kama ni unene hata wanaume wananenepa, tena wananenepa hadi wanaota kama matiti ila wanawake wanawavumilia.......
Hapo hinachoona ndoa nyingi zinavunjika kutokana na wanandoa kutojua wajibu wao, wewe mwanaume, wote wawili na ni watafutaji iwe biashara au ajira....wote mnarudi usiku ila mkeo atapika, atasafisha nyumba, atahakikisha watoto na wewe mmekula, aoshe vyombo, aandae nguo zenu za kesho wakayi mume unaangalia man u na chelsea( hapo watoto wamebahatisha baba anaangali mpira nyumbani, ikifika saa nne unaenda kulala mkeo saa tano)saa sita ndo anakuja kuweka ubavu bado unataka penzi, unategemea utapata penzi linalostahili? Au unategemea kupata?
Mke na mume mshirikiane bega kwa bega kwenyd majukumu ndani ya nyumba, mpate wasaa wa kuwa pamoja kupiga stori za kimahaba na kupanga mipangi ya maendeleo, mpate muda wa kupumzika na kupeana penzi motomoto

kufanya tendo fanya kwa afya sio ukioa yu ndo ukomeshee, kuchoka kupo na wala sio visingizio.
Ni shida tu kwa sisi kina mama. Mapenzi yetu ni emotions. Mwanaume atakayeweza ku-win emotions zetu atakula kila saa na kila siku.
Emotion is a complex psychophysiological experience of an individual's state of mind as interacting with biochemical (internal) and environmental (external) influences. Inhumans, emotion fundamentally involves "physiological arousal, expressive behaviors, and conscious experience."
Emotion is associated with mood, temperament,personality, disposition, and motivation. Motivations direct and energize behavior, while emotions provide the affective component to motivation, positive or negative.
Emotion - Wikipedia, the free encyclopedia
Lakini usisahau kuwa kuna wanawake ambao wakirudi kazini nao ni kukaa tu kama mume wake - yaani ana msichana/wasichana wa kazi, hivyo akifika naye hizo kazi za nyumbani hafanyi, lakini nao visingizio ni vile vile. To be honest, hii ni sababu mojawapo (tena nathubutu kusema ni sababu kubwa sana) inayofanya wanaume wengi wawe na nyumba ndogo - ambako huko huwa hakuna jibu la "leo nimechoka" wala " I had bad day today"
Tuangalie pia wale ambao wanashinda nyumbani, hawana kazi na wanamsichana wa ndani ambae anafanya kazi zote, ila akiguswa tu na mume..nimechoka...sijisikkii...sitaki niache..
hilo ndo tatizo lenu, kwa sababu tu mmeweka msichana wa kazi basi unaassume kazi zote kafanya msichana....... Yule binti ni msaidizi tu wa kazi....... Bado mwisho wa siku kazi zinazokuhusu atafanya mkeo.... Mfano kukufulia, kukupikia, kuangalia watoto na kadhalika......
Tena mie naheshimu wamama wa nyumbani sana, nyumbani kuna kazi asikwamnbie mtu, toka unaamka mpaka unaenda kulala ni busy busy mara kushika hiki mara kile, kama anafuga busy na mifugo, mara bustani,.watoto wale, ........
Na kam mkeo hana biashara/mifugo anakutegemea wewe persee ataacha kuwa stressed? Hata hela ya chumvi akuombe, na mume unarudi akikuomba unamwambia 'yaani hata 300 ya chumvi huna?' baadae unategemea akakupe?
Zungumzeni na wake zenu.....
Jalini wake zenu....
Muwe wabunifu kwenye mapenzi.....
Sio kubweteka na kusubiri mwanamke................
kama ni unene hata wanaume wananenepa, tena wananenepa hadi wanaota kama matiti ila wanawake wanawavumilia.......
Hapo hinachoona ndoa nyingi zinavunjika kutokana na wanandoa kutojua wajibu wao, wewe mwanaume, wote wawili na ni watafutaji iwe biashara au ajira....wote mnarudi usiku ila mkeo atapika, atasafisha nyumba, atahakikisha watoto na wewe mmekula, aoshe vyombo, aandae nguo zenu za kesho wakayi mume unaangalia man u na chelsea( hapo watoto wamebahatisha baba anaangali mpira nyumbani, ikifika saa nne unaenda kulala mkeo saa tano)saa sita ndo anakuja kuweka ubavu bado unataka penzi, unategemea utapata penzi linalostahili? Au unategemea kupata?
Mke na mume mshirikiane bega kwa bega kwenyd majukumu ndani ya nyumba, mpate wasaa wa kuwa pamoja kupiga stori za kimahaba na kupanga mipangi ya maendeleo, mpate muda wa kupumzika na kupeana penzi motomoto
....hofu ya kuambukizwa magonjwa.... mwanaume kujenga mazoea kutokua mbunifu fore play ni hio hio everyday
we lead very stressful life,kazi watoto,hofu ya kuambukizwa magonjwa/nyumba ndogo na mwanaume kujenga mazoea kutokua mbunifu fore play ni hio hio everyday,hivi vyote vinatufanya 'libido' kwenda na maji lol
inabidi tuwape kitchen party vijana wetu wa kiume maana mapenzi hawajui wana kazi ya kulaumu wanawake! ukimjua mwanamke vizuri hutapata s