Kina dada naombeni mnielimishe juu ya hili

Kina dada naombeni mnielimishe juu ya hili

Wengine hata home wanatupa uvunguni..
..kuna wadada ni hataree...
 
Nadhani umepata majibu uliokua unayataka??? Nxt time think before act.....!
 
Natumaini alipobadilishia hapakuwa na sehemu ya kutupia ndio maana alibeba kwenye begi. Sio kila vyoo wanaweka sanbins especially hivi vya mtaani..my dear hiyo smell ni mgandamizo wa hewa ndani ya begi..hebu jikate halafu hiyo damu yako weka kwenye pedi halafu muombe mrembo wako akutunzie kwenye begi...then mfungue after some time tuone.. mdada ni mstaarabu ...kuna masichana mapuuzi sana yakiona hakuna sanbins wanatupa chooni au kwenye yale matank ya maji wanatuzibia vyoo...
 
Nadhani huyo dada alikuwa mstaarabu sana, aliweka akatupe nyumbani kuliko kutupa hovyohovyo mitaani

Hao wanaosema huwa wanazitupa ni wachafu!!Binafsi SITUPI POPOTE nitaihifadhi vizuri mpaka nikirudi home niichome!No wonder mara kibao unakuta vyoo vya ofisini/hotel na kwingineko vinaziba shauri ya hawa watupaji ptuuuu!!!
 
Probably alikosa sehemu ya kutupa..mara nyingi ni bora kuzichoma kabisa...
 
Hao wanaosema huwa wanazitupa ni wachafu!!Binafsi SITUPI POPOTE nitaihifadhi vizuri mpaka nikirudi home niichome!No wonder mara kibao unakuta vyoo vya ofisini/hotel na kwingineko vinaziba shauri ya hawa watupaji ptuuuu!!!

Samahani wewe ni ME au KE?
 
Kuna baadhi wakishatoa hawatupi hovyo, wanaondoka nazo kwenda kuchoma nyumbani au anapoona ni sehemu inafaa, watu kama hao hata kucha au nywele akishakata huondika nazo kwenda kutupa sehemu husika na si popote.
 
Huyo likely huwa anableed sana, kwa hiyo pedi zinalowa haraka ndo maana anakuwa nazo nnyingi kwenye pochi.

Yawezekana pia ametoa mimba hivi karibuni pengine kuna vilivyobaki na kumsababishia atokwe damu nyingi. Kutokana na kwamba aliona asioneshe tofauti yeyote pamoja na hilo tatizo yeye akaendelea na shughuli kama kawaida kwa hiyo mpango ukawa kuwa na pedi nyingi na kubadilisha,

Matatizo yote hapo juu yanaweza msababishia upungufu wa damu na kuzimia.

Si kawaida wanawake kuwa na pedi nyingi kwenye mikoba yao, mara nyingi huwa moja ya dharula.
 
Yawezekana akiwa kwenye hedhi hutoka damu nyingi ndo maana mmemkuta akiwa na pedi kadhaa, kwa sababu anahitajika kutumia nyingi kidogo kuliko wengine.

Yawezekana pia ametoa mimba hivi karibuni na kuna vilivyobaki vinamsabibishi atokwe damu nyingi. Pengine alitaka kuendelea na shughuli zake kama kawaida pamoja na hali hiyo hivyo akajipanga kuwa nazo nyingi na alikuwa akibadilisha kila baada ya muda mfupi na zilikuwa zinalowa kabisa. Pia hiyo damu inaweza kuwa na harufu mbaya.

Matatizo yote hapo juu yanaweza yamsabibishie upungufu wa damu na hatimaye kuzimia.

Si kawaida kwa wanawake kuwa na pedi kadhaa kwenye mikoba hata kama safarini.
 
Mmmh... samahani, wewe ni m'ke? Usilolijua ni sawa na usiku wa giza

mmmh, Mimi ni m'me lakini statement ya double R ilinichanganya pia.. Nikidhani wadada wanakuwa nazo kama emergency hasa siku zikikaribia..lols
..long time girl..!!
 
Last edited by a moderator:
Na nijuavyo mie zile mambo huwa hazitupwi ovyo ovyo hata siku moja.Zina utaratibu waake wa kuziharibu.So elewa hivo,mie demu wng huwa anachoma moto yy mwenyewe
 
mmmh, Mimi ni m'me lakini statement ya double R ilinichanganya pia.. Nikidhani wadada wanakuwa nazo kama emergency hasa siku zikikaribia..lols
..long time girl..!!

Nipo mkuu.... Kwa mtazamo wake aweza kuwa sahihi, lakini sijui kwanini ametusema kwa mtazamo hasi kiasi hicho
 
Last edited by a moderator:
Vijijini madada wala hawajui kuhusu hizo pedi!Wao siku yake ya MP anakata kipande cha kitenge anakiweka!

Sitanii haya ninayo andika hapa!Isha jionea mwenyewe kijijini kwetu demu akawa anazingua kama yupo MP nikasema hadi nione ili niamini ndiyo hayo niliyo yaona!
 
Wengine hata home wanatupa uvunguni..
..kuna wadada ni hataree...

Mkuu hapa umedanganya hata dhamiri yako inakushuhudia....usipende kuzitilia maanani stori za mitaani.....hakuna mtu anaweza kufanya hyo kitu labda bint mdogo aliyepevuka mapema
 
Back
Top Bottom