Kimya Hiki, Is Not Right!, There Must Be Something Wrong Somewhere! Or Am, I Wrong!?

...mie naona hii imekaa kumdiscuss mtu zaidi, mwee...
 

Kwani kushughulikia tetemeko inajumuisha na yeye kuongea in public? Na je unajuaje kama hashughulikii tetemeko?
 
Mleta mada ameomba kama wewe sio GT usichangie! sasa mbona wewe unachangia pumba zako? kaa pembeni sie GT tuchangie.
 


Kukaa kimya nalo ni jibu.
 
tehe tehe tehe tehe uchangiaji una viwango & heshima ya hali ya juu
 
umoja wa wafanyabiashara, umemzidi maalifa, coz alijua anaweza kutenda peke yake, kumbelipo kundi muhimu kuliko uraisi
ila pia kenyata naye akukaa kimya, kutuliza kielele chake....

ahaha hahahaa, na jana Lowasa ndio kazid kumficha kabisa
 
Kimempanda nini!

Mama yule alituonya kwa vitendo tutafanya shingo Ngumu oneni sasa.

Yule mama hapa lawama hana.
 
Kila siku?unaishi Tanzania gani
 
Reactions: BAK
Tumeona picha mpaka akina Makatibu Tawala wa Wilaya wanaapishwa lakini ...... sijaona za Dau akiapishwa.
Umekalia fitina tu kwa doctor Dau hata kama humpendi ndio imeshakuwa hivyo kale ndimu kama inakuuma
 
Kinachonishangaza kwenye mambo ya kuwa kimya ndipo midomo haitulii ni kuropoka tu.

Nilisema neno juu kwenda kwake kwa hofu ya vyombo vya habar atakapokutaba na mahasimu wake kisiasa kutokana na tabia yake ya kujishuku na kisasi

Leo tuseme hataki kuongea kwa sababu ya maswali kushindwa na majibu kwa sababu pia sifa nazo ni sehemu za tabia yake kwani atataka kutumbua watu kwa ajili ya uzembe lakin walishajitetea kuwa hawawez jua nawakati dunia yote ilitegemea lkn wao hawakujua pia atataka kusema juu ya uamuz wa kenya kushtaki nchi flan kama chanzo nchin kwetu wakat Tanzania hatujui chanzo napo ni pagumu na wakati TISS wapo hawajui kazi yao nao ni janga sijui hatayazungumza siku hiyo atakapovunja ukimya maana huwa anawazodoa kenya eti nasikia kuna watu wansema mlima kilimanjaro hupo kwao'

Hayo yote ni mambo kigugumiz huku yakibakia majukumu ya serikali ambayo baada ya utendaji was wazir mkuu na mawazir wadogo pamoja na watu wengine was serikali, ukiachilia mbali mihimili mongine kupongeza juhudi zao kama bunge na wapinzani wake kiitikadi pamoja taasisi binafsi na za dini pamoja back watu binafsi
Kwa kuwa anasemaga 'MI P WA WATZ MASKINI '
Haya maskini yashawakuta ssi matajir sio watz wako wala hatuishi tz


Kila la heri na ukimya wako

Ndio ujifunze kusoma mithali MWANANGU KUWA MWEPESI KUSIKILIZA KULIKO KUSEMA
Punguza pia ukakasi was maneno utaporudi toka kwenye fungate la siku 10 wakati wanao hawana pa kulala wa chakula pia wakiwa kwenye simanzi la kupoteza Kwa sababu enzi za majonzi ndugu wa Esther walivaa mavazi ya magunia na kujipaka majivu wakimlilia mfalme pia Esther iga mfano wa esther bas maana sisi kule asia tunaamini sala ya mfalme au mwanamfalme ni kubwa na Inasikilizwa zaid na mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…