hypothalamus
Senior Member
- Feb 19, 2018
- 126
- 153
- Thread starter
-
- #121
Kwa nini amjaribu mtu kama anajua fate yake?Unataka kwenda wapi? Mwenyenzi anajua kila kitu.
Nilipotoa mfano wa kuwa Mungu anawajaribu watu wa Syria, Ukaniletea aya kwenye Biblia inasema Mungu hajaribu mtu, na pia ukasema kwani Mungu hakujui ata akujaribu.
Nikajua najadiliana na mtu asiekuwa na elimu, kutoka kwenye bibilia hio hio nikakuletea aya ya kukuonesha kuwa Mungu alimjaribu Ibrahim, ukawa huna pakushika, kila tawi unaloshika linakatika. Ukadai eti nyakati zilikuwa tofauti na watu walikuwa wanafanya ibada tofauti, ili kusapoti argument yako ukaja na aya kwenye Quran.
Kitu simple kabisa nkakufahamisha kuwa Sifa ya Mungu sio Ibada, ni SIFA na wala sio SHeria.
Sasa mi huwa naishangaa imani yako, mpaka najiuliza, inabidi Mungu alikuwa hamjui Ibrahim mpaka akamjaribu? 😀 😀 😀
Nisamehe kwa kuingilia ila nahisi hujui nn maana ya jaribu kutoka kwa MunguKwa nini amjaribu mtu kama anajua fate yake?
Mungu anajua kabisa baada ya miaka mitano nitakuwa mtu mwema
kwa nini anijaribu?
Unataka kusema Mungu alikuwa hajui fate ya Ibrahim kwamba atayashinda majaribu?
Kwa nini Mungu apime imani ya Ibrahim yeye hana uhakika?
Jaribu kwa mtu ni kwa ajili ya kuimarisha imani yake.Kwa nini amjaribu mtu kama anajua fate yake?
Mungu anajua kabisa baada ya miaka mitano nitakuwa mtu mwema
kwa nini anijaribu?
Unataka kusema Mungu alikuwa hajui fate ya Ibrahim kwamba atayashinda majaribu?
Kwa nini Mungu apime imani ya Ibrahim yeye hana uhakika?
Mbona unaenda mbali unasahau ndugu zetu wa kiafrika hapo Chad, Sudani kusini, Kongo, Burundi na Afrika ya kati huko kuna matatizo kuliko Syria.Nimejiuliza hili swali asubuhi ya leo
Tunaambiwa na vitabu vya dini kwamba Mungu ni muweza wa yote,yeye hujua kitu kabla hata hakijatokea
Kauli hii inamaanisha kila kinachotokea huwa kina "approval" ya Mungu
Je Mungu ame "approve" machafuko ya Syria?
Kama haku "approve" kwa nini yametokea?
Mungu haoni kama kuna watoto wanateseka pale,mpaka aombwe?kwa nini anayaacha yaendelee?
Labda wanaosambaza kampeni ya Pray for syria mnaweza jibu maswali haya
Wajinga ni wakina nani?Vipi wajinga wanaweza kuurithi ufalme wa Mungu...?
Kwa hiyo binadamu ana free will?na ile kauli ya Mungu akipenda inatokea wapi?Binadamu siyo mnyama amepewa akili ya kujua mema na mabaya na Mwenyezi Mungu alimpa mamlaka ya kuitawala dunia.
Soma mwanzo 3:6. Hapo ndipo balaa yote ilikoanzia. Mungu alishauri vizuri kabisa wanadamu wakachagua kufa kwa kuwa hawakumwamini Mungu.Kwanza niseme shetan hajafungwa miaka 1000...shetani yupo bado amepewa mamlaka ya kuharibu.
Pili niseme shetan na Mungu nitofauti kabisaaa mmoja ni muharibifu mwingine mjenzi.
ILA kuna wakati Mungu anaacha shetani atende apendavyo ili kuzipima imani na hili kufanya watu waelewe kitu ..ndomaana kuna wakati anasema *watu wangu waangamia kwa kukosa maarifa*.
Nikweli Mungu anaujus ulimwengu mwanzo namwisho LKN hana makusudi,,,, Isipokua kuna mambo mawili unayopaswa kuyajua
Utawala wa Mungu ni wa Kifalme ndomaana hamna cha waziri mkuu wala makamo wala nani ,,Mungu akisema kasema ...naanakuacha ufanye vile upendavyo.
Utawala wa shetani ni wa kidemokrasia ,ndio maana wao unahimiza haki sawaa ,haki yakufanya unachojisikia n.k
Sasa basi inatokea kwa hapa duniani utawala wa shetani unakua nanguvu sana kwasababu Ulimwengu umemezwa namambo mepesi laini namazuri ambayo wanadam wanayapenda.
Mungu sio binadamu hata umpangie afanye niniKwa hiyo binadamu ana free will?na ile kauli ya Mungu akipenda inatokea wapi?
Mungu sio binadamu hata umpangie afanye nini
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Kwahyo kumbe Mungu na shetani ni marafiki wanakaa na kujadili mambo flan flan? Na mbona wanatuambia shetani kafungwa miaka 1000 na Yesu huo mda wa kupiga story na Mungu anaupata wapi?
Kwanini vile wanakutana na shetani Mungu asifanye miujiza yake kumchinjilia mbali ama Mungu anafurahia uwepo wake na anapenda vile wanadamu tunavyoteseka? Maana mamlaka na kila kitu kipo kwa Mungu
Anasema aliujua ulimwengu ata kabla ya kuumbwa kwahiyo yote ni makusudi yake maana uwezo wa kuzuia yeye ulikuepo...na sahivi yupo ku enjoy matunda yake
You have to earn the rewards. Nafikiri hata wewe hupokei mshahara kama hufanyi kazi.Kwa nini amjaribu mtu kama anajua fate yake?
Mungu anajua kabisa baada ya miaka mitano nitakuwa mtu mwema
kwa nini anijaribu?
Unataka kusema Mungu alikuwa hajui fate ya Ibrahim kwamba atayashinda majaribu?
Kwa nini Mungu apime imani ya Ibrahim yeye hana uhakika?
Sawa, Na huyu aliyesema asipangiwe wamuweka kundi gani?Mungu sio binadamu hata umpangie afanye nini
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Hahahahaa nani?Sawa, Na huyu aliyesema asipangiwe wamuweka kundi gani?
Yupo Ihumwa sasa hiviHahahahaa nani?
Hahahahaa aisee, huyo yeye hapangiwi wala hajaribiwi lakini ni binadamu kama mimi na weweYupo Ihumwa sasa hivi