Kinachopooza kampeni za Magufuli ni nini?

Kampeni ya Magufuli imekuwa ya kukatisha tamaa kwakweli, nilitegemea ingetoa angalau upinzani wa karibu kwa Lowassa lakini matamaanio hayo yanafifia kila kukicha.

Kwa mtazamo wangu, mambo yanayodhoofisha kampeni ya Magufuli ni:

1.Kukosekana kwa mtazamo chanya kwenye jukwaa: Magufuli hawapi watu moyo,anaogopesha kila mtu. kampeni imekuwa ya kulalamika sehemu kubwa na Magufuli amekosa Kuonyesha ujasiri wa kuwa rais baada ya tarehe 25 October.Ukiangalia jukwaa la Magufuli utaona watu waliokata tamaa tu.

2. Kukosekana kwa ubunifu: Ukiona mgombea anaongea kisukuma, anapiga pushap jukwaani,anaapa bila sababu unaona picha ya ndege anayehangaika ndani ya chumba chenye dirisha ila haoni pakutokea. Mbaya zaidi hana uzoefu wa kampeni level ya urais na hii inafanya akose cha kuiambia timu yake ya kampeni inapomfuata kwaajili ya maelekezo.Kuiga nembo ya M4C, wimbo wa mchaka mchaka na kaulimbiu ya mabadiliko ni alama tu za kukosa ubunifu.

3. Kukosekana kwa uaminifu: Magufuli mwenyewe anasema kuna watu wakonae mchana ila usiku wako UKAWA.Hii kauli inaonyesha kuwa team ya Magufuli ya kampeni hawaaminiani.Siri zote wanazopangilia zinachukuwa dk.5 tu kuwa kwenye mitandao ya kijamii.Hii inavunja moyo mno wale wenye nia ya dhati na Magufuli.

4. Tabia ya Magufuli kupenda kusifiwa peke yake.Unaposema Tanzania ya Magufuli una maanisha nini? Unapoita wenzako kwenye chama kunguni tukueleweje? Magufuli anataka aonekane yeye tu katika chama na hata kwenye mabango yake mengine hamna utambulisho wa chama.

Ujumbe kwa team campaign ya Magufuli: You could still make this loss less embarrassing, you could make it respectable.Don't panic, reorganize and address these very obvious issues.

Umewahi ona wapi mgombea badala ya kumwaga sera anapiga pushap jukwaani, yani full maigizo na komed.
 
Chama ni wanaChama... Siri ya kufilisika kimaadili kw CCM ni wanachama Viongozi wake..
Laana ya kuwadharau wananchi wa Tanzania itaendelea kuwatafuna.
 
Hebu rudia kusoma hichi kitu ulichokiandika,halafu utulie upangilie ujumbe unaotaka kutuma,utafute maneno kisha uandike tena!
Vinginevyo watu wataona wewe ndio uko dk.3 mbele

Mkuu achana nae huyo kilaza hawa ndio watakao nufaika na elimu ya bure waondoe ujinga walionao
 
Magufuli sio mwana siasa. na watu walomzunguka wote ni watu maslah na wao ni watu wa vijembe Zaidi.
team campeni yake imekita Zaidi kwenye mipasho na kupiga push up
Magufuli ameingia mtego wa kusema sema wapinzani wake akiamo lowassa.
lowassa hata siku moja hataji jina la mtu kumsema ...wala kumkashifu lakini magufuli ana fanya hivyo...anaongelea watu ni simple minds
 
ha ha haaaa,,,me nasoma conversations zenu nacheka tu. Nawe Kubwajinga huyo Dr.Wine mwambieni awe na akili za kiutu uzima,unatokeaje kwenye roof while kuna MILANGO
Mkoroshokigoli walipofika ccm ni hapa 1443678548736.jpglakini kwakuwa hawataki kukubali huu ukweli wanafanya Haya Kama ya huyu jamaa 1443678638107.jpg
 
Last edited by a moderator:
Uliondika ni uzushi kwani kampeni ya Magufuli iko hai kuliko afya ya Lowassa.

Kama uliyoandika yangekuwa ni ya kweli, na bado Magufuli anaongoza kwa 69%, basi Lowassa ni uozo mkubwa usiotibika.

Ushabiki wa kijinga. Ama kweli tusiwalaumu wana siasa wajinga na hovyo wa ccm kwa kuwepo na kutufikisha hapa, bali tuna laumu wana nchi wasio jitambua kama kubwajinga na wengine kama huyu bwana, kwakuendelea kuwa chagua. Dah! Pole sana tanzania yangu.
 
basi poa.tutajua mfu ni nani. tukutane tar 25.
 
Kwa Hoja Ipi?! Uliyoileta Humu Bwana Kubwajinga Hoja Mujarab Aliyoileta Ndg Yangu Paul Alex Yapaswa Kujibiwa Kwa Hoja! Kushindwa Kujibu Hoja Hata Ukikaa Kimya Ni Busara, Na Ziko Dhahir Kabisa Ukizipinga Hizo Hoja, Utakuwa Una Mtindio Wa Ubongo! #Kubwajinga Wewe! Sio Tusi Hilo!

quote_icon.png
By Paul Alex
Kampeni ya Magufuli imekuwa ya kukatisha tamaa kwakweli, nilitegemea ingetoa angalau upinzani wa karibu kwa Lowassa lakini matamaanio hayo yanafifia kila kukicha.

Kwa mtazamo wangu, mambo yanayodhoofisha kampeni ya Magufuli ni:

1.Kukosekana kwa mtazamo chanya kwenye jukwaa: Magufuli hawapi watu moyo,anaogopesha kila mtu. kampeni imekuwa ya kulalamika sehemu kubwa na Magufuli amekosa Kuonyesha ujasiri wa kuwa rais baada ya tarehe 25 October.Ukiangalia jukwaa la Magufuli utaona watu waliokata tamaa tu.

2. Kukosekana kwa ubunifu: Ukiona mgombea anaongea kisukuma, anapiga pushap jukwaani,anaapa bila sababu unaona picha ya ndege anayehangaika ndani ya chumba chenye dirisha ila haoni pakutokea. Mbaya zaidi hana uzoefu wa kampeni level ya urais na hii inafanya akose cha kuiambia timu yake ya kampeni inapomfuata kwaajili ya maelekezo.Kuiga nembo ya M4C, wimbo wa mchaka mchaka na kaulimbiu ya mabadiliko ni alama tu za kukosa ubunifu.

3. Kukosekana kwa uaminifu: Magufuli mwenyewe anasema kuna watu wakonae mchana ila usiku wako UKAWA.Hii kauli inaonyesha kuwa team ya Magufuli ya kampeni hawaaminiani.Siri zote wanazopangilia zinachukuwa dk.5 tu kuwa kwenye mitandao ya kijamii.Hii inavunja moyo mno wale wenye nia ya dhati na Magufuli.

4. Tabia ya Magufuli kupenda kusifiwa peke yake.Unaposema Tanzania ya Magufuli una maanisha nini? Unapoita wenzako kwenye chama kunguni tukueleweje? Magufuli anataka aonekane yeye tu katika chama na hata kwenye mabango yake mengine hamna utambulisho wa chama.

Ujumbe kwa team campaign ya Magufuli: You could still make this loss less embarrassing, you could make it respectable.Don't panic, reorganize and address these very obvious issues.

quote_icon.png
By Kubwajinga

Uliondika ni uzushi kwani kampeni ya Magufuli iko hai kuliko afya ya Lowassa.

Kama uliyoandika yangekuwa ni ya kweli, na bado Magufuli anaongoza kwa 69%, basi Lowassani uozo mkubwa usiotibika.

Majibu yangu ya alichobandika Alex, hayo hapo juu. Nimekuwekea maana inaelekea huwezi kutumia search engines.

Inaelekea bongo lako lina majipu, ila kama halina basi tokotoa nilichoandika au alichoandika Alex badala ya kunywa 'Dengelua' iliyoharibika na kutapikia mtandaoni.
 
Kampeni ya Magufuli ipo na uhai, uhai unaozidi afya ya mgombea kupitia UKAWA.
Huwezi kulinganisha uwezo wa kuongea na kunadi sera wa hawa wagombea wawili. Mmoja anaweza kuongoea na kushawishi, mwingine hata dk10 hawezi kuongea na hata hicho anachoongea hakisikiki...watu na ulofa wao wanashangilia majukwaani as if wanamuelewa lakini hamna kitu.
 
Magufuli sio mwana siasa. na watu walomzunguka wote ni watu maslah na wao ni watu wa vijembe Zaidi.
team campeni yake imekita Zaidi kwenye mipasho na kupiga push up
Magufuli ameingia mtego wa kusema sema wapinzani wake akiamo lowassa.
lowassa hata siku moja hataji jina la mtu kumsema ...wala kumkashifu lakini magufuli ana fanya hivyo...anaongelea watu ni simple minds

Hizo nguvu za kuongea na kuwasema wapinzani wake atazipata wapi? Let's be realistic bwana, kama mtu hawezi kutumia dk15 kuongea na kueleweka, unategemea vipi atumie huo mda kuongea madhaifu ya mpinzani wake!! Tatizo hata kufikiri ni tatizo kwenu.
 
Umenena vyema mkuu, Magufuli hayuko realistic, pia anaahidi ahidi tu vitu ambavyo kwa akili uya kawaida unaona havitekelezeki. Anachofanya ni kuwafurahisha watanzania na furaha yenyewe ni ya wiki tatu tuu. Baada ya uchaguzi tunarudia huzuni zetu.

mkuu umenena vizur xna, ahadi za magufuli ni changa la macho, embu wanaccm eleweni, ahadi zake hazitekelezeki, lowassa anakuambia, ukinichagua, elimu bure hadi chuo kikuu, ivi nani hajui matatizo makubwa tunayoyapata kufatilia mikopo ya elimu ya juu? anakuambia ndani ya siku 100 za kwanza ktka utawala wake atarudisha rasimu ya katiba iliyochakachuliwa na mapema mwaka huu, wakulima mambo ya kudaiwa kodi njian wanapopeleka mazao yao sokoni hakuna, serikli ikimkopa mkulima lazima impe riba kitu ambacho hakipo saiv, na mengne mengi ambayo nitangible,
 
Kwa umeme huu, hao CCM wanaosema watajenga viwanda labda hivo viwanda viwe vinatumia power bank!!!!
 
mkuu baada ya stimu ya viroba kuisha, hebu rudia kusoma ulichoandika uone kama kinaleta maana sio unakurupuka kuandika ujinga hapa halafu unajiona mjanja.

Kama huelewi kiswahili utuambie tuandike kwa kimasai, maana naona umekunywa mashelee mpaka bongo likaganda.
 
Ushabiki wa kijinga. Ama kweli tusiwalaumu wana siasa wajinga na hovyo wa ccm kwa kuwepo na kutufikisha hapa, bali tuna laumu wana nchi wasio jitambua kama kubwajinga na wengine kama huyu bwana, kwakuendelea kuwa chagua. Dah! Pole sana tanzania yangu.

Ilaumu pia CCM kwa kukufundisha wewe kusoma na kuandika tena bila malipo yoyote.
 
Ushabiki wa kijinga. Ama kweli tusiwalaumu wana siasa wajinga na hovyo wa ccm kwa kuwepo na kutufikisha hapa, bali tuna laumu wana nchi wasio jitambua kama kubwajinga na wengine kama huyu bwana, kwakuendelea kuwa chagua. Dah! Pole sana tanzania yangu.

Ni kweli kumbe Nyani Haoni Kundule!!
 
Back
Top Bottom