Kina nani walipata "first classes" UDSM shule ya sheria?


Hivi mpaka ulivofikia hapo hujajua tu tofauti ya Geology na Geography, na pia lazima utofautishe in Geology na With Geology
Tangu department ya Geology ilioanzishwa kulikuwa na kozi moja tu ya Bsc IN Geology na hapajawahi kuwa na first class, hao wote wakina Prof Muhongo, Mruma, Maboko, Ikingura nk hakuna mwenye first class, Hapo kuna Maprof ambao ni walimu wa mwanzo kabisa walikiwa na B tu, B+ ni za kutafuta

Fisrt class kutoka Geology zimeanza wakati wa kozi mpya zilizoanzishwa hapo , yaani unakuta Bsc. Geology with Geography so watu wanakomba points kutoka kwenye Geography na ndio wanapiga hizo 1st class
 
[
QUOTE="Che Mkira, post: 23095094, member: 234045"]Mwakyembe kilaza

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE]

Angekuwa kilaza angebakizwaga UDSM kama tutorial assistant?
 
Mkuu ulikuwa unachukua course gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
James Orenga ni mwanasiasa na mwanasheria machachari nchini Kenya. Ni kigogo wa NASA
Huyu ni James Orengo na kama ndo huyo basi rekodi haziko sawa kwani alisomea degree ya kwanza University of Nairobi 1971-1974. Na alikuwa kiongozi wa wanafunzi enzi hizo.
 
can we see some of your publications, inaonekana ulikuwa unajua



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwalimu CoNAS first class ni neglible huyo Chuhila si ana makengeza HV!!!??

Ai kotoni ende mai kondisheni...
 
Huyo huyo hana makengeza ila ukimcheki ni kama ana makengeza hivi.
ZL 122 ndio alikuwa Tutorial assistant baada ya Prof Howell mzungu kumaliza kuimba yeye ndio alikuwa anakaza...ila sahv wamempa BL 111 ndio anafundisha....

Ai kotoni ende mai kondisheni...
 
Kuna vijana wadogo kabisa tena wamepata PHD mwaka 2013 wana ufaulu WA kutisha.
Walibakishwa pale wanafundisha sheria.
Fanyeni research kabla ya kupost kwa kujiamini sana
 
ZL 122 ndio alikuwa Tutorial assistant baada ya Prof Howell mzungu kumaliza kuimba yeye ndio alikuwa anakaza...ila sahv wamempa BL 111 ndio anafundisha....

Ai kotoni ende mai kondisheni...


Yupo cream. Amepewa kipaji cha kuelewa mambo vizuri.

Mpaka Zoology wakampa nafasi ya kucarryout practical session za ZL122 sio kitu cha mchezo!
 
James Orenga ni Senator pia ni mwanasheria alikuwa akiongoza timu ya NASA pale Supreme Court Kenya kwenye kesi ya kupinga matokeo ya uRais 2017. Yupo vizuri sana huyu jamaa.
 


Naona mnaitenga Department of Mathematics hapo CoNAS nashindwa kuwaelewa. Maana kule kuna vichwa vina first class za kumwaga.
 
Kule
Kweli kabisa mkuu labda geology ila course nyingine ni shida mfano Bsc ed( Phz & math) sijui zipo hizo first class??? Naombeni mnijuze nisije onekana Mimi peke angu ni kilaza

Kule Math Department zipo mkuu
 
uzi unahusu faculty of law udsm but naona wadau wengine mnatuletea habari za cjui zoology, geology,chemistry,mathmatics, sociology,engineering, udbs, coet etc....fungueni nyuzi zenu bana.

Wadau wa Sheria karibuni kutujuza zaidi,mana ata mwenywe mtu wa mwisho namjua huyo mama Migiro tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yupo cream. Amepewa kipaji cha kuelewa mambo vizuri.

Mpaka Zoology wakampa nafasi ya kucarryout practical session za ZL122 sio kitu cha mchezo!
Yap...ila hakuwa Peke yake walikuwa wawili hv...ila jamaa daah mungu anaupendeleo cjui...anajua mambo hadi anakera....

Ai kotoni ende mai kondisheni...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…