Mwamba Usemao Kweli
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 744
- 186
our presdent is LowassaHivi ni lazima awe yeye rais? mbona kila uchwao Lowasa Lowasa Lowasa ..... kwa kweli mnakera sana kama vile nchi hii haina viongozi wengine wachapa kazi na wasio na kashfa. Huyu mtu wenu kama mnampenda sana mkanywe nae chaiiii...
siri ya nini, EL ni mpuuzi Fulani tu, mpaka akishgulikiwa ndo anatishia kusema ukweli basi ni fara Fulani tu ambaye hana mapenzi na TZ bali tumbo lake na familia yake
This is a hard fact!
Lowassa ana siri kubwa moyoni
Lowassa amekuwa kiongozi mkubwa katika taifa hili. Mazuri aliyoyafanya yalionekana na yataendelea kukumbukwa. Kama binadamu hawezi kukosa kasoro hapa na pale, ndio asili ya maisha na kuishi kwa binadamu yeyote.
Kilichokuja kukumbana na bwana huyu katika utendaji wake kama Waziri mkuu na sakata lililolitesa taifa la RICHMOND.
Toka wakati huo Lowassa ameonekana kama shetani, msaliti na fisadi mkubwa wa taifa hili.
Najiuliza ukweli hapa ukoje?
Nijuavyo mradi wa RICHMOND which was a MULT BILLION SHILLINGS CONTRACT, hauwezekani ukamhusu Lowassa pekee. Ni lazima cabinet yote ilihusika hatua kwa hatua hadi final conclusion yake.
Kum-single out MTU mmoja kwa jambo ambalo wengi wanapaswa kuwajibika, Its just not fair!
Kwa kauli ya Mkuu wa Nchi, hili kwa Lowassa lilikuwa ni ajali tu, (MANENO HAYA HAKUTAMKA KWA BAHATI MBAYA)
Lakini hata Lowassa mwenyewe kwa kauli yake siku ya kujiuzulu alitabanahisha kuwa anajiuzulu ili "KUKILINDA CHAMA CHAKE NA SERIKALI YAKE", Bila shaka kwa makosa haya ambayo yaneweza kukigharimu chama na serikali yake!
Leo anapigwa vita hadi ndani ya chama hicho alichokiokoa
Najiuliza siku akiamua nayeye kufunguka, Itakuwaje?
Ni kweli kabisa, sasa analazimika kuanza kozi ndefu ya somo la uadilifu ambalo halijui kabisaNa hili somo la uvumilivu yaelekea alifaulu Sana chuoni.sijawahi kuona wala sitarajii kuona kiongozi mvumilivu kama Lowassa.mimi binafsi hili somo uvumilivu sina.lowassa anapaswa kupewa nchi
Ni kweli kabisa, sasa analazimika kuanza kozi ndefu ya somo la uadilifu ambalo halijui kabisa
Ni kweli kabisa, sasa analazimika kuanza kozi ndefu ya somo la uadilifu ambalo halijui kabisa
Ni kweli kabisa, sasa analazimika kuanza kozi ndefu ya somo la uadilifu ambalo halijui kabisa
Hakuna mtu muadilifu kwenye dunia hii, Slaa amekosa uadilifu kwa kupora mke wa mtu. Mbowe si muadilifu kwa kuchepuka na mbunge wake wa viti maalum,
Wote wamekosa uadilifuHivi lowassa na akina muhongo na wenzie nani wamekosa uadilifu?
Wote basi waungane na lowasa kwenye darasa la uadilifuHakuna mtu muadilifu kwenye dunia hii, Slaa amekosa uadilifu kwa kupora mke wa mtu. Mbowe si muadilifu kwa kuchepuka na mbunge wake wa viti maalum,
Malizia basi na JK ....