TaiJike
JF-Expert Member
- Dec 14, 2011
- 1,482
- 669
Njema namshukuru Mungu siku zinasonga.Sijambo.
Za masiku?
Njema namshukuru Mungu siku zinasonga.Sijambo.
Za masiku?
Sijambo sana Boss. Miss u all kwa sana.[emoji8] [emoji8]Na mimi mzima
hujambo mrembo?
Njema namshukuru Mungu siku zinasonga.
Sijambo sana Boss. Miss u all kwa sana.[emoji8] [emoji8]
Usitanie kwa kujua napendaga madhawadi...nna zawadi yako tutafutane
Usitanie kwa kujua napendaga madhawadi...
Weye tena Mzee wa Ikungulyabh'ashashi...I missed u mpaka nikaugua......[emoji8] [emoji8]Mbona mi hujanambia umenimiss?
Weye tena Mzee wa Ikungulyabh'ashashi...I missed u mpaka nikaugua......[emoji8] [emoji8]
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]I wish I could melt in your mouth and not in your hand😛.
....as usual as normal in our sukuma land......yes kumoyo big no komiso huku ukibembeleza time.You blushing now..?😛
Sema baadhi ya wanawake kwasababu sio wote.wanawake siku hizi wanajirahisisha sana akipiga _ simu alafu akajua aliyepokea ni mwanaume hakuachi hata kama ka wrong number
Hao wa hivyo ungeitikia kuitwa baby basi haipiti nusu saa atakulilia shida na kibomu juu.Mi nishawahi kuitwa bebi ndani ya dakika moja.
Halafu akataka na kujimilikisha kabisa.
Nikamwambie wewe...hebu tulia kwanza.
Wewe kweli mchagaa.Mkuu Nyani Ngabu
Umenikumbusha mbali.
Mimi ilikuwa usiku wa x-mass tukiwa tunaelekea kanisani kama grup la watu 8, ambapo miongoni mwetu kulikuwa na mtoto mmoja mbaye nilimwinda kwa siku nyingi bila bahati. Mtoto huyu tuliseparate baada ya mimi kuhama nikiwa form one nikahamia dar na yeye alihamia arusha. Kama kawaida ya kabila fulani ikikaribia sikukuu ya x-mass nikwenda kusalimia kwao.Hasa siku hiyo majira ya saa nne usiku tukiwa tunaelekea kanisani huko kijijini kwetu wakatokea watuambao walitutisha ghaflaa wakiwa wamejibanzaa lwenye kichakaa. Si unajua uogaa bhanaa kila mtu alikimbbilia sehemu anayoijuaa. Bahati nzuri mtoto huyu alinishika mkono tukajikuta tumekimbiaa upandee mmojaa. Tulikimbia kama mita 200 hivi ndipo tukasimama na kugundua tulikuwa tunatishwaa.
Aya bhanaa safari ya kuelekea kanisani ilikuwa yetu wawili, kama ujuavyoo njembaa nilikuwa nimempaniaa mtoto kama Mbowe na UKUTA. Mbaya zaid mtoto alikuwa tayari kajawa na uoga hivyo alikuwa ananing'ang'ania mkono mara shati, nami bila aibu nikamzungusha mkono wangu kwenye mgongo wake na safari ikawa inaendeleaa. Baada ya kujuaa safari inaweza isifike kanisani nikatafuta njia ndefu ambayo mara nyingi watu hawaipendi kutokana na kuwa na kilima.
Mtoto taratibu mapigo ya moyo akaanza kwenda mbioo na kuhema kama mbwa anayepigwaa na jua kali la saa 7. Taraatiibu mwanaumee mkono ukawa unasogeaa sehemu zake za juu. Chakushangaza mtoto wala hakujigusaa wala kuzuia mkono wangu, nikasemaa leo mbuzi kafa kwa muuza supu, bila kukpepesaa ilibidi nimsimamishee na kuanza kuutafuta mdomoo.
yaliyotokeaa anajua mungu na Shetani wakee.
Kwasasa ameolewaa mwezi uliopita ndipo alifanikiwa kuipata namba yangu baada ya kupoteana kwa miaka mi 5.
Hawa watoto wa kikee bhanaa huwa hawana ujanja ukiwabananishaa. Akili zao hujirudi baada ya habari kuishaa.
Nawapenda sanaa
Sneezing eeehh......
Koh koh koh..... just coughing...
And everything back....
Hebu nitukane basi...