Paprika
JF-Expert Member
- Feb 25, 2017
- 5,950
- 9,880
[emoji9][emoji9][emoji9]Wamekupa pressure hadi umeirudisha hii avatar lol! Ile ya pili baada ya kuondoa hii nayo ilikuwa bomba lakini ya mtoto............. 😛😛😛
[emoji9][emoji9][emoji9]Wamekupa pressure hadi umeirudisha hii avatar lol! Ile ya pili baada ya kuondoa hii nayo ilikuwa bomba lakini ya mtoto............. 😛😛😛
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Swahiba [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]Ingekuwa raha sana
Unameza panadol unapona faster
Ila moyo huwezi kupona kwa kutumia dawa
Kuna kiungo kinaitwa nafsi? Nafsi iko sehemu gani ya mwili?mapenzi yapo kwenye Nafsi...hayapo ubongoni wala moyoni!!Kwenye nafsi ndipo zitokapo hisia.Moyo unaozungumzwa hapo ni ule usionekana siyo hyo organ ya kusukuma damu!!
Nafsi(soul)ni sehemu moja wapo inayokamilisha wewe kuitwa mtu!!Haionekani!!ndyo inayofanya mawasiliano kati ya mwili na Roho(spirit).Katika nafsi ndyo kuna kaa Mind emotions(hisia)etc.Kuna kiungo kinaitwa nafsi? Nafsi iko sehemu gani ya mwili?
Nafsi ni nini kama ubongo na moyo haviko kwa nafsimapenzi yapo kwenye Nafsi...hayapo ubongoni wala moyoni!!Kwenye nafsi ndipo zitokapo hisia.Moyo unaozungumzwa hapo ni ule usionekana siyo hyo organ ya kusukuma damu!!
soma bandiko la 25Nafsi ni nini kama ubongo na moyo haviko kwa nafsi
Ukimpa moyo, ubongo utachunguza mienendo yote ya kazi inayofanywa na muhusika aliepewa moyo,Kazi ya moyo ni kusukuma damu tu,kazi ya ubongo ni kuongoza mwenendo wa matukio mwilini ikiwemo kufikiri na kufanya maamuzi,kwa nini basi moyo unahusishwa sana na mapenzi?mara utasikia mtu anamwambia mpenzi wake moyo wangu wote nakupa,mara nilikupa moyo wangu ukautupa jalalani, mara sitampa tena mwanaume moyo wangu mara nitakupenda kwa moyo wangu wote nk,kwa nini isiwe nitakupenda kwa ubongo wangu wote,nakupa ubongo wangu nk?
SureScientifically Kazi zote hizo ni za ubongo, moyo unauziwa kesi tuu.
Sijui nimelewa ama NIMEELEWEKAUbongo wala moyo hahuusiki:! Nadhani haya ni masuala la homons na nyege na mambo mengine kama mikataba kwa maana mpaka unaona watu wapo pamoja inamaana ubongo umeridhia mkataba huo bila kujali homons zime amurunn ubongo ama ubongo ume amuru nn homons::: swali la kujiuliza hapa kua ni MOYO' UBONGO AMA LAH ni :::::KWANINI HATA KAMA UTAMPENDA MTU ndani yako utaaanza KUM CLASSFY!? Eg: reappearance, type, class u a, class him or her, character etc
Moyo unaumiaje ww, hv ht biology haujui au? macho au maskia yanapokea taarifa inapeleka kweny ubongo na ubongo unatoa response km kitu cha kuumiza hisia zako bas itakuwa hvyo au ww sasa utaamua uzicontrol vp hisia hzo kweny akili yako tu.Kwasababu upendo ni moyo
Chuki pia ipo moyoni
Ikitikea break up kama ulikuwa umependa kweli moyo ndio unaumia sio ubongo
Hzo hormone zenyewe znatolewa kwenye glands na master gland "pituitary" ambayo inaongoza hormone zote mwilin unajua ipo wap mkuu.Ubongo wala moyo hahuusiki:! Nadhani haya ni masuala la homons na nyege na mambo mengine kama mikataba kwa maana mpaka unaona watu wapo pamoja inamaana ubongo umeridhia mkataba huo bila kujali homons zime amurunn ubongo ama ubongo ume amuru nn homons::: swali la kujiuliza hapa kua ni MOYO' UBONGO AMA LAH ni :::::KWANINI HATA KAMA UTAMPENDA MTU ndani yako utaaanza KUM CLASSFY!? Eg: reappearance, type, class u a, class him or her, character etc
Hahah...Washenzi ao wanashirikiana pumbavu kabisa...
Somo gumu sana!!!!Nafsi(soul)ni sehemu moja wapo inayokamilisha wewe kuitwa mtu!!Haionekani!!ndyo inayofanya mawasiliano kati ya mwili na Roho(spirit).Katika nafsi ndyo kuna kaa Mind emotions(hisia)etc.
Ubongo ufanyia kazi yale yanayotoka nafsini mwako au yanayotakiwa kuingia nafsini kwako kwa ushirikiano mkubwa na Mind!!
Hivyo Soul haionekani...ni kiunganishi tu cha mwili wako na roho yako
kumbuka
" We are not human beings having a spiritual experience. We are spiritual beings having a human experience.
Pierre Teilhard de Chardin"