Mungu ni Yule Yule jana leo hata mwisho wa dahari [emoji123] [emoji106]
acha kufuru chilubi Mungu akupe mtihani hakujui? ni sawa unajua mwanao mwizi halafu unamuwekea laki mezani ili aibe umfunge jela [emoji15] [emoji12]
ndio umejibu nini [emoji351] [emoji351] [emoji12] nimekuuliza Mungu ili amjaribu mtu hamjui? [emoji117] View attachment 704963 [emoji4]
wee unachekesha [emoji12] kwani abdul qathem alipo kufahamisha kwamba kila umma tumewajaalia kawaida yao ya ibada na sheria zao quran 22:67 kaongopa [emoji350] au wewe huja muelewa? Ibrahim uliye mnukuu ni kaumu gani?
Sasa mbona kamjaribu Ibrahimu?
Mungu mwenyewe anakujibu [emoji117]wewe hufundishiki [emoji4] na aliye kufundisha ilimu ghaibu ni pofuu [emoji4] hivi hata nilipo kuwekea hii [emoji117] hukung'amua eeh [emoji15]
Kwenye bibilia hio imesema.... Sasa kama mungu ni yule yule, kwanini ulikuja kupinga sifa yake?
[emoji117] Mungu hana sifa ya kutojua[emoji15] kwani wewe mc wa Mungu kwenye mfumo wake?
Naam, unaweza kumuekea mwanao laki umpime kama ataiiba, na akiiba je, atakubali kuwa ameiba, je ataomba msamaha?
[emoji117] [emoji38] [emoji38] [emoji38] kwa hiyo Mungu hajui kama utaomba msamaha au utakausha [emoji15] [emoji4]
Mungu wetu hakupi mitihani kwa lengo la kukutia motoni, anakupa mtihani ujifunze na uchukue maamuzi mwenyewe.
[emoji117] [emoji117] mungu wako yote ya kuwa utajifunza na utaamua hajui ilaha mpaka aku-test [emoji38] [emoji38]
Ukiongea suala la kwamba kwani mungu hakujui ata akupe mtihani?
Mi naomba unijibu, Je Mungu wako unaemuamini anajua kila kitu mpaka kilichokuwa hakijatokea?
Kwaio anajua kama fulani ataingia na fulani motoni?Ndio hakuna Asicho kijua [emoji117] View attachment 705588 [emoji123] [emoji106]
Kisha roho akamchukua Yesu mpaka kileleni ili akajaribiwe.Kwahyo kumbe Mungu na shetani ni marafiki wanakaa na kujadili mambo flan flan? Na mbona wanatuambia shetani kafungwa miaka 1000 na Yesu huo mda wa kupiga story na Mungu anaupata wapi?
Kwanini vile wanakutana na shetani Mungu asifanye miujiza yake kumchinjilia mbali ama Mungu anafurahia uwepo wake na anapenda vile wanadamu tunavyoteseka? Maana mamlaka na kila kitu kipo kwa Mungu
Anasema aliujua ulimwengu ata kabla ya kuumbwa kwahiyo yote ni makusudi yake maana uwezo wa kuzuia yeye ulikuepo...na sahivi yupo ku enjoy matunda yake
Kwaio anajua kama fulani ataingia na fulani motoni?
Umepotea sana, tena rudi haraka utubu kabla haujaangamia. Kwani Mungu hakuweko wakati sodoma na gomala wanaangamia kwa moto? Kwani watoto hawakuweko siku ile? Au mmewaona watoto wa Syria tu!! Mungu hakuweko wakati dunia inaangamia kwa maji wakati wa Nuhu, watoto hawakuweko? Mungu hakuweko wakati Mfalme Herode ameamua wauliwe watoto wote wa kiume kuanzia miaka miwili kushuka chini? Hamkusikia kilio kile kikuu ambacho hakitakuja kutokea duniani tena, hawakuwa watoto wale? Msimuingize Mungu kwenye mambo yenu ya dunia hii, Mungu sio wa duniani ni wa mbinguni tu. Tamaa zenu za kuimiliki dunia na fahari zake ndio zinawatia upofu? Ni heri hao watoto wasiozidi miaka mitano na wafe, maana ufalme wa mbinguni ni wao. Watakuja kutawala na kristo ile miaka 1000 ambayo kutakuwa hakuna kifo, Ila watu wataoa na kuolewa. Jiteteni nyie mliojivika uoga wa kutokuongea ukweli ili muendelea kuifurahia dunia. Biblia inasema bado kitambo kidogo tu, kabla dunia haijatwaliwa. Msijiongopee baada ya kifo ni hukumu, hakuna kesi kule. Mungu kama itakupendeza na mapenzi yako yatimizwe, uwaondoe wote wanaosababisha mateso kwa watu wako. Amina.Mungu hayupo.
Kama yupo haingilii maisha ya kila siku ya watu. Kwamba baada ya kuumba kanuni za kuongoza Ulimwengu, alijitenga na kuacha Dunia ijiendeshe yenyewe.
Haya mambo mengine ni kupeana moyo tu.
Ninasadiki maneno yako. Kwa maana imeandikwa mwisho hautakuja mpaka wote waisikie Injiri!!Nani kasema washambuliaji wanafata maagizo ya Mungu ??.
Unajua maana ya ufunuo ??. Sasa ufunuo ni maono yamambo yatakayokua yanatokea either nimazur au mabaya.
Kasome kitabu cha Isaya ..utajua kwann syria ,iran,misri ,tunisia,libya, n.k kwann zimekua ivi zilivyo ?.
Mimi sio theologian ila naamin wakati mwingine mambo haya yanatokea sawa sawa na maandiko kwasababu Mungu anataka watu wamjue.. Ukiingia ndani sanaaaaaaaaaaa utagundua mambo haya yanatokea ili kuhakikisha UKRISTO unaingia ktk nchi za Kiarabu.
Ukifatilia sanaaaaaa utagundua Mzozo wa mashariki ya kati SIO kitu bali ni mzozo wa DINI TU.
Wewe unatafsiri biblia kwa kutumia akili zako, lazima utakengeuka. Usiifanye biblia kama kitabu cha Alfu lela ulala!! Shetani hajagungwa wala nini, yupo duniani anafanya mambo yake, ila hana uhuru kwakuwa Mungu yuko na watakatifu wake. Sasa ile siku ya parapanda ikilia, makabuli ya kafunuka wateule wakachukuliwa mawinguni, usiombe. Shetani ndipo atakapo pewa Uhuru sasa, ndipo mtakapoitafuta injiri hamtaiona, mtatafuta neno hamtaliona, mtamuita Yesu hatawaitika. Hapo ndipo itakuwa kilio na kusaga meno, kila mtu atajiokoa kwa damu yake yenyewe. Baada ya hicho kipindi kupita, ndipo shetani atafungwa miaka 1000 na watu wake huko kuzimu au jehanamu ya moto na kibiriti. Na Yesu atashuka duniani kutawala na watu wake miaka 1000, kutakuwa na kula na kunywa, kula na kuolewa na starehe izidiyo starehe zote, tena hakuna kufa na dhambi haitakuwepo. Jamani muda kitambo tu, ziacheni njia zenu mbaya, mgeukieni Mungu.Kwahyo kumbe Mungu na shetani ni marafiki wanakaa na kujadili mambo flan flan? Na mbona wanatuambia shetani kafungwa miaka 1000 na Yesu huo mda wa kupiga story na Mungu anaupata wapi?
Kwanini vile wanakutana na shetani Mungu asifanye miujiza yake kumchinjilia mbali ama Mungu anafurahia uwepo wake na anapenda vile wanadamu tunavyoteseka? Maana mamlaka na kila kitu kipo kwa Mungu
Anasema aliujua ulimwengu ata kabla ya kuumbwa kwahiyo yote ni makusudi yake maana uwezo wa kuzuia yeye ulikuepo...na sahivi yupo ku enjoy matunda yake
Kwanini Kakuleta Duniani na asikuingize peponi moja kwa moja? kuna haja gani ya kukuleta duniani Mungu Yesu?View attachment 705633 [emoji123] [emoji106]
Kwanini Kakuleta Duniani na asikuingize peponi moja kwa moja? kuna haja gani ya kukuleta duniani Mungu Yesu?
Bado hujajibu suala nlilokuuliza lakini, naona unaleta aya ambazo haziendani na ulichoulizwa. Nimeandika kiswahili huelewi?umeuliza kisilamu silamüu [emoji4] sisi tunao yafuasa na kuyaishi mafundisho ya Kristo tumejaa ndani yake hivyo [emoji117] View attachment 705880 ni wale makafir walio nje ya Kristo wasubiri hukumu ya jehannam [emoji117] View attachment 705879 finnar jehannam halidina fiha abadan hutoki humo tutubwi [emoji4] au kauli ya allah unaona maskhara eeh?? allah hana maskhara na mtoto wa mtu...yaani hata hamjui la dhara na la maskhara [emoji351] [emoji12]
unalilia pipi sasa [emoji15] [emoji12] kwani Yesu kanileta duniani anipe mitihani [emoji15] walahi chilubi hufundishiki wewe...Bado hujajibu suala nlilokuuliza lakini, naona unaleta aya ambazo haziendani na ulichoulizwa. Nimeandika kiswahili huelewi?
Nipe Sababu ya Yesu alokuleta duniani wakati alikuwa akuingize tu peponi. Kwani Yesu hakujui ulivo kama Mungu yesu alivokuwa hamjui Ibrahim alivyo mpaka akamjaribu?
Ohoooo... Mimi nimekuuliza, kwanini Yesu asikupeleke peponi tu moja kwa moja kakuleta duniani? kwanini amekuleta duniani wakati anakujua vyema ikiwa wewe mtu wa peponi si akupeleke tuunalilia pipi sasa [emoji15] [emoji12] kwani Yesu kanileta duniani anipe mitihani [emoji15] walahi chilubi hufundishiki wewe...
hahahaha watu wa "mungu" huwa hamuishiwi majibu.Mungu nasema acha magugu na mimeo vikue pamoja ila siku ya mavuno......
Jiongeze ,Mungu kakupa amri kumi ndiyo katiba ya kuiongoza DuniaMungu hayupo.
Kama yupo haingilii maisha ya kila siku ya watu. Kwamba baada ya kuumba kanuni za kuongoza Ulimwengu, alijitenga na kuacha Dunia ijiendeshe yenyewe.
Haya mambo mengine ni kupeana moyo tu.