Elections 2010 Kinachoendelea Jimbo la Segerea...

Status
Not open for further replies.
Mungu yuko pamoja nasi na nina uhakika uharamia unaotakwa kufanywa na ccm utashindwa
 
Usiwe na wasiwasi data zote zipo hata mawakala wana kopi zao stay tuned hujiulizi kwanini husikii tamko lolote, Chadema hawakurupuki wanakusanya data kwanza hata NEC wanalifahamu hilo ndiyo maana wanatangaza kwa kuangalia upepo.

Luteni
Unanifanya nifarijike, nimekuwa nikiwaza kuwa hivi tuna matokeo ya vituo vyote, sasa naona unanipa matumaini.
Je hata kule ambako hatukusimamisha watu , tuna matokeo yaliyobandikwa vituoni, hata kwa CUF, NCCR na wengine tuombe hizo data!!! Hapo tutawaweza kitaalamu zaidi!!

Kwa mtaji huo, Watabana Wataachia!!!
 
kwanini iwe CCM tu kila siku ? lazima Mpendazowe awe mshindi tumechoka na hawa CCM hawafai hata kidogo nadhani mwaka huu hawakuiba sana kura
 
Mkuu Mashishanga ni Mwenyekiti wa Jimbo la Segerea CHADEMA. Nilikuwa naye bega kwa bega shule ya msingi Kimanga na Tumaini. Atachosema ni kweli maana anawabana kisawasawa mawakala. Ila Mpendazoe anasubiri tu kutangazwa. Binafsi napenda sana data, ila kwa kuwa Segerea ndo ngome yangu najua kinachoendelea. Tupo ma-Brigadier tutalinda kwa "Operation Chakaza." Peoplessssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssss!
 
bado kuna utata

Utata upi, ule wa Mahanga kukamatwa na mabox 12 ya kura ndani ya private car? Hivi kweli hili si kosa la jinai, mbona hayuko Segerea hadi sasa? Ninachojua haruhusiwi mtu kuwa na yale mabox yawe tupu au na kitu kama si mhusika (tume, masimamizi. wasambazaji,etc) na mgombea tena ni ndoto kabisa. Ingekuwa ni mgombea wa Chadema amepatikana na masanduku hayo ingekuwaje? Sheria itende haki!!

Nasikia Mahanga anagoma kusaini matokeo anadai yahesabiwe yale mabox 12 kwanza!! Hivi huyu si kati ya wale list of shame in mafisadis wa elimu? Nimeanza kumtilia mashaka!!
 
Hivi raia hawakuwepo!? wangemtandika kwani ni jizi tu.
 
Majizi yamezoea hayo, ila tume watuambie hayo mabox yametokea wapi mpaka yakamatwe mitaani? Hiyo tume na CCM lao ni moja.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom