Kina dada visingizio vingi.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kina dada visingizio vingi....

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by ngoshwe, Mar 17, 2012.

 1. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #1
  Mar 17, 2012
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145

  Tathimini inaonyesha kuwa wanawake wengi wanaoolewa katika miaka hii wanashindwa katiba kuwatosheleza wenzi wao na wengi hujikuta wakiachika au kukosa mapenzi ya dhati kutokana na kujibweteka.

  Dr. mmoja aliwahi kueleza kuwa amekuwa akipokea kesi nyingi za wanandoa kushindwa kutimiziana tendo la ndoa na hasa kina dada wengi kutojisikia kufanya mapenzi mara kwa mara na waume zao kwa kisingizio cha kuchoka na mihangaiko ya maisha. Hii imepelekea kuwepo kwa matatizo mengi ya uzazi hasa kuchelewa kwa wananandoa kupata watoto...

  Kama umeaoa, tatafiti kwa mwenzio na unaweza kubaini mapungufu fulani.

  Wanaume watatu ambao kila mmoja alielezea maisha na mwezi wake wanasema

  Huyu alisema : "yaani kila ninaposikia hamu na kumgusa mwenzangua ana ng'aka na kuruka utadhani ameguswa na umemem .., atanguruma hapo kama simba, sitaki asieee mimi sitaki., nimechoka..mbona huelewi...mbona hunionei huruma mwenzio..?"

  Mwengine alieleza "..sio tu anasema amechoka, bali anakuambia ..wewe kila saa tu unataka..jana ulifanya, leo tena ..unanichosha bwana...'...

  Huyu mwingine anasema: "mimi ilifika wakati ikabidi niombe ushauri nasaha,nilihisi mwanzangu kapata mwanaume mwingine nje....yaani hazisikii kabisa kuwa na mimi...hataki kabisa, kazi imekuwa ndio kisingizio chake..ukimgusa tu...atakupa sababu kibao ambazo zinaweza kukukasirisha usiendelee nae...akiingia kitandani, usingizi mzito utadhani kapiga kilauli... sawa uenda amechoka lakini, kila siku hivyo hivyo?? pengine unajiuliza hivi ndoa ya nini na mtu kama huyu?"


  [​IMG]

  Tathimini inaonyesha pia kuwa japo katika karne tuliypo Mungu ameendelea kutoa viumbe vikali kuliko karne zilizopita, lakini uzuri wa watoto wa kike wanaozaliwa sasa haudumu kwa muda mrefu kutokana na maisha wanayoishi. Hasa ya kupenda starehe, mapombe, vitimoto, kutembea kwenye magari muda mwingi, kushindwa kujishughulisha na kazi za nyumbani kwa kisingizio cha kuchoka hivyo kuajiri mabinti wenzao ili wawafanyie kazi nk. ...


  [​IMG]
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Mar 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,407
  Trophy Points: 280
  Haaaaaaaaaaa Hatareeeeeeeeee Ngoja waje wenyewe!!
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Mar 17, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,231
  Trophy Points: 280
  kama ni unene hata wanaume wananenepa, tena wananenepa hadi wanaota kama matiti ila wanawake wanawavumilia.......

  Hapo hinachoona ndoa nyingi zinavunjika kutokana na wanandoa kutojua wajibu wao, wewe mwanaume, wote wawili na ni watafutaji iwe biashara au ajira....wote mnarudi usiku ila mkeo atapika, atasafisha nyumba, atahakikisha watoto na wewe mmekula, aoshe vyombo, aandae nguo zenu za kesho wakayi mume unaangalia man u na chelsea( hapo watoto wamebahatisha baba anaangali mpira nyumbani, ikifika saa nne unaenda kulala mkeo saa tano)saa sita ndo anakuja kuweka ubavu bado unataka penzi, unategemea utapata penzi linalostahili? Au unategemea kupata?

  Mke na mume mshirikiane bega kwa bega kwenyd majukumu ndani ya nyumba, mpate wasaa wa kuwa pamoja kupiga stori za kimahaba na kupanga mipangi ya maendeleo, mpate muda wa kupumzika na kupeana penzi motomoto
   
 4. mito

  mito JF-Expert Member

  #4
  Mar 17, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 7,653
  Likes Received: 2,040
  Trophy Points: 280
  Lakini usisahau kuwa kuna wanawake ambao wakirudi kazini nao ni kukaa tu kama mume wake - yaani ana msichana/wasichana wa kazi, hivyo akifika naye hizo kazi za nyumbani hafanyi, lakini nao visingizio ni vile vile. To be honest, hii ni sababu mojawapo (tena nathubutu kusema ni sababu kubwa sana) inayofanya wanaume wengi wawe na nyumba ndogo - ambako huko huwa hakuna jibu la "leo nimechoka" wala " I had bad day today"
   
 5. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #5
  Mar 17, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Wanawake kazi ipo......maana naona kila dosari ni ya mwanamke tu dah!
   
 6. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #6
  Mar 17, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,472
  Trophy Points: 280
  Wanawake noma kwa uzembe
   
 7. r

  rebeca Senior Member

  #7
  Mar 17, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 191
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  we lead very stressful life,kazi watoto,hofu ya kuambukizwa magonjwa/nyumba ndogo na mwanaume kujenga mazoea kutokua mbunifu fore play ni hio hio everyday,hivi vyote vinatufanya 'libido' kwenda na maji lol
   
 8. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #8
  Mar 17, 2012
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  kufanya tendo fanya kwa afya sio ukioa yu ndo ukomeshee, kuchoka kupo na wala sio visingizio.
   
 9. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #9
  Mar 17, 2012
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Tuangalie pia wale ambao wanashinda nyumbani, hawana kazi na wanamsichana wa ndani ambae anafanya kazi zote, ila akiguswa tu na mume..nimechoka...sijisikkii...sitaki niache..

  Nadhani pia mnapoamua kufanya inataliwa makubaliano, ila pengine inadaiwa kina mama akiwa na mood hovyo anaweza kukataa kila siku...
   
 10. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #10
  Mar 17, 2012
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Ni shida tu kwa sisi kina mama. Mapenzi yetu ni emotions. Mwanaume atakayeweza ku-win emotions zetu atakula kila saa na kila siku.
   
 11. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #11
  Mar 18, 2012
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145

  Kum.aanisha hii?.

  Ndicho tunachozungumzia...
   
 12. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #12
  Mar 18, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,231
  Trophy Points: 280
  mkirudi anapokwambia amechoka unamliwaza? Au akikwambia alikuwa na siku mbaya unamsikiliza? Moja ya silaha ya kum-win mwanamke ni kumpa masikio.......

  Na kuwa wabunifu panapo mapenzi, kakwambia amechoka kwa nini usiwe mbunifu? Mwambie akaoge umfanyie massage huone kama utafika nusu bila kupewa.....

  Tatizo wanaume wa siku hizi nanyi mmejibweteka, mnategemea wanawake waimarishe penzi, penzi linabebwa na kuimarishwa na mwanamke na mwanaume......

  Au kama mkeo alikuwa na siju mbaya, kwanini usimtoe out? Tena mnaweza kutembea na kunyoosha miguu wala hakuna ulazima wa kwenda bar, mtembee huku mnazungumza na kumfanyia utundu wa kimahaba uone kama hajafunguka kwako akarelax na ukirudi home akakupa......

   
 13. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #13
  Mar 18, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,231
  Trophy Points: 280
  hilo ndo tatizo lenu, kwa sababu tu mmeweka msichana wa kazi basi unaassume kazi zote kafanya msichana....... Yule binti ni msaidizi tu wa kazi....... Bado mwisho wa siku kazi zinazokuhusu atafanya mkeo.... Mfano kukufulia, kukupikia, kuangalia watoto na kadhalika......

  Tena mie naheshimu wamama wa nyumbani sana, nyumbani kuna kazi asikwamnbie mtu, toka unaamka mpaka unaenda kulala ni busy busy mara kushika hiki mara kile, kama anafuga busy na mifugo, mara bustani,.watoto wale, ........

  Na kam mkeo hana biashara/mifugo anakutegemea wewe persee ataacha kuwa stressed? Hata hela ya chumvi akuombe, na mume unarudi akikuomba unamwambia 'yaani hata 300 ya chumvi huna?' baadae unategemea akakupe?

  Zungumzeni na wake zenu.....
  Jalini wake zenu....
  Muwe wabunifu kwenye mapenzi.....

  Sio kubweteka na kusubiri mwanamke................
   
 14. b

  bibi.com JF-Expert Member

  #14
  Mar 18, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 1,155
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  inabidi tuwape kitchen party vijana wetu wa kiume maana mapenzi hawajui wana kazi ya kulaumu wanawake! ukimjua mwanamke vizuri hutapata s
   
 15. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #15
  Mar 18, 2012
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 6,195
  Likes Received: 1,921
  Trophy Points: 280
  Mwanamke mwenye kufanya hivyo hayupo. Lazima awepo mfanyakazi wa Ndani acheni kujidanganya.
   
 16. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #16
  Mar 18, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  hofu ndani ya ndoa? hivi foreplay ni jukumu la mtu mmoja tu wakati mwingine kategeshea akisubiri kuwa aroused?
   
 17. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #17
  Mar 18, 2012
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 6,195
  Likes Received: 1,921
  Trophy Points: 280
  Na yeye anachoka kukufanyia wewe kila siku foreplay wakati wewe umekaa ka Gogo. Kwanini asitafute na yeye wa kumfanyia Hizo Foreplay.
   
 18. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #18
  Mar 18, 2012
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 6,195
  Likes Received: 1,921
  Trophy Points: 280
  Ndo mmefundishwa huko kitchen Party kusema Haya ambayo huwa mnafanya kwenye Ndoa.

  Basi Kitchen Part yenu haina Maana.

  Waliofundwa vizuri mpaka Leo wapo kwenye Ndoa zao na Waume hata hawana Nyumba ndogo. Leo Nyie wanawake Wabeijing kila siku Ndoa kuvunjika eti Haki sawa.

  Ukishindana na Mwanaume utabaki kulea Watoto tu.. Yeye anamwanamke mwingine{Nyumba Ndogo}

  Mngejua Mwanaume anajukumu kubwa na Kukufanya Ufike kileleni Kama yeye msingekuwa mnakuja kulalamika Humu. Kama mngepewa Jukumu hilo Ninyi Hakuna mwanaume angekuwa na Mwanamke Mmoja hapa Duniani.
   
 19. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #19
  Mar 18, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 546
  Trophy Points: 280
  mambo juu ya mambo
   
 20. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #20
  Mar 18, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,231
  Trophy Points: 280
  ni kweli kabisa, kuna umuhimu wa jando kufanywa upya,vijana wapikwe maisha ya ndoa, wengi wanadhani ndoa ni matarumbeta na kuvaa suti.....
   
Loading...