelemama. Makosa yalikwishafanyika kwasababu moja AU nyingine, and i would firmly say, this was purely inevitable at ITS formulation, usiniulize zaidi Bali kasome historia. Tunasema hapa, na tunakubali makosa yalifanyika wakati wa kui da muungano, kilichotakiwa ni uongozi imarakuurekebisha kuhakikisha unamilikiwa na watu, both bara na visiwani.
Tunachiona Sasa ni matokeo ya wajanja wachache kutumia poor leadership ya CCM kujinufaisha, wengi wanategemea more opportunities nje ya muungano. Nyinyi jidanganyeni Kuwa muungano ni tatizo, mnasahau kujiita waislamu mlioungana Shiro ya bara kudai uhuru, amini nawaambieni mji esa znz yenu nyawa Agus wakristo, na haitaishia hapo mtabaguana ninyi kwa ninyi, msisahau pia mko na rangi nyingi!
Kila la kheri katika "harakati za ukombozi wa taifa lenu"
Kwa CCM Sasa, umefika wakati wa kuweka exit strategy ili tuachane vema na ndugu zetu hawa!
Ukitaka kumkera mtanganyika ,basi mueleze ukweli. ukweli ni kitu kibaya sana.