Elections 2010 Kinachoendelea Jimbo la Segerea...

Status
Not open for further replies.
Jamani eti walitangaza matokeo usiku wa manane huku watu hawawezi kuprotest wala kuona. Jamani TAKUKURU mko wapi. Uko bungeni kuna nini. Mungu baba kweli tenda miujiza hapa... :pray2::hail::crying::A S-omg:
 
Users Browsing this Forum

There are currently 1510 users browsing this forum. (268 members & 1242 guests)


najua mnakereka na hawa wezi wa haki . sasa mko tayari kupigania haki na maslahi yenu
 
Yaani ata Clouds wamekuwa sehemu ya kutangaza matokeo.
Credibility ya Clouds ktk ili mhhhhhhhhhhhhhh.
Waendelee kutupa updates za trafic jam umo barabarani tuuuuuuuuuuuu
 
Hata mie nimeona kwenye TBC1 wanasema Makongoro kashinda! Hivi CCM haioni aibu kweli mtu akamatwe na makosi yenye kura feki aweke ndani usiku kucha halafu leo mnamtangaza eti ndio mshindi kweli inauma sanaaaaaaa hivi CCM kama kweli nyie mmekomaa kisiasa kwanini msikubali UKWELI KUWA HAMTAKIWI TENA NA WANANCHI WAMEWACHOKAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!
 
Hata hivyo kwa issue yake Mahanga tuna mahali pa kuanzia kumpandisha kizimbani. Hatuna shaka na Segerea ni kwetu pale.
 
inauma saana lkn ccm na nec will pay for this huu ni upumbafu wa hali ya juu kabisa nani kaipigia kura ccm mji huu kama si wizi mtupu
 
Ngoja tuone kama mahakama nayo iko huru... ikishindikana kama kawaida CHADEMA ishitaki kwa wananchi nguvu ya umma ifanye kazi yake ...
 
inauma saana lkn ccm na nec will pay for this huu ni upumbafu wa hali ya juu kabisa nani kaipigia kura ccm mji huu kama si wizi mtupu

Sasa, muwatie moyo wabunge wateule wa upinzani wahimize mabadiliko ya katiba. NEC iwe tume huru.

Hata mbuyu ulianza kama mfupa.
 
Nadhani, hii imechakachuliwa na Mahanga kashirikiana pia na polisi!!! yale masanduku aliyokamatwa nayo yako wapi? Kura 2000 ndiyo hizo zilikuwepo kwenye masunduku aliyokuwa nayo, hii ni yamkini maana inatia mashaka sana!!!
 
what???
jamani na hizi mahakama zetu sasa,hope likipelekwa uko watakuwepo japo mahakimu wenye hofu ya Mungu
this is absolute crazy!
 
kusdharau wapiga kura wakati hawakutaki ni upuuziiiii. mimi nigeshauli wale ambao wanagomea matokeo haya hasa segerea WACHOME NYUMBA YA MAHANGA!! ikiwezekana wamfanyie FINISHING kabisa maana huu sasa ni utoto maliza familia yake yote inauma sana ...hamna watu 43,000 walio vichaa tabata, ila naamini wapo watu 39,000 wenye akili tabata.Muueni bwana ... ikiwezekana na familia yake
 
mimi haid sasa sijuwi ya kinachoendelea sina raha .. nani anaweza kunisaidia .... nini kinaendelea huko... sina shida na urais najua kura zitaibwa shida yangu ni ubunge wapinzani wamechukua viti vingapi..???? salamu zenu huku sisi baridi tu ndo sana... poleeni hasa wanyonge wenzangu lakini ukombozi wetu u karibu.. ! na mjuwe wajinga wakierevuka werevu wameumia ....
 
nawaahidi hautapita muda bila kufanyika kwa uchaguzi mdogo segerea! CCM hawataki, Chadema hatumtaki, wananchi hawamtaki sasa atatawala je? ataishi je? atatuwakilisha je? atapita wapi? huyo lazima afe ktk kipindi kifupi kijacho na uchaguzi mdogo ufanyike tena!!!!!! ni lazima mahanga aondoke kwenye kiti hicho na Mungu tusaidie.
 
kusdharau wapiga kura wakati hawakutaki ni upuuziiiii. mimi nigeshauli wale ambao wanagomea matokeo haya hasa segerea WACHOME NYUMBA YA MAHANGA!! ikiwezekana wamfanyie FINISHING kabisa maana huu sasa ni utoto maliza familia yake yote inauma sana ...hamna watu 43,000 walio vichaa tabata, ila naamini wapo watu 39,000 wenye akili tabata.Muueni bwana ... ikiwezekana na familia yake

Umeenda mbali punguza jazba
 
Sasa naelewa kwanini watu wengine hawaendi kupiga kura upumbavu huu ah waseme tu nchi ya kiubavu na ubeberu na hakuna demokrasia basi. Anyway it is a very sad news.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom