Kimzaha mzaha

Yaliwahi kunitokea aiseeee, nikatumia jibu kama la Kaka Yohana kuwa nilikua namtania sikua namanisha maana yeye ni Mtani wangu...
 
Kuna baadhi ya wanawake hawana mazoezi wenyewe mechi jino moja unatekenya gari linawaka wasumbufu hao akiona unamuepuka anaanza kusema hivi ulikuwa unanionaje?
 
Shida yenu waume ndio hiyo... Ukitongoza usipozungushwaaaa unaona sio tamu na unapata wx wx kwanini kakubali haraka? Mimi sinaga muda kama naona nafax ninayo nasema yes na kama sikutaki ndio nazungukaaa mpk uchokee na hamchokii utapumzika hata mwaka unaisha kisha mnaomba tena. Mambo mengi saivii kila kitu kinatakiwa kiende fasta na kwa wkt.
 

Haha I do, tho never like that dude. For one, I never mack with young girls. Plus I flirt and chill, often never kill.
 
Mie "sijaribiwi" uki click tu tayari naitikia wito fasta😉
 
Reactions: SMU
Sio wote wanaokubali wanakua wamejirahisisha kwenu jamani mfano Mimi kuna kipindi nimemfumania mwanaume niliempenda sana na mwanamke mwingine wakati huo nilienda kwake ili nipate faraja kutokana na kusimamishwa kwangu kazini kwa kosa ambalo sikua nimelifanya nilikua na madeni na nilitakiwa kumlipia Mdogo wangu pesa ya mtihani form iv na kazi ndo hivyo tena na nilipoenda kwake nilitarajia faraja Ila nikaongezewa uchungu mwingi sana asikwambie mtu kesho yake kuna mkaka nilikua nachati nae as a friend akanambia anataka tutoke nikamkubalia kwa lengo la kureflesh mind na hakutokea kabisa Yule kaka baadae nikaja kusikia kwa rafiki zake eti hakuna kwa sababu nilimkubalia kwa haraka kutoka hivyo akajua mi najirahisisha sana kwa wakaka eti alikua ananipima anione nipoje

Mpaka leo nikimfikilia nacheka sana maana baada ya muda akajirudi tena anadai hakuchunguza vizuri
 
Reactions: SMU
Hawa ndugu zetu siku hizi unaweza kuwa unamtania tu ukashanga mtu huyo anajaa............inabidi tu uanze kuzuga ili kumkwepa........yaani wamekuwa rahisi kama kusukuma jiwe ukiwa juu ya mlima.
 
Polee!
 
wanaume kutongoza tongoza ni asili......so huwa tukikataliwa ni poa,,,, ila anapokubali ghafla........ni kamtihani flani ka zarura......unabutua tuu,,,m=hamna jinsi....
 
Wakati mwingine tunatongoza ili tusisahau kutongoza sasa mtu anakuja mzima mzima!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…