Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,130
- 48,862
Wanawake wako kama nyuchi zao. Yani hawaeleweki.
[emoji16] [emoji16] [emoji12] [emoji12]Wanawake wako kama nyuchi zao. Yani hawaeleweki.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bado kidogo boss anichape kibao maana nimecheka wakati ananiongelesha yupo seriousWanawake wako kama nyuchi zao. Yani hawaeleweki.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] cio kwa vibamia hvyo mwee!!check jamaa anatembea kwa Madaha,hizi ni tamaduni zetu huoi kama huna kitambi ha ha ha ha ha ha ha ha
View attachment 473278 View attachment 473279
Unajua unanichekesha sana na comments zako mara nyingi sana nakuona hunaga makuu [emoji23]Ohooooo!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mamaeeee....Unakuta mbaba mnene,,kitambi hichoo yaan mnene jamanii halaf anatongoza vibinti vidogo, we baba unavipeleka wapi hivyo vibinti,,,mfano hata mimi sipendi wababa /wakaka wanene ,,mtu tumbo hiloo,paja nene,halaf anakung'ang'ania eti anakupenda jamani jamani sipendi kuwa na mahusiano na wanaume wanene,wenye vitambii kwanza hawavutiii kabisaa,,mwanaume aliejaa kawaida ndio anapendeza yaan amejaa kimazoezi au kajaa tu,,,sasa mbaba huyu na tumbo lake sijui hata kitandani mnalalaje,napatia picha utakavyolaliwa na hilo tumbo hapo utachoka nyang'anyang'nya,,,
Pia wapo nadhani wadada wanaopenda haoa wakaka au wababa wanene,maana nahisi ladha tunatofautiana,sie wengine tunapenda wakaka wa kawaida tu wenye miili ya mazoezi,kuna huyo mbaba huwa tunakutana sehemu ya kula jamani atatuma watu waniitee,,unajua saa ingine unene unaweza fanya uitwe mbaba,,akaniandikia kikaratasi kuwa ananipenda na anataka kuwa namii yaan niliudhikaa ,,,nikaanza kuwaza hivi huyuu mi nampeleka wapi sasa,,kwanza nahisi watu wanene kama hawa kitandani ni magoigoi tu na dudu yote imemezwa na tumbo,halaf kama hawakoromi hawaa ni bahatii aisee,,,sie tushazoea watu hawana vitambi akikukamata ukitoka hapo hamu zote kwishaa
Mtanisamehe kama na humu wanene mpo inabidi mpungue jamanii unene ni janga mtakosa watoto wazurii wazurii
Kama una povu tema nna nguo chafu mie ntafulia
Ndio nishasema!!!!
Kkkkkkkk.....Miss natafuta sasa kweli WEWE na unene wako utahitaji mwanaume bonge!!!??wanahonga hao acha tu ! vimbaombao vichoyoo! vinapenda kugegeda kwa mkopoo!
Ngoja nikutumie whatsapp ili kama ni madongo unipie hukohuko private....Weka
tuonee huruma kidogo sio kwa kutusema hukoWadada wanachonga wakati hata wao matumbo wanayo. Hivi mnadhani na sie tunayapenda hayo matumbo yenu kama mabaamed😛😛? Huwezi kutembea hatua mia bila kukutana na mwanamke ana kiriba tumbo, tena wengine wala hawajazaa-ni viporo, bia na dudu tu vinawatunisha matumbo. Sio ustaarabu kubaguana kwa muonekano na sura.
Uzuri Mungu hakupi vyote maana wenye midomo binu mngeua wilaya nzima kwa kauli zetu kali kuliko pilipili. Mwenye chura, ana miguu kama toothpick au sura kama Dr.Remmy. Mwenye sura nzuri, tabia chafu. Mwenye shepu na sura, kitandani hajiwezi-kiuno kigumu kama kimetengenezwa kwa zege(tena reinforced concrete). Mwingine ni mrembo lakini mweusi kama Baraka Da Prince. Tuwe na staha, wanawake mna miaka 10 tu ya kuringia muonekano wenu, miaka mingine tunavumiliana tu.
Afu humu tunapigana fix kuna ke tangu abalehe hdi mda huu anaweza jaza treni yA mwakyembe *****![emoji6] [emoji6] [emoji6] hakuna saiz asoijua!!!!Mwanamke ukishakuwa huna pesa unapata wapi ujasiri wa kuchagua umbo la mwanaume.
Ndio maana hata mwanaume awe na wasira akiwa na hela atachukua watt wazuri tu
Asante, karibu sanaNakujaa
Hahah mpenda vitonga utamjua tu nikuhonge na nikupe pesa nenda kwa wakitambi wako mkachezeane tu upate pesawanahonga hao acha tu ! vimbaombao vichoyoo! vinapenda kugegeda kwa mkopoo!
Sawa, ingia whatsapp uicheki, tayari nimetumaNitumieee we lazima nikusitiriii
usije kusema jamaa haenei kwenye camera [emoji1]Nitumieee we lazima nikusitiriii