Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,113
- 18,333
- Thread starter
- #81
Wanaogopa wakijenga vizuri kazi zitaishaWanajua wanachofanya,wanajenga mazingira ya kupiga hela hapo,
Nchi hii matumizi ya hovyo ni mengi sana.
Dodoma manispaa ilijenga stend ya salasala jamatini kwa pesa nyingi sana,huku wakijua,hilo eneo ni LA Railway.
Wakajenga na kukarabati stend kuu kwa pesa kibao,na Railway,wakawaambia,waache,wakaperekana mpaka mahakami,
Manispaa wakaendelea kujenga tu.
Railway wakashinda kesi,eneo lipo kwa ajiri ya SGR,stend ikabomolewa,walioidhinisha hizi pesa ilibidi wafungwe.
Mkulu atakiwi kulalamika tu,haya malalmiko yanakuwa kama kiki tu,kama ilivyokuwa ishu ya Mo,
Atuoneshe hao waliotaka kupiga,200M,
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app