Kina dada muwe makini na Foreigners

Kina dada muwe makini na Foreigners

Tatizo la akina dada wengi wana stress za kuolewa,akishaona umri umekimbia kidogo,rafiki zake wote wameolewa kabaki yeye anaanza kuchanganyikiwa.Bahati mbaya akikutana na mtoto wa mjini fasta anenda kujitambulisha kwao,akijua kabisa ndio mume ,kumbe wapi.

mimi kuna jamaa mmoja namjua tena yupo humu JF wametambulishana vizuri(pande zote mbili) mapaka vikao vya send off vinafanyika jamaa yupo, siku ya tukio lenyewe sasa(send off)jamaa hapatikani mpaka leo hii.

Akina dada tulieni haya mambo ya ndoa hayataki papara.

Daaaah....ebwana eeh! Mkuu ya kweli haya? Mungu aturehemu hiki kizazi
 
Nina rafiki zangu wengi wa wacameroon na waghana, almost nafahamiana na wa cameroon wote walioko hapa dar maana wana chama chao na kila anauekuja lazima areport kwao. Raisi wa chama chao ni rafiki yangu.
Almost 95% wanaish kwa kuwalaghai akina dada. Mimi uwa naeaonea huruma lakini kasumba ya wadada wengi kujiingiza kichwa kichwa kwa maforeigners uwa naona ngoja wajifunze from their mistakes

Ha ha ha! Kama urikuwepo (red) mura! Basi na hiri rijamaa unaweza kuwa unarifahamu. Maana rimetuachia majanga.
 
Mkuu sio Mimi # ichana# I swear never labda unigonge sindano ya usingiz achukue kwenye pochi au niwe unsound mind
Na akili timamu hii hupati mkuu
ICHANA.... Nakutamania....sisi wengine tuna mioyo myepesi ajabu
 
Last edited by a moderator:
hapa wadada wengi tutajifanya ohh mie nisingeweza ujinga kama huo. i suggest to stop judging the lady,
lakini amini nawaambieni wadada wengi wakikolea katika mapenzi wako very weak and wanaweza kuamua mambo mengi ambayo baadae hujuta mtoa mapenzi akishapunguza mapenzi kwake.
huwa na hisia ya kwa vile ananipenda kwa dhati na kuniridhisha kwa nini nisimpe? na ndio hichi kwenye ndoa nyingi mama anaumia sana na majukumu ya nyumbani kwa uvumilivu haswa baba akishaonesha kumpetipeti japo kidogo halafu akaomba msaada kutoka kwa mama mamma hutoa masikini bila kinyongo.
 
Khantwe wakati hayo yote yanatokea kwanini hukuniambia mapema?
 
ndio wadada mjifunze tujifunze wanaume sio wote wema na udhaifu wako ni fursa kwa wengine.
 
hapa wadada wengi tutajifanya ohh mie nisingeweza ujinga kama huo. i suggest to stop judging the lady,
lakini amini nawaambieni wadada wengi wakikolea katika mapenzi wako very weak and wanaweza kuamua mambo mengi ambayo baadae hujuta mtoa mapenzi akishapunguza mapenzi kwake.
huwa na hisia ya kwa vile ananipenda kwa dhati na kuniridhisha kwa nini nisimpe? na ndio hichi kwenye ndoa nyingi mama anaumia sana na majukumu ya nyumbani kwa uvumilivu haswa baba akishaonesha kumpetipeti japo kidogo halafu akaomba msaada kutoka kwa mama mamma hutoa masikini bila kinyongo.

U r right my dia....mimi huwa najisemea tu wazi bwana. Mtu ukikolea unadhani utaelewa yote hayo? Ni kweli wapo wengine wameumbwa na roho za ukauzu. Ni kuwa makini tu
 
hapa wadada wengi tutajifanya ohh mie nisingeweza ujinga kama huo. i suggest to stop judging the lady,
lakini amini nawaambieni wadada wengi wakikolea katika mapenzi wako very weak and wanaweza kuamua mambo mengi ambayo baadae hujuta mtoa mapenzi akishapunguza mapenzi kwake.
huwa na hisia ya kwa vile ananipenda kwa dhati na kuniridhisha kwa nini nisimpe? na ndio hichi kwenye ndoa nyingi mama anaumia sana na majukumu ya nyumbani kwa uvumilivu haswa baba akishaonesha kumpetipeti japo kidogo halafu akaomba msaada kutoka kwa mama mamma hutoa masikini bila kinyongo.

Niliwahi kufikishiwa ujumbe eti jamaa kasema "I don't like your friend", kisa tulikutana kwenye harusi moja nikauliza uliza maswali mengi jamaa anajikanyaga, hawi wazi.

Sasa nikaanza kutoa ushauri kumwambia dada hili ni famba, kumbe dada wa watu anaenda kumweleza, basi jamaa akija kumchukua jioni mi hata nikimsalimia haitiki, nikasema niachane nao, ndio maana hata hakuja kukopa kwangu.
 
some people they don't cry until they see a coffin.
 
ICHANA.... Nakutamania....sisi wengine tuna mioyo myepesi ajabu

Pole sana shoga angu weye mm kumhonga mwanaume Nina aleji wallah.
Mshukuru Mungu kama haijakucost bdo
Watu wamebadilika sio wadada sio wakaka.
Jitahid kuwa makini usiamin sana kila kile unachoambiwa
 
Last edited by a moderator:
Niliwahi kufikishiwa ujumbe eti jamaa kasema "I don't like your friend", kisa tulikutana kwenye harusi moja nikauliza uliza maswali mengi jamaa anajikanyaga, hawi wazi.

Sasa nikaanza kutoa ushauri kumwambia dada hili ni famba, kumbe dada wa watu anaenda kumweleza, basi jamaa akija kumchukua jioni mi hata nikimsalimia haitiki, nikasema niachane nao, ndio maana hata hakuja kukopa kwangu.
tetetetet pole mkuu, ila point yangu ni hiyo huwezi jua kaka alikuwa amemuwin eneo gani. binadamu ni wa ajabu sana akirika na kitu hata ufanye nini atakuona wa ajbu tu na hataacha.
ila usimuone kama mkosaji ila muonee huruma kwa kuingia katika mtego pasi na mategemeo. na huyo ni mmoja tu wakija hapa wakakueleza namna wanawake wanavyofanyiwa vitu na namna hiyo kisa mapenzi utashangaa kuona idadi kubwa sana.
ila kwa wanawake wanaoingia katika mapenzi kimaslai hutamkuta katika kundi hili. ila wale wanaopenda kikwelikweli hupatwa na mahasibu haya na zaidi ya hayo mbona.
 
Pole sana shoga angu weye mm kumhonga mwanaume Nina aleji wallah.
Mshukuru Mungu kama haijakucost bdo
Watu wamebadilika sio wadada sio wakaka.
Jitahid kuwa makini usiamin sana kila kile unachoambiwa

Hivi kuhonga maana yake ni nini? Nijuavyo mimi kuhonga ni pale unampa mtu pesa haina hata sababu.....unataka tu akupende. Lakini kuna wakati mtu anaweza kuwa na shida ya muhimu sana na hana hela kwa siku hiyo....utamuacha mtu wako aaidhirike simply bcoz hutaki 'kuhonga'?
 
Back
Top Bottom