utavuka tu.....kila hatua duaSijui kama ni uchovu, presha ya maisha au mambo yamezidi tu…
Kwa siku hizi najikuta niko kimya sana. Kuna mambo napitia ambayo si rahisi kuyaeleza kwa mtu, na ukweli ni kwamba nimefika sehemu najihisi nimeelemewa sana.
Sina nia ya kulalamika wala kutafuta huruma. Nimejaribu kujishikilia na kutafuta njia ya kutoka, lakini kuna wakati nguvu zinapungua.
Kuna jambo dogo tu nikilipata linaweza kunisaidia kuvuka hii hatua, lakini sitaki kulazimisha mtu. Mwenye kuona anaweza kunisogeza hatua moja mbele, nitathamini msaada wake sana.
Wakati mwingine mtu anayekaa kimya si kwamba hana shida… anaweza kuwa anapigana vita ambayo hakuna anayoiwona.
Mungu anipe nguvu nivuke kipindi hiki. 🤲
Yupo live ana nyuzi kama 3 hivi za fifte😅
Ok,Mpe 20k mkuu
Naomben Tafadhali 🙏
When you have voice of hope within you trust me time heals your tomorrow will comeSuffering today doesn't mean u will be fine tomorrow no...u may suffer until you die
I hate hopesWhen you have voice of hope within you trust me time heals your tomorrow will come
Game za weekend hii zinachana sanaMkuu una changamoto gani kwani, au ni siri? Unataka hela ya dawa, ya kula, ya kubet au unadaiwa? Au ya kufanyia? 😃
Zamu ya nini bwashee😁
Uzifate kwa umakiniGame za weekend hii zinachana sana
Amell asubuhi yote hii😆
Are you living or existing?Just sum up everything U've learned about life: it goes on.I hate hopes
Neno gumu sana hiliWakati mwingine mtu anayekaa kimya si kwamba hana shida… anaweza kuwa anapigana vita ambayo hakuna anayoiwona.
Mkuu na Mimi nisaidie efu Tano sijakula wikendi yote hii🥹🥹Mimi na wewe tulishakubaliana PM
Moyo umekataa best labda anitumie code niweke tuu iyo helaUzifate kwa umakini