Kinacho endelea sasa TBC live "KONGAMANO"

Kinacho endelea sasa TBC live "KONGAMANO"

Hapana mitambo sio chakavu, ila hawataki watu wanaosema maneno ya kuwachoma kuhusu huu muungano.

Sasa kwanini wakachagua TBC ambayo ni kada wa CCM?Kulikuwa hakuna vituo neutral?Hawajajua bado kuwa UKWELI UNATKUACHA HURU.

Tatizo Tuliozoea kuishi kwa UWONGO hatuwezi katu kuishi katika KWELI.Twafa Mwaka huu.
 
Unajua cdm wanaona mbali sana..walivyoisusia tbc watu hawakuelewa ila sasa wanaelewa..kwanza ni dharau kubwa sana anaongea msomi prof wa sheria ww una kata unaweka taarabu..ni dharau na ujinga wa hali ya juu..
 
tbc hamna kitu cha kuangalia kabisa toka mwaka jana sijawai kuiangalia nimeifuta kwenye chanel list yangu
 
Acheni wafu wawazike wafu wenzao,Mitambo ya TBC1 huwa haikati wanapoongea akina MWIGULU,LUKUVI,PINDA,WASIRA,UMMY MWL na kwa sasa kina Prof SHIVJI n.k sababu wanajua hawa hawawezi kuacha kutetea ulaji.
 
Haahaahaa!! Mkuu, Tetty, umetisha.......nilikuwa sijui hilo.

Hongera nimekuongezea siku za kuishi.Nilikuwa tu najibu hoja ya mtu akishangaa mvua inanyeshwa wapi huko Dar,basi.

Tuendelee kulijenga Taifa letu,tusikatishwe tamaa na hawa viongozi wanaojali matumbo yao tu.
 
Back
Top Bottom