Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 26,508
- 97,710
😂😂😂 password nayo si anaombaAtasimgizia wifi za majirani, sjui wanatoaga wapi password
😂😂😂 password nayo si anaombaAtasimgizia wifi za majirani, sjui wanatoaga wapi password
Kwa kujitilisha huruma hajambo, huwezi kumnyima!😂😂😂 password nayo si anaomba
Akuuuu acha ninywe chai na kitunguuKama una shida unaweka kokote tu mkuu 😂
Ila kuomba tu jamaa kiboko halafu yupo comfortable kabisa no matter what.Umeona eeh😅
Hana uraibu wowote! Wanaompa wamemzoesha vibaya kashakuwa sugu huyu na hatoacha ni mwendo wa kubadili ids tu!Ila kuomba tu jamaa kiboko halafu yupo comfortable kabisa no matter what.
Ila nadhani atakuwa na uraibu fulani hii sii kawaida
Inasikitisha watu kama hawa wamesababisha hata mtu ukipata shida huwezi tumia hili jukwaa tena kuomba msaada.Hana uraibu wowote! Wanaompa wamemzoesha vibaya kashakuwa sugu huyu na hatoacha ni mwendo wa kubadili ids tu!
Unaonekana ombaomba tu!Inasikitisha watu kama hawa wamesababisha hata mtu ukipata shida huwezi tumia hili jukwaa tena kuomba msaada.
Ulimpa,shida anayo ni ya 20kOk,
tatizo dogo haeleweki anashida gani
Kwahiyo hakuna aliyekupa??Nimeambiwa nipambane na hali angu JF Hakuna Kuomba Omba
Jf ya matajeer, 20k wamekupotezeaHata Mmoja
Shida ligi zikianza tu vijana wanakuja kuomba 15k...20k hawaombi nyingi.Jf ya matajeer, 20k wamekupotezea
Na sijawahi kuona Uzi wa kuomba zaidi ya 20k😁Shida ligi zikianza tu vijana wanakuja kuomba 15k...20k hawaombi nyingi.
Sa kama sio za kutia mkeka ni za nini hizi jamani.
Kama wewe ni 'me' kuna shida mahali.