Kinachoboa Mwanza

Mjin kati kabisa
Hapo mitaa ya Salma coni kuna vyakula poa sanaa,

Mitaa ya Sahara kwa juu pale,,

Siku ukibahatika ukafika mitaa ya igoma, basi hapo kuna mmama mmoja ana mgahawa bomba sanaaaaa,,

Ukifika pale utahisi uko pwani
,,

Kuanzia chai hadi misosi,, kiufupi ni watundu,, nikiwa na mishemishe mitaa ya kule basi huwa nafika palee, mda wowote vyakula ni vyamoto, hata ukienda usiku,

Wahudumu wake wamepiga hijabu nadhani pia ni wanawe, maana wote wanapga hijabu,, ukifika pale usipokuwa makini unaweza tangaza ndoa,, wakarim sanaaaa
,,
 
Siku hizi kupata migahawa ya bei za kawaida na bado wakakupa chakula kizuri imekuwa ngumu sana,wapishi kama yule anayelisha opposite na rocky city mall,ni adimu!Nampa hongera yule mama pale nje ya mall unajitahidi kukarangiza.
Kuna mama CHAI yupo pale Dodoma banaa
 
Mungu wangu!!! Pamoja na airport ya kimataifa, bohari kubwa ya MSD, ofisi kubwa ya TRA, branch nzuri ya CRDB, kumbe afadhali hata Katoro?
😛 😛 😛 😛 panahitaji kufufua shughuli za kiuchumi kwanza,kutegemeana na jiografia ya eneo hilo.
 
Kumbakumba kama sijakosea
 
Chief naungana na wewe kwa asilimia zote,wenyeji wa Mwanza hawajui kupika wala kuvaa!
 
Kwa mkoa wa Tabora kuna mgahawa mmoja maarufu sanaaa karibia na maktaba ya mkoa unaitwa Mayor kama sijakosea spellng,,

Pale utapata unachotaka mda wowote ule,, alafu pale wahudumu wa mezani wote ni wakiume dah, jamaa wako chap sanaa,,

Ule mgahawa mmiliki ni mwarabu,, pale nn ukose,, kwa mtu wa tabora sidhani kama atapinga hili,,

Ukifika tabora nenda pale ukajionee aiseh,,

Mwaka huu nlienda uko mara moja nikapita pale nikakuta pamebadilika mle ndani manjonjo kibao dah,, yule mwamba atakuwa anapiga faida kubwa sanaaa
 
Kumbakumba kama sijakosea
Safi chief kumbe nawe uko rock city?

Kwingine ukiwa unatoka mitaa ya IFM chuo kama unaelekea pasiani kabla hujaingia barabara kubwa hapa kwa nyuma kuna mgahawa mmoja wanachakula kitamu sanaaa,,,
 
Nafaham machimbo ya misosi mingi tu tena ya mikoa tofautitofauti,

Ila sasa hatuwezi taja sanaa maana utaonekana unapigia watu promo au labda wengine watahisi huenda unahusika nao kwa namna moja ama nyingine,, ila vema ukifika ugenini uwe tu unaulizia ulizia utafaham mengi tu ,
 
Arushab ndio kila kitu bhna kwa mizoci kuanzia Kuchoma nyama hadi kila kitu big up sanàa jaapo ni ya ghali mno
 
Biriani tamu na zuri la kiwango Cha fly over nenda lumumba pale kwa waarabu Fulani hutojutia...... Opposite na bank ya letshego kila ijumaa
 
Jamaa yangu tamaduni hazifanani, nimeishi kote huko ulipopataja ila lake zone ikiwemo mwanza chakula chao ni fresh sana, hakina mambo mengi artificial ivyo kinaleta nguvu za kutosha pia kinajenga mwili, lake zone yale matangazo ya nguvu za kiume na kurefusha dushe ni machache sana. Jombaa kula vitu sio unakula samaki analadha ya nanasi au ndizi
 
Hatuna nguvu za kiume lakini tukisema tunatoka daslamu hata kama ni Tandika au Tandale tukija huko mikoani kwenu tunawala hata kama tunapiga kimoja chali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…