Kinachoendelea Kigoma "KARIBU SHUJAA ZITTO KABWE".

Status
Not open for further replies.
Kwa taarifa zaidi, Maandalizi yanaendelea vizuri ikiwa ni pamoja na kurushwa live kwa mkutano huo na kituo cha startv huku uratibu mzuri ukiwa chini uv-ccm.

Ile Kamati yake ya Serena Hotel ndo imehamia Kigoma kumsaidia... hahahahaaaaa
 

hata mandela aliitwa msaliti kwa kuwa tu alitaka uhuru na haki sawa kwa wote yaani waafrika na wazungu ila mwisho wa siku aliibuka shujaa. Zito kukubalika na cdm na ccm sioni kama ni tatizo kwani tunahitaji kiongozi atakayetuunganisha wote kwani siasa si uadui, upinzani haimanishi kuwa watu wa vurugu wasiotii mamlaka na vyombo vya usalama hadi kufikia hatua ya kusababisha mauaji. Zito anafanya siasa za kistarabu zenye lengo la kuikomboa tanzania toka mikononi mwa mkoloni mweusi(ccm). Na ili cdm ichukue dola inabidi ibadili mtazamo wa namna inavyoendesha siasa zake, na mtu pekee anayeweza kufanya kazi hiyo ni zzk.
 

Plz sir,do have any evidence?
 

Plz sir,do you have any evidence?
 
Ndiyo hao mkuu.Pia wale wote waliokuwa wanapiga mawe kwenye mikutano ya Dr Slaa.Nadhani wataambatana pia na yule mwanasheria wao.

Muda mchache ujao tutakuwa tumepata gharama halisi waliyotumia CCM kwenye mkutano huu.

we YAHAYA kafate kwa MBOWE pesa yako ya leo
 
Tunaogopa hizi pesa zote wanazotumia CCM kugharamia Waasi.
Mkuu, kwani Zitto hana fedha za kugharamia mkutano huo? Zitto muda wote amekuwa akitumia fedha zake kukijenga chama wakati babu slaa na Mbowe wamekuwa wakitafuna fedha za fedha
 
Mnatetemeka nini mbona hamuanzishi thread humu kama zitto anaenda kigoma kama mlivyokuwa mnaandika za slaa nyie wachumia tumbo mnajiita wapasha habari
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…