Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,808
- 15,578
Paprika unatumia kinywaji gani?Upendo wa dhati unatoka moyoni!!!
Ndo maana mtu anaona mabaya yote na usaliti toka kwa mwenzake na bado anampenda... Kazi ya ubongo ni kufikiri na kupambanua mambo...
Ndo ile mwenzako akifukuzwa kazi ubongo unafanya mahesabu ya kua utaishije, kama upendo haujapandikizwa moyoni utaishia kumuacha tu mwenzako...
Ata kama upendo unatoka moyoni, inabidi akili pia itumike, ka aivyo utaumizwa sana na kua bwege
Una ufahamu mzuri wewe atae kuweka ndani akakupenda atapata madini tu