Kanina
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 277
- 81
TBC km kawaida yao wamekataaaaa!
Tena wakati Prof. Kabudi alikuwa alishusha nondo halisia...!
Then wakaweka, taarabu
TBC km kawaida yao wamekataaaaa!
Mvua inanyesha balaaa.
Tena wakati Prof. Kabudi alikuwa alishusha nondo halisia...!
Then wakaweka, taarabu
wamerudi
tbc inakeraaaa
Watu hawawezi kuelewa unachokisema... Hujatoa maelezo ni ni kimetokea... Hebu eleza ili watu waelewe nani alikuwa anaongea na anaongelea nini walipokata matangazo.Hivi tbc bado mnaona mnayohaki ya kutuchagulia habari na kuamua kutukatia matangazo??? Dawa yenu iko jikoni. Sasa sisi tunafuatilia maelezo ya kina kuhusu muungano kutoka kwa wataalam nyie mnatukatia!
Tena wakati Prof. Kabudi alikuwa alishusha nondo halisia...!
Then wakaweka, taarabu