Benoit
JF-Expert Member
- Jun 1, 2026
- 710
- 1,548
Unajifanya umemsahau?Kumbe dogo kitambo sana kwenye game! Na ana mbinu za kijasusiš«”
Unajifanya umemsahau?Kumbe dogo kitambo sana kwenye game! Na ana mbinu za kijasusiš«”
Umeshauona uzi wake wa elfu 50?Hakuna mbinu yeyote ya kijasusi hapo,
Watu tunamuangalia tu.
Huo sijauona.Umeshauona uzi wake wa elfu 50?
Nausahauje namchapa spana za uso hata akija na id nyingine haniachi salama!Unajifanya umemsahau?
Nashangaa mwezi wa pili huu bado anajisikia hivyo.Kwani bado yupo hai tu mpaka sasa!?
Zipo kama mbili anaomba elfu 50 afuge vifaranga 10Huo sijauona.
Kufa hafi ila cha moto atakiona.Nashangaa mwezi wa pili huu bado anajisikia hivyo.
Kweli mmemchoka member mwenzenušš½āāļøKwani bado yupo hai tu mpaka sasa!?
Yeye mwenyewe anatafuta hela ya kula,hao vifaranga 10 atawalisha mchanga?Zipo kama mbili anaomba elfu 50 afuge vifaranga 10
Apate kichaa!Jipe ujasiri kwa kuchukua birika la kahawa, zunguka maeneo ya stendi, ukiuza kahawa kwa watu wawili watatu, utagundua maisha hayahitaji ufikiri sana.
Dogo aache kupenda vya Bure,Kufa hafi ila cha moto atakiona.
Au atafute tu mume aolewe.Dogo aache kupenda vya Bure,
Bora aombe connection sio Kila siku 20k
Nenda kwenye ule uzi kachanganua kila kituš¤£Yeye mwenyewe anatafuta hela ya kula,hao vifaranga 10 atawalisha mchanga?
Dogo hataki kazi anataka ela namuwekeaga kazi anaziruka kama mavi anaendelea kusisitiza ana shida mumsaidie ela ya vifaranga!Dogo aache kupenda vya Bure,
Bora aombe connection sio Kila siku 20k
Naomba 20k mkuuš šWanaJF na 20K
Hakuna cha kuwatenganisha na hiko kiasi
Tumchangie jamani, mbona tone tone tunachanga.Nausahauje namchapa spana za uso hata akija na id nyingine haniachi salama!
MariooDogo hataki kazi anataka ela namuwekeaga kazi anaziruka kama mavi anaendelea kusisitiza ana shida mumsaidie ela ya vifaranga!
Akafanye kazi bwanaaTumchangie jamani, mbona tone tone tunachanga.
Akatafute jimama sasaMarioo
basi tuendelee na kimya kinachoumaApate kichaa!