Kinachoendelea Syria, Mungu haoni?

Kinachoendelea Syria, Mungu haoni?

Biblia Takatifu tunayo Mkononi Imekamilika na Mwandishi wa kwanza wa Biblia Takatifu ni Mungu Mwenyewe View attachment 726342 wewe unaedai imechakakachuliwa lazima ujibu haya View attachment 726341 kama huna majibu jidunge ndoba usepe

quote-what-profit-has-not-that-fable-of-christ-brought-us-pope-leo-x-113-67-81.jpg
 
Pope -Leo wa10 tumeona sasa ona na hii personal profile ya mtume wako
View attachment 728808

Check out Vatican Square- the Egyptian obelisk in the middle of the Satanic wheel of the year:

STP_SQUARE.gif

Look at this deadbeat Jewish asshole and his replica of the Egyptian Pharaoh's Headdress:

asshole1.gif

SHAME ON HIM!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

The PAGAN GREEN MAN, is seen in cathedrals all over Europe:

GreenMan.gif
GreenMan_Wells.gif
GreenManCologne.gif

Gargoyles, which are lesser Demons are also seen lining nearly every major cathedral in Europe:

gargoyles.gif
Gargoyles2.gif

This statue located in Strasbourg cathedral appears to be an Assyrian genie:
Assyrian_Genie.gif

There is so much more and it is endless
 
UNAITAFUTA BAN KWA KUSHINDWA HOJA LAKINI HATA SIKURIPOTI MPAKA UELIMIKE
wee vipi kuweka profile ya Pope Leo wa 10 kwako haiumi ilaha kuweka Profile ya kigezo chako chema inakuumiza kuki kwa nguruwe eeh
unaona ulicho post hapo juu sasa nikikuwekea alkaba ya makafir wa kikureshi waliokuwa wakitufu mduara uchi unanuna.. ngoja nirudi ibada...kumbe ngozi yako lainiii
 
Kumbe ndio umemtetea Pope Leo namna ile ???😛😛 Huo ndio utetezi wa Roho Mtakatifu wako kwa mapope wake ???

URUDI IBADA IPI TENA ???

ZAWADI YAKO HII HAPA

NINI PASAKA ??

Pasaka ni mnyama anayechinjwa kukumbuka kukombolewa Waisraeli Misri, siyo 'kufa' kwa Yesu. Ilikuwepo kabla hata Yesu hajazaliwa, Yesu mwenyewe alikula Pasaka.

Kinyume na ukweli wa mambo, hivi sasa sikukuu ya Pasaka imegeuzwa na Wakristo duniani kuwa ni siku ya kukumbuka "kufa na kufufuka kwa Nabii ama Yesu (a.s.)". Ambapo tangu kuasisiwa kwa dini ya Kikristo miaka michache baada ya Yesu (a.s.) kuondoka, dhana hii (ya kufa na kufufuka) imefanywa na Wakristo kuwa nguzo kubwa na ya msingi wanayoitegemea kusimamisha Ukristo.

Fuatana nami ili uweze kuangalia kwa undani ukweli wa sikukuu hii (ya Pasaka) na dhana nzima ya kufa na kufufuka kwa Bwana Yesu (a.s.).
 
wee vipi kuweka profile ya Pope Leo wa 10 kwako haiumi ilaha kuweka Profile ya kigezo chako chema inakuumiza kuki kwa nguruwe eeh
unaona ulicho post hapo juu sasa nikikuwekea alkaba ya makafir wa kikureshi waliokuwa wakitufu mduara uchi unanuna.. ngoja nirudi ibada...kumbe ngozi yako lainiii

Ukweli wa Pasaka kama alivyofundisha Mungu

Kwa mujibu wa mafundisho ya Biblia, Pasaka ni mnyama ambaye wana wa Israeli waliamrishwa na Mungu wamchinje na wamle kwa kufuata utaratibu aliouelekeza Mungu na kwa lengo maalum. Maandiko yafuatayo yanathibitisha ukweli huu:

"Hapo ndipo Musa aliwaita wa Israeli, na kuwaambia, Nendeni, mkajitwalie wana kondoo kama jamaa zenu zilivyo, mkamchinje Pasaka". (Kutoka 12:21),

"Nawe umchinjie Pasaka BWANA, Mungu wako, katika kundi la kondoo na la ng'ombe, mahali atakapochagua BWANA apakalishe jina lake". (Kumbukumbu la Torati 16:2),

"Usimchinje Pasaka ndani ya malango yako yote akupayo BWANA, Mungu wako, ila mahali atakapochagua BWANA, Mungu wako, apakalishe jina lake, ndipo mtakapomchinja Pasaka jioni, katika machweo ya jua, kwa wakati kama uliotoka Misri". (Kumbukumbu la Torati 16:5-6).

Kulingana na maandiko hayo juu, tunaona hapa Biblia inafundisha wazi kuwa Pasaka ni kondoo au ng'ombe ambaye Mungu aliwaamuru wana wa Israeli wamchinje kisha wamle.

Aidha, maandiko hayo yanaonyesha wazi pia kuwa amri hiyo (ya kuchinja na kumla Pasaka) haikuwahusu watu wa mataifa mengine isipokuwa Waisraeli peke yao.
 
Kislakisla umepatia karbu italia nyau ñyau.,.
 
Askari wa Syria wakiwa kwenye mkesha wa pasaka.
Kwa wasiojua hata wakristo syria wapo na ukristo upo huko tangu enzi za kina paul,

DZmbfIGX0AAY153.jpg:small
 
Hujathibitisha Mungu yupo.

Kila chaka la kuficha ujinga nafyeka.
wewe umethibitisha Mungu Hayupo? Mimi kila siku namuona Mungu, wewe kama humuoni kivyako dogo na inawezekana una ulemavu!
 
Mungu muweza yote, mjuzi wa yote, mwenye upendo wote ambaye kaumba ulimwengu ambao watu wanakufa vibaya kama Syria, wakiwemo watoto wadogo, na wengine wanafukiwa na vifusi mpaka wanakufa katika matetemeko ya ardhi, hayupo.

Kwa sababu ulimwengu tunaouona unam contradict.

Baba wa mtu tu akijenga nyumba na kuitegeshea mabomu yalipuke, watoto wake wapate hatari ya kuweza kufa, tutamshitaki au kumpima akili kama mwendawazimu.

Sasa kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote nabuoendo wote afanye hivyo hivyo kwa mara mabilioni zaidi kwa kuumba ulimwengu ambao unaweza kuwa na kila aina ya mabaya, wakatibaliweza kuumba ulimwengu ambao baya lolote haliwezekani kutokea?

Hujajibu swali hili.

Kwa sababu huwezi kujibu.

Kwa sababu huna jibu.

Kwa sababu Mungu huyu hayupo.
ni hadithi tu ya kuungwa ungwa.
 
Mungu wakati anamuumba adam malaika walikuja juu sana na kumuuliza.
JE UNAUMBA VIUMBE WENGINE WATAOMWAGA DAMU NA KUFANYA MATENDO YASIOPENDEZA???
Mungu akawajibu
MIMI NAJUA NYIE MSIOYAJUA!!
Malaika wakajibu kwa unyenyekevu UTUKUFU NI WAKO WEWE UNAEJUA YA DHAHIRI NA YA GHAYBU
 
Unaweza kuthibitisha haya yalitokea na si hadithi tu?

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
 
Mungu muweza yote, mjuzi wa yote, mwenye upendo wote ambaye kaumba ulimwengu ambao watu wanakufa vibaya kama Syria, wakiwemo watoto wadogo, na wengine wanafukiwa na vifusi mpaka wanakufa katika matetemeko ya ardhi, hayupo.

Kwa sababu ulimwengu tunaouona unam contradict.

Baba wa mtu tu akijenga nyumba na kuitegeshea mabomu yalipuke, watoto wake wapate hatari ya kuweza kufa, tutamshitaki au kumpima akili kama mwendawazimu.

Sasa kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote nabuoendo wote afanye hivyo hivyo kwa mara mabilioni zaidi kwa kuumba ulimwengu ambao unaweza kuwa na kila aina ya mabaya, wakatibaliweza kuumba ulimwengu ambao baya lolote haliwezekani kutokea?

Hujajibu swali hili.

Kwa sababu huwezi kujibu.

Kwa sababu huna jibu.

Kwa sababu Mungu huyu hayupo.
ni hadithi tu ya kuungwa ungwa.
Hiyo uliyo weka ni pumba kabsa ...nilikujibu wewe unahoji kama nani? Yeye kafanya Yanayo Mpendeza... Kama una ubavu umba wa kwako afu ufanye utakavyo
 
Back
Top Bottom