Kinachojengwa Mbezi mwisho ni kuchezea kodi za Watanzania

Wewe ni mtu mjinga sana....hiyo civil engineering iliyoshauri BRT ipite jangwani bondeni ambapo maji hujaa kila siku mvua ikinyesha ndio unayoizungumzia? Inasikitisha sana.....kama ulienda shule..hakika ulienda kusindikiza wengine..pole sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Acha kudhihaki taaluma za watu kwa ujinga wako,unajua hapo jangwan ilipangwa ifanyweje kabila ya hiyo BRT??
 
Kwanza naomba kusema wazi naunga mkono wazo la upanuzi wa barabara ya Kimara Kibaha.

Pili nailaumu sana tena sana Tanroad na wizara ya ujenzi kwa kuchezea kodi za wananchi kwani kila baada ya miaka 10 miundombinu hufumuliwa na kujengwa upya.

Kinacho jengwa pale mbezi mwisho hakita ishi zaidi ya miaka 10 kila kitu kitabomolewa na kujengwa upya.

Mbezi mwisho ni makutano ya pande mbili za dar es salaam

Mbezi mwisho ni mji unao kua kwa kasi kuliko.mji wowote hapa dar.

Mwezi mwisho ni lango la kuingia na kutoka dar.

Kwanini tanroad hamtaki kufikiria design nzuri walau kwa miaka 50.

Hamjifunzi mkoloni alivyo weka mita 240 upana wa barabara toka kimara hadi kibaha.

Hovyo viraundi abauti mnavyo vijemga hapo mbezi ni kupoteza kodi za wananchi.

TANROAD INAHITAJI NEW BRAIN

Sent using Jamii Forums mobile app
Asiejua maana haambiwi maana hujiui maana,Kawaida hiyo,maendeleo yana gharama zake,hakuna parmanent duniani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza naomba kusema wazi naunga mkono wazo la upanuzi wa barabara ya Kimara Kibaha.

Pili nailaumu sana tena sana Tanroad na wizara ya ujenzi kwa kuchezea kodi za wananchi kwani kila baada ya miaka 10 miundombinu hufumuliwa na kujengwa upya.

Kinacho jengwa pale mbezi mwisho hakita ishi zaidi ya miaka 10 kila kitu kitabomolewa na kujengwa upya.

Mbezi mwisho ni makutano ya pande mbili za dar es salaam

Mbezi mwisho ni mji unao kua kwa kasi kuliko.mji wowote hapa dar.

Mwezi mwisho ni lango la kuingia na kutoka dar.

Kwanini tanroad hamtaki kufikiria design nzuri walau kwa miaka 50.

Hamjifunzi mkoloni alivyo weka mita 240 upana wa barabara toka kimara hadi kibaha.

Hovyo viraundi abauti mnavyo vijemga hapo mbezi ni kupoteza kodi za wananchi.

TANROAD INAHITAJI NEW BRAIN

Sent using Jamii Forums mobile app
Weka na kapicha basi.
 
Siamini kama Tanzania ina town planners. Maana ujinga wanaoufanya kwenye miji mingi, ni afadhali hata umpate kijana aliyeishia darasa la 7 lakini mwenye akili nzuri, atafanya planning nzuri kuliko hawa wanaojiita town planners. Wanachofanya ni ujinga mtupu, na nadhani uwezo wao wa kufikiri na mipango yao haizidi miaka 5.

Leo hii ukilinganisha miji waliyoplan wakoloni ni mizuri kuliko hao wanaoitwa wazalendo. Upanga, maeneo ya ikulu na Oysterbay Dar, yalipangwa na wakoloni. Tanga mjini ilipangwa na mkoloni, Tabora ilipangwa na wakoloni. Kwenye hiyo.miji yote, walikoendeleza wazalendo ni uchafu mtupu.

Tanroad nako ni hopeless kabisa. Hata mimi naweza kupanga vizuri zaidi kuliko hao wataalam wa Tanroads.

Ukija huko CDA Dodoma nako ni takataka. Barabara nyembamba, hakuna akiba ya maeneo ya barabara wala maeneo ya wazi ya kupumzikia.

Tuna watu wa ajabu kwenye ngazi mbalimbali za serikali mpaka taasisi zake.
 
Mkuu una utaalam wowote katika civil engineering?
Unajua sheria ya barabara?
Hata mwendokasi wakati inajengwa,kulikua na wataalam elekezi feki kama wewe wengi tu
Na ile barabara ya mwendokasi ni ya kujivunia au nayo ni mfano mojawapo wa fikra zetu ndogo?

Wala tusijifariji. Tumetembelea miji mingi Duniani na ya mataifa mengi, tena mengine ya Afrika, ukilinganisha na tunachofanya kwenye maeneo mengi upande wa barabara na mipango miji kwa ujumla, ni uthibitisho wa upeo wetu kuwa duni kabisa.

Ni aheri kutokuwa na wasomi kabisa kuliko kuwa na wasomi wasioweza kupanga tu miji na barabara.
 
Mzunguko hutegemea njia zinazotoa na sio zinazoleta. Foleni ya round about ya m city husababishwa na foleni ya university road kuanzia survey.

Na pale ubungo sio kwamba watumiaji wamehama njia. Akikaa traffic foleni inakuwepo kama kawaida. Ila akiacha round about ijiongoze, hakuna foleni pande zote.

Acheni kutetea upumbavu
kilicho ondoa foleni pale sio mzunguko bali ni watukutumia njia mbadala!
unakumbuka mzunguko wa pale kariakoo? vipi kuhusu mzunguko wa kigogo na m.city mbona bado kuna foleni??
mzunguko haujawahi kua dawa ya foleni zaidi watanufaikia mafundi garage maana watu ni full kupasuana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu una utaalam wowote katika civil engineering?
Unajua sheria ya barabara?
Hata mwendokasi wakati inajengwa,kulikua na wataalam elekezi feki kama wewe wengi tu
Ni kweli,hata mimi kipindi kile zile kelele za barabaraya mwendokasi ilibaki kidogo niwe mfuasi,kumbe ni mitazamo hasi tu wakati mwingine...
 
Wewe ni mtu mjinga sana....hiyo civil engineering iliyoshauri BRT ipite jangwani bondeni ambapo maji hujaa kila siku mvua ikinyesha ndio unayoizungumzia? Inasikitisha sana.....kama ulienda shule..hakika ulienda kusindikiza wengine..pole sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuna wahandisi wa kukariri formula lakini siyo wa kudesign kitu.

Kulikuwa na mradi wa umeme uliopitia Kanisa katoliki, serikali ilitakiwa itoe mhandisi mmoja kwaajili ya design. Alichofanya ilikuwa ni upuuzi mtupu. Baadaye akatumwa technician toka Ujerumani kuja kurudia upya.

Na mradi ukakamilika kwa kusimamiwa na technician wa Kijerumani maana ya Engineer mzalendo kuonekana si chochote wala si lolote.
 
Kwanza naomba kusema wazi naunga mkono wazo la upanuzi wa barabara ya Kimara Kibaha.

Pili nailaumu sana tena sana Tanroad na wizara ya ujenzi kwa kuchezea kodi za wananchi kwani kila baada ya miaka 10 miundombinu hufumuliwa na kujengwa upya.

Kinacho jengwa pale mbezi mwisho hakita ishi zaidi ya miaka 10 kila kitu kitabomolewa na kujengwa upya.

Mbezi mwisho ni makutano ya pande mbili za dar es salaam

Mbezi mwisho ni mji unao kua kwa kasi kuliko.mji wowote hapa dar.

Mwezi mwisho ni lango la kuingia na kutoka dar.

Kwanini tanroad hamtaki kufikiria design nzuri walau kwa miaka 50.

Hamjifunzi mkoloni alivyo weka mita 240 upana wa barabara toka kimara hadi kibaha.

Hivyo viraundi abauti mnavyo vijemga hapo mbezi ni kupoteza kodi za wananchi.

TANROAD INAHITAJI NEW BRAIN

Uzi huu tutakuja kuukumbuka siku wakianza kubomoa wanacho kijenga
Mkulu atakuambia serikali haipati hasara-kuonesha namna wasivyo thamini jasho la mlipa kodi wa Tanzania
 
Kwanza naomba kusema wazi naunga mkono wazo la upanuzi wa barabara ya Kimara Kibaha.

Pili nailaumu sana tena sana Tanroad na wizara ya ujenzi kwa kuchezea kodi za wananchi kwani kila baada ya miaka 10 miundombinu hufumuliwa na kujengwa upya.

Kinacho jengwa pale mbezi mwisho hakita ishi zaidi ya miaka 10 kila kitu kitabomolewa na kujengwa upya.

Mbezi mwisho ni makutano ya pande mbili za dar es salaam

Mbezi mwisho ni mji unao kua kwa kasi kuliko.mji wowote hapa dar.

Mwezi mwisho ni lango la kuingia na kutoka dar.

Kwanini tanroad hamtaki kufikiria design nzuri walau kwa miaka 50.

Hamjifunzi mkoloni alivyo weka mita 240 upana wa barabara toka kimara hadi kibaha.

Hivyo viraundi abauti mnavyo vijemga hapo mbezi ni kupoteza kodi za wananchi.

TANROAD INAHITAJI NEW BRAIN

Uzi huu tutakuja kuukumbuka siku wakianza kubomoa wanacho kijenga
UKIKAAA BAR UNASEMA MAISHA MARAMOJA KUFA MARAMOJA WENZIO WANAKUPA HATA 10 UNATAKA 50 UTENGENEZE UKOOO AMA
 
Wewe ndo unachezea bado lako kwa kupost upuuzi mtupu. Serikali inatumia kodi za wananchi kwa kujenga miundombinu sahihi kulingana na wakati na mahitaji.
 
Halafu utasikia watu binaadamu wameanzia Africa sijui Egypt elimu ilipo tokea na ipo afrika. Tuna miaka 55 ya uhuru bado tunaishi kimiujiza tu kudadeki serikali yetu.

Ndukiiiii ‍♂️‍♂️‍♂️
Wanaosema hayo ni nani kama sio mabeberu unaowasujudu
 
Ile rentention wall ya lile daraja pale Mbezi mwisho nafikiri inahitaji kuangaliwa. Kama barabara itamaliziwa hivyo ilivyo kwa sasa na kwa mvua kidogo iliyonyeesha imeshusha udongo kiasi kile toka kwenye hilo barabara; basi uimara na uhai wake hautakuwa mzuri sana.

Pili ni aina au tuseme ubora wa lami inayotumika, ukiangalia hiyo round about na barabara ya pembeni kuelekea kwa wafanya biashara ndogo ndogo hapo Mbezi, lami iliyowekwa inaacha maswali mengi sana ikiwemo pia suala la ubora na uimara wake. Ubora wake unashabihiana na ile lami iliyowekwa kwenye daraja pale Mbezi ambayo tayari kwa muda mfupi wa magari kupita imeshaanza kupukutika.

Lengo la haya si kubeza bali ni waweze kurekebisha kabla ya hali kuwa ndiyo sivyo!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Jk aliacha mipango mizuri ya ujenzi wa barabara hii kupitia world Bank,huyu mgomvi na mroho wa madaraka akawakorofisha world bank wakagoma,ili kujustify ujinga wake,kalazimisha kuijenga kukidhi hali yake ya kisiasa,tegemea substandard road itakayofumuliwa tena in less than two years baada ya kukuamilika kwake-Kwa huyu jamaa tumepata hasara kubwa kama Taifa,Sometimes natamani ningekuwa Mwisrael
 
Back
Top Bottom