Kina nani walipata "first classes" UDSM shule ya sheria?

Kweli kabisa mkuu labda geology ila course nyingine ni shida mfano Bsc ed( Phz & math) sijui zipo hizo first class??? Naombeni mnijuze nisije onekana Mimi peke angu ni kilaza
 
Kabisaaa....wakati tunasoma tulikuwa tunasisitiziwa sana...kufaulu..mnashindana kufaulu kupitiliza mfano kupata one ya saba na vitu kama hivyo...lkn siku hizi nikitafakar naona hiyo mentality sio kabisa.....soma faulu na uwe na vigezo vya kusonga mbele zenye unachanganya na elimu ya mtaani mfano utafutaji pesa, matumizi , self budget, ubunifu nje ya madaftar etc....mim ndivyo ntakavyowalea wanangu....siwez waambia directlly kwamba wahakikishe wanakua na vigezo vya kuendelea mbele lkn ntatengeneza mazingira

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi wa Bsc ed( Phz & math) zipo hizi???


Sina taarifa za hao jamaa, lakini mambo ni magumu maana UDSM dept of Physics ina hali mbaya sababu waalimu pale wapo 17 tu

Laiti mambo yangekuwa mazuri basi wangebakishwaga wengi, sema ndio hivyo.


Dept ambazo watu wanapiga vizuri hata waalimu pia huwa ni wengi, mfano dept ya geology kuna waalimu 28 halafu watu wanaopewa admission pale geology ni wachache tu!
 
Ivi mawakili wa serikali wanapatikanaje?je wanateuliwa tu or watu wanaomba i mean una apply?
 
Kwakwel mambo n magumu sana mkuu....nilitaka kujua kama kuna hizo 4.8 za watu wa bsced(Phz & math) maana niljua mimi kilaza
 
Kweli mkuu.
 
kutokuwajua wewe haimaanishi watu hawapati
ziko nyingi t pale
 
Mafanikio ni pesa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzito wa shule una maanisha nini? Shule sio nzito ila bichwa lako nzito, Wewe unaona physics au electronics Ngumu kwa mwingine ni rahisi Sana sana, Ukishapenda kitu na kujua kina manufaa maishani ni rahisi Sana kukipigania, Kama ulienda engineering kwa kumuiga Baba au Jirani wakati roho yako ipo Banking Lazima shule iwe ovyo kwako. Hakuna ugumu labda Kama unafanya uvumbuzi wa kwenda kwenye jua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…